KITABU; IJUE BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING), Miliki Biashara Kubwa...
Habari rafiki?Ninayo furaha kubwa kukujulisha ya kwamba, kitabu kipya IJUE BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING) kipo tayari. Hichi ni kitabu kizuri ambacho kitakupa uelewa halisi wa biashara ya...
View ArticleHawa Ndiyo Watu Wenye Sifa Za Kufanikiwa Hapa Duniani.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri sana ya siku hii ya leo katika maisha...
View ArticleHii Ni Nafasi Ya Mwisho Kabisa Ya Kupata Zawadi Ya Kitabu IJUE BIASHARA YA...
Habari za leo rafiki yangu?Ni imani yangu kwamba unaendelea vyema na unaweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa.Swali langu kwako leo rafiki ni hili; je jana ulipata zawadi ya kitabu...
View ArticleTUNAELEKEA DODOMA, JE UPO TAYARI KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI WA MAJENGO KUWA...
Kitu pekee ninachojivunia kwa sasa ni afya njema niliyonayo ambayo ndiyo utajiri namba moja duniani, Naamini na wewe pia utaungana na mimi katika kuwafariji watanzania wengine ambao wanapitia...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kupata Masoko Kwenye Biashara Ya Upimaji Na Uuzaji Wa Viwanja.
Habari za leo rafiki?Ni wakati mwingine mzuri ambao tunakutana hapa kwa ajili ya kushauriana juu ya changamoto mbalimbali tunazokutana nazo kwenye maisha yetu. Maisha yana kila aija ya changamoto,...
View ArticleVIDEO; Sababu Moja Inayokuzuia Wewe Kufika Pale Unapotaka Kufika Kwenye...
Kama hutaki mafanikio,Hutaki maisha bora kabisa kwako,Hutaki uhuru wa kipato na kuondokana na madeni.Hutaki kuwa na afya bora na kuepukana na magonjwa,Na pia hutaki kabisa kuwa na biashara au kazi...
View ArticleSumu Kali Inayoua Mahusiano Ya Ndoa Na Uchumba.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri sana ya siku hii ya leo katika maisha...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; The Power Of Now (Mwongozo Wa Ukuaji Wa Kiroho).
Matatizo yote ambayo tunayapitia kama binadamu, chimbuko lake lipo ndani ya akili zetu wenyewe. Ni mawazo yetu ndiyo yanayotengeneza matatizo tunayopitia. Kushindwa kwetu kuelewa tofauti yetu na mawazo...
View ArticleZifahamu Hatua Muhimu Za Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo, Je Upo Hatua Gani...
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa, bali wapumbavu hudharau hekima na adabu. Ni maneno mazito sana ambayo hunilazimu nijitafakari uwepo wangu kwenye sayari hii inayoitwa dunia. Naamini na wewe msomaji...
View ArticleNYEUSI NA NYEUPE; Unalalamikia Bajeti Ya Serikali, Wewe Binafsi Una Bajeti?
Habari rafiki,Karibu kwenye makala yetu ya leo ya NYEUSI NA NYEUPE ambapo ninakupa ukweli kama ulivyo, bila ya kuuchuja, bila ya kukubembeleza kwa namna yoyote ile. Ninakuambia mambo ya kweli ambayo...
View ArticleUmuhimu Wa Kutafuta Majibu Ya Changamoto Inayokukabili Mapema.
Kuna wakati katika maisha umekuwa ukisubiri baadhi ya mambo yakae sawa ndipo uanze kufanya jambo fulani. Lakini ukweli kwamba kufanya hivi ni sawa na kusubiri jua lizame nyakati asubuhi, hii ikiwa na...
View ArticleVIDEO; Hii Ndiyo Njia Bora Kabisa Ya Wewe Kulipwa Kwenye Mtandao Wa Intaneti.
Watu wengi wanaoingia kwenye biashara za kutumia mtandao wa intaneti kutengeneza kipato, wamekuwa hawana uelewa wa kutosha juu ya namna gani wanavyoweza kulipwa.Wengi wamekuwa wakifikiri wanalipwa...
View ArticleFalsafa Bora Itakayokusaidia Kugusa Maisha Ya Watu Wengine.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika harakati zako za kila siku kuhakikisha unapambana na kupata ushindi....
View ArticleD9 Club Tayari Imetumbuliwa, Zipo Biashara Nyingine Mbili Za Mtandao...
Kama huna taarifa ni kwamba, moja ya biashara zilizokuwa na kasi kubwa ya kusambaa sana, ikijificha kwenye biashara ya mtandao, iliyojulikana kama D9 club, imetumbuliwa na serikali. Serikali kupitia...
View ArticleSwali Muhimu Kuhusu Fedha; Wazazi Wako Walikufundisha Nini Kuhusu Fedha?
Habari za leo rafiki?Leo nina swali muhimu sana kwako kuhusu fedha. Hili ni swali ambalo limebeba msingi ambao upo hapo ulipo sasa kifedha. Swali lenyewe ni; wazazi wako walikufundisha nini kuhusu...
View ArticleFahamu Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Wakati Wa Kuchagua Kiwanja Cha Nyumba Ya...
Ni siku mpya ambayo tumebahatika kuiona tukiwa na hamasa kubwa kuhakikisha tunapambana kutimiza malengo yetu mbalimbali ambayo tumejiwekea, na lengo kuu ni kujikwamua dhidi ya umaskini wa kifikra na...
View ArticleNYEUSI NA NYEUPE; Kuhusu Kufanya Kazi Kwa Nguvu Na Kufanya Kazi Kwa Akili.
Karibu rafiki yangu kwenye makala yetu ya nyeusi na nyeupe ambapo tunakwenda kuuangalia ukweli kama ulivyo. Kupitia makala hizi tunajadili mambo ambayo mara nyingi watu hawapendi kuuangalia ukweli...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuishinda Aibu Ya Kuanzia Chini Kabisa Katika Safari Ya...
Mtu yeyote, anaweza kujijengea mafanikio makubwa kabisa kwa kuanzia pale alipo sasa. Hii ina maana kwamba kama huna pa kuanzia kabisa, basi unaweza kuanzia chini kabisa, ukawaka juhudi na maarifa,...
View ArticleKosa Moja Kubwa Unalofanya Kwenye Uwekezaji Na Linapelekea Wewe Kuwa Na...
Habari za leo rafiki yangu?Mwezi huu wa saba wa mwaka huu 2017 nitaendesha semina ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA. Hii ni semina ambapo tutajifunza mambo ya msingi kabisa kuhusu fedha, ambayo hatujawahi...
View ArticleHivi Ndivyo Unavyojizuia Wewe Mwenyewe Kupata Kile Unachotaka.
Ni jambo la kushangaza na huwezi kuamini, lakini ni ukweli usiopingika ya kwamba wewe mwenyewe umekuwa unajizuia kupata kile ambacho unataka.Kwa lugha nyingine tunaweza kusema umekuwa unajihujumu wewe...
View Article