Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYEUSI NA NYEUPE; Kizazi Cha Alama A+ Na Zawadi Ya Kushiriki.

Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye makala ya leo ya NYEUSI NA NYEUPE ambapo kupitia makala hizi tunauangalia ukweli ambao wengi hatupendi kuukubali. Kwa sababu ukweli umekuwa unaumiza, basi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Je Niachane Na Masomo Na Kufanya Biashara?

Habari za leo rafiki?Karibu kwenye makala yetu ya ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo tunakutana nazo na zinatuzuia kufika pale tunapotaka kufika. Changamoto huwa hazina mwisho, hivyo kuzikimbia ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sheria Nne (4) Za Kujenga Utajiri, Hata Kama Umezaliwa Familia Maskini.

Kwa kiasi kikubwa idadi ya tuliowengi bila  ya kujali ni maskini au tajiri  tumezaliwa katika familia maskini. Hata unapoona wengine wanakuwa wamefanikiwa sana, hiyo haina maana kwamba wao wametakotea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; Boys Of Few Words (Jinsi Ya Kuwalewa Watoto Wa Kiume...

Mawasiliano ni moja ya mahitaji muhimu sana kwa maisha ya kila mwanadamu. Ni mawasiliano ndiyo yanatuwezesha kupata kile tunachotaka, na hata kutoa kile ambacho tunacho kwa wengine. Bila ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makosa Mawili (02) Makubwa Yanayogharimu Maisha Ya Watu Wengi.

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vitu Viwili Unavyopaswa Kuwekeza Ili Kuweza Kutengeneza Kipato Kwenye Intaneti.

Habari rafiki?Sheria ya asili inasema kila mtu anavuna kile alichopanda, na hiyo ipo wazi kwenye kila jambo tunalofanya kwenye maisha. Matokeo unayopata sasa ni kutokana na vitu ulivyofanya huko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fahamu Umuhimu Wa Kuilinda Nyumba Yako Dhidi Ya Mchwa.

Ni wakati mzuri ambao tunakutana tena kwa ajili ya kushauriana juu ya mambo mbalimbali yanayohusu uwekezaji wa ardhi na majengo. Leo nitazungumzia kwa kina namna ya kuilinda nyumba yako dhidi ya athari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYEUSI NA NYEUPE; sawa, lakini kwa nini uwe wewe, na kwa nini usiwe wewe?...

Najua unapoona NYEUSI NA NYEUPE unajua nini kinaenda kuendelea hapa. Najua unajua kwamba utakwenda kuupata ukweli kama ulivyo, hata kama hupendi kuusikia ukweli. Lakini hakuna namna, lazima tu uusikie,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Biashara Tano (05) Unazoweza Kuanzisha Kama Huna Mtaji Wa Kuanza...

Habari rafiki?Tangu nimeanzisha kipengele hichi cha USHAURI WA CHANGAMOTO INAYOKUZUIA KUFIKIA MAFANIKIO, mwaka 2014, hakuna kitu ambacho kimekuwa kinaombwa ushauri kama biashara, hasa wapi pa kuanzia....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo Manne (4) Muhimu Ambayo Watu Wengi Wanachelewa Kuyafahamu Katika Maisha...

Yapo mambo ambayo yanatakiwa kujulikana mapema sana karibu kwa kila mtu katika maisha yake. Lakini kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo pamoja na mazingira mambo hayo huchelewa sana kujulikana.Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hivi Ndivyo Unavyopoteza Fedha Kila Siku Bila Ya Wewe Mwenyewe Kujua.

Habari za leo rafiki yangu?Napenda kuchukua nafasi hii kukufahamisha kwamba semina yetu ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA ambayo ilifundishwa kwa njia ya mtandao, kupitia kundi la wasap la KISIMA CHA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; How To Negotiate Better Deals (Mwongozo Wa Majadiliano...

Maisha ni majadiliano, kupata kile ambacho unakitaka, kwa namna unavyotaka wewe, utahitaji kujadiliana na wale wanaopaswa kukupa kile unachotaka. Na mara nyingi, hasa inapokuja kwenye biashara, mpango...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Changamoto Kubwa Inayoharibu Furaha Ya Mafanikio.

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nafasi Ya Kipelee Kabisa Ya Kupata Mafunzo Ya Semina Ya ELIMU YA MSINGI YA...

Habari rafiki?Kama nilivyokueleza kwenye email iliyopita, wapo watu ambao walipenda kushiriki semina ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA lakini hawakupata nafasi hiyo. Lakini kadiri semina ilivyokuwa inaenda,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu Moja Kubwa Inayopelekea Biashara Nyingi Kufa.

Habari rafiki?Watu wengi wamekuwa wakikazana kuanzisha biashara, wanajinyima kupata mitaji ili kuongeza vipato vyao kupitia biashara. Lakini cha kusikitisha, biashara hizo hufa na watu kupoteza fedha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu Pekee Kwa Nini Narudia Semina Ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, Na Kwa Nini...

Habari za wakati huu rafiki yangu,Hongera kwa kuonesha nia ya kupenda kupata mafunzo ya semina ya ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, mafunzo ambayo yatakuwezesha kujijengea uhuru wa kifedha na utajiri. Hongera...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi Ni Gharama Zilizojificha Ambazo Zinakuzuia Wewe Kufikia Utajiri.

Habari za leo rafiki?Linapokuja swala la fedha, kila mtu huwa anakuwa na hisia zake, lakini ukweli unabaki kwamba kila mtu anahitaji fedha ili maisha yaweze kwenda. Hata wale ambao wanasema kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sheria Tano Za Fedha Unazopaswa Kuzijua Na Kuzisimamia Kama Unataka Kuondoka...

Rafiki,Moja ya vitabu nilivyowahi kusoma kuhusu fedha na nikavielewa na hata kujenga msingi wangu wa kifedha ni kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Kitabu hichi kimetoa elimu muhimu sana kuhusu fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Jinsi Ya Kuepuka Kusumbuliwa Na Watu Unaowakopesha Wakiwa Na Shida.

Habari za leo rafiki?Karibu kwenye makala yetu ya leo ya USHAURI WA CHANGAMOTO ambazo zinatuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yetu. Changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tupa Sababu Zako Kule…Anza Kutimiza Ndogo Zako Hivi.

Kati ya kitu ambacho kinaua mafanikio yako sana ni sababu ulizonazo. Sina uhakika kama unalijua sana hili, au unafanya makusudi kuleta sababu zako kila wakati kwamba hujachukua hatua kwa sababu hii au...

View Article
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live