Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1010

Rafiki Yangu Leo Ndiyo Mwisho Kabisa Kabisa Wa Kupata Fursa Ya Kushiriki Semina Ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA. Chukua Hatua Sasa.

$
0
0
Rafiki,

Kichwa cha habari ni kurefu, kwa sababu napenda nikupe huo msisitizo ili usije ukasahau halafu ukakosa fursa hii bora na ya kipekee sana, ambayo haitajirudia.


Fursa ninayoizungumzia hapa ni mafunzo ya semina ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, elimu ambayo toka chekechea mpaka chuo kikuu, hakuna inapofundishwa kwa kumlenga mtu. Majumbani ndiyo kabisaa inagusiwa juu juu tu. Na hatimaye tunakuwa na jamii ambayo inaishi mwisho wa mwezi kwa mwisho wa mwezi (wale ambao wameajiriwa na wanapokea mshahara mwisho wa mwezi) au wanaoishi faida kwa faida, wale wanaofanya biashara na kutumia faida yote. Wapo pia ambao wanaishi msimu kwa msimu, hapa wakati wa msimu wa mavuno maisha yanakuwa safi, ila msimu unapoisha, maisha yanakuwa magumu.

Yote hayo yanatokana na kukosa elimu ya msingi ya fedha, kuanzia kwenye;

KUPATA FEDHA,

KUTUMIA FEDHA,

KUWEKA AKIBA,

KUWEKEZA,

KUFANYA BIASHARA,

KULINDA FEDHA,

KUWAFUNDISHA WATOTO KUHUSU FEDHA.

Sasa yote hayo unayapata kwenye semina inayokwenda kuanza mwezi huu wa saba, ila sasa, MWISHO WA KUJIUNGA NI LEO TAREHE 30/06/2017.

Nakusisitiza sana rafiki kwa sababu najua mateso unayoyapata kifedha kwa kukosa elimu sahihi. Na nikuambie tu elimu ya darasani ina madhara hasi kwenye fedha kama usipokuwa makini.

Njoo ushiriki kwenye semina hii nzuri kuhusu fedha.

Semina itafanyika kwa njia ya mtandao wa wasap, kwenye kundi la KISIMA CHA MAARIFA, hivyo kushiriki unapaswa kuwa mwanachama.

Kuwa mwanachama unapaswa kulipa ada ya mwaka ambayo ni tsh 50,000/= ambayo itakuwezesha kujifunza kwa mwaka mzima. Ada inalipwa kwa namba zifuatazo;

MPESA; 0755 953 887.

TIGO PESA; 0717 396 253.

AIRTEL MONEY NA MITANDAO MINGINE; 0717 396 253.

BANK CRDB; 0152281977700.

Kwenye kila njia utakayotumia, jina linakuja AMANI MAKIRITA.

Ukishafanya malipo, tuma ujumbe wenye majina yako kwa njia ya wasap kwenda namba 0717 396 253. Kama fedha utatuma kwa njia ya benki utapaswa kutuma ujumbe wa muamala, au picha ya risiti ya kuweka.

Karibu sana rafiki kwenye semina hii ya kipekee, ambayo hujawahi kuipata, na hutapata nafasi nyingine ya kuipata.

Mwisho wa kujiunga ni leo hii, tarehe 30/06/2017. Kama utakutana na changamoto yoyote kwenye kufanya malipo tuwasiliane moja kwa moja kwenye namba hizo. Sitaki ukose nafasi hii rafiki.

Kwa jana wapo ambao waliniambia mtandao ulikuwa unasumbua, leo nakusihi ufanye malipo mapema ili mtandao usije kukuzuia kushiriki semina hii.

Mwisho kabisa, kwa wale ambao ndiyo wamepata ujumbe huu kwa mara ya kwanza, na hawaelewe elewi nini kinaendelea hapa, mada za semina zipo hapo chini. Zisome na kama utaona zinakufaa, tuma ada ya KISIMA CHA MAARIFA leo ili uweze kushiriki.

SEMINA; ELIMU YA MSINGI YA FEDHA (BASIC FINANCIAL EDUCATION)

FEDHA; DHANA HALISI YA FEDHA, UTAJIRI NA UHURU WA KIFEDHA.

Maana halisi ya fedha, utajiri na uhuru wa kifedha.

Mahusiano ya fedha na imani.

Jinsi unavyojizuia kupata fedha zaidi.

Kwa nini elimu ya darasani ni kikwazo kwenye fedha.

Namna ya kutengeneza fursa zaidi za kifedha kwenye maisha yako.

Sheria tano za fedha unazopaswa kuzijua na kuzisimamia.

KIPATO; NJIA ZA KUTENGENEZA KIPATO NA KUKIONGEZA.

Msingi muhimu wa kutengeneza kipato.

Umuhimu wa mifereji mingi ya kipato.

Mifereji ya kipato unayopaswa kuitumia.

Jinsi ya kukigawa kipato chako kwenye mafungu matano muhimu kwako.

Jinsi ya kudhibiti kipato kikubwa kinachoingia kwa mara moja.

