Swali Muhimu Zaidi Kuhusu Fedha; Umejipanga Kuwafundisha Nini Watoto Wako...
Habari za leo rafiki yangu,Juma lililopita nilikuuliza swali muhimu kuhusu fedha, ambalo lilikuwa wazazi wako wamekufundisha nini kuhusu fedha? Nimepata mrejesho kutoka kwa baadhi ya marafiki na kwa...
View ArticleSababu Moja Kubwa Inayokuzuia Kutopata Mafanikio Unayoyataka.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleArticle 0
Uongozi ni nafasi ambayo kila mwanadamu anaipata kwa kuweza kutoa mawazo, ndoto na maono yake kwa wengine, ili kuweza kuchukua hatua ya kufanya mambo kuwa bora zaidi. Uongozi ni kitu ambacho kimekuwa...
View ArticleFahamu Chanzo Kikuu Cha Fangasi Kwenye Majengo Na Mbinu Za Kuziepuka.
Habari za siku rafiki, karibu tena kwenye Makala hii tuendelee kushauriana mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo na uwekezaji wa ardhi na majengo. Katika safari hii ya mafanikio wapo baadhi ya marafiki...
View ArticleBarua Ya Wazi Kwa Vijana Wanaoingia Kwenye Biashara Na Wale Wenye Ndoto Za...
Habari za leo rafiki?Hii ni barua ya wazi kwa vijana wote wa kitanzania ambao wanaingia kwenye biashara au wana ndoto za kuja kufanya biashara siku za mbeleni. Nimekaa chini kukuandikia barua hii wewe...
View ArticleHizi Ndiyo Mada Zitakazofundishwa Kwenye Semina Ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA,...
Habari za leo rafiki,Tangu mwezi uliopita, nimekuwa nakupa taarifa za semina ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA (BASIC FINANCIAL EDUCATION) ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao wa wasap kwenye KISIMA CHA...
View ArticleKwa Wale Ambao Hawawezi Kujiunga Na KISIMA CHA MAARIFA Kwa Ajili Ya Semina Ya...
Habari za leo rafiki?Nilianza kuandika kwenye blogu mbalimbali tangu mwaka 2012, ilipofika mwaka 2013 nilianzisha blog ya AMKA MTANZANIA, ambayo imeweza kuwafikia na kuwasaidia wengi. Najua unaijua na...
View ArticleZimebaki Siku Mbili Pekee Kwa Fursa Hii Nzuri Ya Kuweza Kujijengea Msingi...
Habari za leo rafiki?Ni imani yangu kwamba unaendelea vizuri na unaweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kwenye maisha yako. Kama unavyojua rafiki, maarifa sahihi ni msingi muhimu sana wa...
View ArticleIfahamu Faida Ya Kwenda Moja Kwa Moja Kwenye Lengo Kusudiwa.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri na kama hauko vizuri pole sana rafiki. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii...
View ArticleMaswali Na Majibu Yenye Ufafanuzi Wa Kina Kuhusu Semina Ya ELIMU YA MSINGI YA...
Habari za leo rafiki?Kama ambavyo nimekuwa nakupa taarifa kwa muda sasa, wiki ijayo yaani tarehe 03/07/2017 tutaanza semina yetu ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA. Hii ni semina muhimu kwa kila mtu ambaye...
View ArticleUchambuzi Wa Kitabu; So Smart But... (Jinsi Watu Wenye Akili Wanavyopoteza...
Moja ya vitu vinavyotutofautisha binadamu na viumbe wengine, ni uwezo mzuri wa kuwasiliana. Hivyo mawasiliano yetu ndiyo yanayojenga kila kitu tunachotaka kwenye maisha. Kupitia mawasiliano ndiyo...
View ArticleRafiki Yangu Leo Ndiyo Mwisho Kabisa Kabisa Wa Kupata Fursa Ya Kushiriki...
Rafiki,Kichwa cha habari ni kurefu, kwa sababu napenda nikupe huo msisitizo ili usije ukasahau halafu ukakosa fursa hii bora na ya kipekee sana, ambayo haitajirudia. Fursa ninayoizungumzia hapa ni...
View ArticleAsante Na Karibu Rafiki Kwenye Semina, Na Nafasi Kumi Za Mwisho Kabisa...
Rafiki yangu,Makala hii nitaifanya fupi iwezekanavyo, kwa sababu sitaki kukuchosha. Nitagusia mambo matatu muhimu; MOJA; ASANTE RAFIKI.Kwanza napenda kutoa shukrani kwa marafiki zangu wote ambao...
View ArticleTayari Tumetafuna Nusu Ya Mwaka, Dakika Hizi 30 Zitakuwa Muda Muhimu Kuwahi...
Habari za leo rafiki?Kama ulilipia kujiunga na semina, na mpaka sasa haupo kwenye kundi la KISIMA CHA MAARIFA, tuwasiliane mara moja kwa simu 0717396253, semina inaanza, usikose. Karibu kwenye makala...
View ArticleMambo Matatu(03) Muhimu Ya Kufanya Ili Uweze Kutawala Muda Wako Na Kufanya...
Habari za leo rafiki?Watu wamekuwa wanasema muda ni fedha, na hilo ni kosa kubwa sana wanalofanya kwenye maisha yao, linalowapelekea wao kushindwa kutumia muda wao vizuri.Muda siyo fedha, kwa sababu...
View ArticleJinsi Ya Kutokukata Tamaa Katika Nyakati Ngumu Za Maisha.
Katika maisha zipo nyakati, ambazo naweza sema ni nyakati ngumu sana na zina misukosuko mingi, kiasi cha kwamba usipokuwa makini unaweza ukaachana na kila kitu kutokana na nyakati hizi kuwepo...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; LEADING QUIETLY (Jinsi Watu Wanavyofanya Makubwa Bila Ya...
Kwenye jamii zetu, imezoeleka kwamba kiongozi ni mtu ambaye anafanya maamuzi makubwa, maamuzi magumu na hatari sana. Kwa kufanya maamuzi hayo na matokeo yakawa mazuri, kiongozi hupata sifa kutoka kwa...
View ArticleJinsi Ya Kumfundisha Mtoto Kuvua Samaki.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleMsingi Muhimu Wa Kujenga Ili Uweze Kutengeneza Kipato Kwenye Mtandao Wa...
Habari za leo rafiki?Kama umekuwa unasoma makala zangu kwa muda, na hata kuangalia video ninazotengeneza, utakuwa umesoma au kusikia nikisema hili mara nyingi, kwamba tunaishi kwenye zama mpya, zama...
View ArticleMambo Manne(04) Mabaya Unayotengeneza Kwenye Maisha Yako Kwa Kufuatilia...
Rafiki,Nina imani upo vizuri kabisa, ukiendelea kuweka juhudi kubwa ili kuweza kutengeneza matokeo makubwa kwenye maisha yako. Hilo ndilo jambo la msingi kufanya, na mimi rafiki yako nahakikisha wakati...
View Article