Kwa Nini Ni Muhimu Sana Kila Mtu Kuwa Na Blog Kwenye Zama Hizi.
Habari za leo rafiki yangu,Kama upo hai, yaani kama unasoma hapa, nina kitu kimoja muhimu sana cha kukuambia. Unahitaji sana kuwa na blog. Ni hivyo tu rafiki, kuwa na blog na utaweza kuitumia...
View ArticleUshauri Muhimu Wa Fedha Kutoka Kwa Mtu Aliyetoka Kwenye Umasikini Na Madeni...
Habari za leo rafiki yangu?Linapokuja swala la fedha, kila mtu huwa anaona anajua zaidi. Nimewahi kusoma kichekesho kimoja kinasema kwamba hakuna mtu mgumu kushauriwa kama mtu mwenye fedha, hasa yule...
View ArticleNYEUSI NA NYEUPE; Kila Mtu Ni Mwandishi Wa Habari, Mchambuzi Na Mshauri,...
Habari za leo rafiki,Karibu kwenye makala yetu ya NYEUSI NA NYEUPE ambapo tunakwenda kuuangalia ukweli kama ulivyo. Kipaumbele cha kwanza kwa binadamu siyo ukweli, na hii ni kwa sababu ukweli unaumiza,...
View ArticleUSHAURI; Usisubiri Wafadhili, Anza Na Kile Ulichonacho Na Utapata Wa Kukuunga
Mkono. Jifunze Hapa Namna Ya Kuanzia Chini Kabisa.Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye makala ya leo ya ushauri wa changamoto ambazo zinatuzuia kufanikiwa. Leo tutakwenda kuangalia changamoto ya...
View ArticleMaarifa Ya Msingi Unayotakiwa Kuyafahamu Na Kuyafanyia Kazi Maishani Mwako.
Maisha ya mafanikio hayaji kwa kubahatisha. Maisha ya mafanikio ni matokeo ya kujifunza maarifa tofauti tofauti ambayo mwisho wa siku maarifa hayo huweza kutusaidia kufikia mafanikio ambayo...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; Do More Great Work (Acha Kuwa Bize Na Anza Kufanya Kazi...
Linapokuja swala la kazi, wapo watu wanaoonekana kuwa bize sana, lakini mwisho wa siku hakuna kazi kubwa wanayokamilisha. Wanaiona siku inakwisha, wamechoka kweli lakini wakiangalia walichokamilisha...
View ArticleMtu Adimu Kupatikana Katika Jamii Yako.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Hongera kwa siku hii nzuri sana katika maisha yako, kwani...
View ArticleMambo Saba (07) Yatakayokuwezesha Kufikia Utajiri Kupitia Ujasiriamali.
Hivi majuzi, jarida maarufu kwa kuandika kuhusu fedha, mafanikio na biashara la nchini Marekani, Forbes, lilitoa orodha ya watu matajiri sana duniani. Kwa mwaka huu 2017, pamekuwepo na watu wapya 195...
View ArticleNjia Ya Uhakika Ya Kuwa Na Kesho Yenye Mafanikio Makubwa Ni Hii.
Kwenye kila hatua ya maisha yetu, tuna nyakati kuu tatu ambazo tunaweza kuzifikiria.Moja; wakati uliopita.Wakati uliopita ni ule ambao tayari tumeshautumia, mambo ambayo tayari tumeshayafanya, fursa...
View ArticleNYEUSI NA NYEUPE; Njia Ya Haraka Ya Kutajirika Na Biashara Isiyo Na ‘Stress’.
Habari rafiki,Karibu kwenye makala yetu ya leo ya NYEUSI NA NYEUPE, ambapo huwa tunauangalia ukweli kama ulivyo, bila ya kuupindisha kama ambavyo wengi wamekuwa wanafanya ili kujinufaisha. Moja ya kitu...
View ArticleMaana Halisi Ya Dhana Ya Kujilipa Wewe Mwenyewe Kwanza Kabla Hujafanya...
Ushauri muhimu sana utakaoupata kwenye usimamizi wa fedha zako binafsi ni huu; JILIPE WEWE MWENYEWE KWANZA, KABLA HATA HUJAFANYA MATUMIZI. Ni ushauri wenye maajabu makubwa kwani ukiweza kufanya hivyo...
View ArticleUkweli Na Uongo Uliojificha Kwenye Biashara Ya Mtandao (Network Marketing)
Habari rafiki,Kila mara nimekuwa napata ujumbe kutoka kwa marafiki zangu wakiomba ushauri kuhusiana na baadhi ya kampuni zinazofanya biashara kwa mfumo wa mtandao, yaani NETWORK MARKETING. Kumekuwa na...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; PIVOT (Jinsi Ya Kuweza Kubadili Kazi Au Biashara Kwenye...
Tunaishi kwenye zama ambazo mambo yanabadilika kwa kasi kubwa. Zamani mtu alikuwa akipata ajira, ndiyo inakuwa ajira ya maisha yake. Lakini sasa hivi mtu akidumu kwenye ajira miaka mitano ni kipindi...
View ArticleBidhaa Isiyoshuka Thamani Sokoni.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri sana ya siku hii ya leo katika maisha...
View ArticleHii Ndiyo Sababu Kubwa Unashindwa Kuuza Kwenye Mitandao Ya Kijamii.
Ukuaji wa intaneti na mitandao ya kijamii umekuwa fursa nzuri sana ya ukuaji wa kila aina ya biashara.Ni rahisi sana sasa hivi kutangaza biashara na hata kuwafikia wateja wengi kupitia mitandao ya...
View ArticleZINGATIA HAYA PALE UNAPOTAKA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO.
Hakika Mungu ni mwema kila wakati, haijalishi unapitia changamoto gani lakini bado anabaki kuwa ni Mungu milele yote. Kwa umoja wetu tuna kila sababu ya kushukuru kwa ubora wa usanifu wa sayari yake na...
View ArticleBarua Ya Wazi Kwa Wale Waliofukuzwa Kazi, Kutumbuliwa Au Kukutwa Na Sakata La...
Habari za leo rafiki?Karibu kwenye barua hii ya wazi kwa wale wote ambao wamekutana na changamoto ya ajira yao kuisha ghafla. Hapa kuna wale ambao wamefukuzwa kazi, wametumbuliwa na waliokutwa na...
View ArticleMambo 29 Niliyojifunza Kwenye Miaka 29 Ya Maisha Yangu Hapa Duniani.
Habari za leo rafiki yangu,Jana tarehe 28/05/2017 ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa ambapo nilitimiza miaka 29 hapa duniani. Nilizaliwa tarehe kama hiyo mwaka 1988. Kwa wale ambao hatujuani zaidi labda...
View ArticleJe Umewahi Kudanganywa Kujiunga Na Biashara Za Mtandao? Soma Hapa Ili...
Niambie kama umewahi kukutana na hali kama hii;Ndugu au rafiki yako wa karibu, ambaye mnaheshimiana sana na kushirikiana mambo mengi, anakupigia simu. Anakuambia kuna fursa nzuri sana ya kibiashara...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; LITTLE RED BOOK OF SELLING (Misingi 12.5 Ya Kubobea...
Ukweli ni kwamba, kila mtu ni muuzaji, iwe umeajiriwa, umejiajiri au unafanya biashara. Kila mtu kuna kitu anauza, kitu ambacho anawashawishi wengine wakubaliane naye. Mwajiriwa anauza ujuzi na muda...
View Article