Jinsi ya kuongeza kipato ukiwa hapo ulipo sasa.

MATUMIZI; JINSI UNAVYOWEZA KUDHIBITI MATUMIZI YAKO NA KUWA NA MAISHA BORA.

Jinsi ya kutambua matumizi muhimu na yasiyo muhimu.

Panga matumizi kabla hujapokea fedha unayotegemea.

Jinsi ya kudhibiti matumizi yako na bado ukawa na maisha bora.

Gharama zilizojificha ambazo zinaongeza matumizi yako.

Jinsi ya kuzuia matumizi kuongezeka pale kipato kinapoongezeka.

Jinsi ya kuepuka kurudishwa nyuma na utegemezi mkubwa.

MADENI; NAMNA YA KUONDOKA KWENYE MADENI NA KUEPUKA KUINGIA KWENYE MADENI MABAYA.

Madeni ni utumwa.

Madeni mazuri na madeni mabaya.

Jinsi ya kuondoka kwenye madeni.

Jinsi ya kuepuka kuingia kwenye madeni.

Kigezo muhimu cha kuzingatia pale unapofikiria kukopa.

BIASHARA; NJIA YA UHAKIKA YA KUTENGENEZA KIPATO KISICHO NA UKOMO.

Msingi muhimu wa biashara unaopaswa kuuelewa.

Kwa nini kila mtu anapaswa kuwa na biashara.

Kuanza biashara ukiwa chini kabisa.

Biashara unayoweza kuanza kufanya.

Mambo ya kuzingatia ili kukuza biashara yako.

UWEKEZAJI; NJIA YA KUIFANYA FEDHA IKUFANYIE WEWE KAZI, INGIZA KIPATO HATA KAMA UMELALA.

Maana ya uwekezaji na umuhimu wake kwenye uhuru wa kifedha.

Dhana ya COMPOUND INTEREST na RULE OF 72 na namna ya kuzitumia kufanikiwa 
kwenye uwekezaji.

Tofauti ya uwekezaji mzuri (ASSETS) na uwekezaji mbaya (LIABILITIES)

Aina tano kuu za uwekezaji unazopaswa kuzijua.

Jinsi ya kupangilia uwekezaji wako ili kuwa na uhuru wa kifedha.

Uwekezaji unaopaswa kuanza nao mara moja.

Mambo muhimu ya kuzingatia katika uwekezaji ili kufanikiwa kifedha.

KODI; MISINGI YA KODI NA NJIA ZA KUPUNGUZA KODI.

Maana halisi ya kodi na umuhimu wake kwa maendeleo.

Kodi zinazokuhusu wewe moja kwa moja.

Jinsi unavyoweza kupata unafuu wa kodi.

BIMA; NJIA ZA KULINDA FEDHA NA MALI ZAKO.

Maana ya bima na umuhimu wake kwenye uhuru wa kifedha.

Bima unazopaswa kuwa nazo kwenye maisha yako.

Mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua bima.

WATOTO; JINSI YA KUWAJENGEA WATOTO MSINGI MZURI WA KIFEDHA.


Umuhimu wa kuwajengea watoto msingi wa kifedha.

Umri sahihi wa kuanza kuwajengea watoto misingi ya kifedha.

Misingi ya kifedha ambayo unapaswa kuwajengea watoto wako.

Jinsi ya kuwafuatilia watoto kwenye elimu na misingi ya kifedha.

Kuwashirikisha watoto kwenye shughuli zako za kifedha.

KUTOA; MAISHA YA UTAJIRI YENYE MANUFAA KWA WENGINE.

Utajiri siyo kwa ajili yako mwenyewe, ni kwa ajili ya jamii.

Kuacha wosia na mgawanyo mzuri wa mali zako baada ya kifo chako.

Njia bora za kutoa utajiri wako kwa wengine.

Utoaji wa sadaka na mafungu mengine muhimu kulingana na imani yako.

Karibu sana kwenye semina hii rafiki, mwisho wa kujiunga ni leo, kama bado hujawa mwanachama. Tuma tsh 50,000/= kwa namba 0755953887 au 0717396253 kisha tuma ujumbe kwenye namba 0717396253 na utaunganishwa. Karibu sana.

Kila la Kheri Rafiki Yangu.
Rafiki na Kocha wako,
Makirita Amani,

Kupata blog yako ya kitaalamu, unayoweza kuitumia kutengeneza kipato, BONYEZA maandishi haya.

Kama umejifunza kupitia makala hii karibu tujifunze zaidi kupitia KISIMA CHA MAARIFA, ambapo utaingia kwenye kundi la wasap na kupata mafunzo kila siku. Bonyeza maandishi haya kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA.

Kwa kupata vitabu vya biashara na mafanikio tembelea www.kisimachamaarifa.co.tz/vitabu


Pata kitabu BIASHARA NDANI YA AJIRA ujifunze jinsi unavyoweza kuanzisha na 

kukuza biashara yako, pia utajifunza mifereji nane(08) ya kipato unayopaswa kuwa nayo ili kufikia uhuru wa kifedha. Bonyeza maandishi haya kupata kitabu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1010

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>