UCHAMBUZI WA KITABU; Stop Sabotaging Your Career (Acha Kuihujumu Kazi Yako...
Watu wengi ambao wamekuwa hawapigi hatua kwenye kazi zao, hasa wale ambao wameajiriwa, ni kwa sababu, wao wenyewe, bila ya kujua, wanakuwa wanahujumu kazi zao. Yaani kuna mambo wanafanya au...
View ArticleFaida Kubwa Ya Kutawala Uwepo Wako Katika Kile Unachokifanya Hapa Duniani
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleChangamoto Ya Kutegemea Matangazo Kama Njia Ya Kutengeneza Kipato Kwenye...
Habari rafiki?Karibu kwenye kipindi chetu cha leo cha video ambapo tunakwenda kujifunza mambo muhimu ya kuzingatia katika kutengeneza kipato kupitia mtandao wa intaneti.Zipo njia nyingi za kutengeneza...
View ArticleMambo Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Tajiri Mpya Namba Moja Duniani (Jeff Bezos).
Jana ulimwengu wa biashara na fedha ulikuwa na habari kuu moja ya ujio wa tajiri namba moja duniani. Jeff Bezos alifanikiwa kumpiku tajiri namba moja wa muda mrefu Bill Gates baada ya thamani ya...
View ArticleHizi Ndizo Sifa Pekee Za Ramani Ya Nyumba Bora Na Ya Kisasa
Ramani ya nyumba ni dira muhimu sana kwa wahandisi na wanasayansi wa ujenzi duniani kote. Ni nguzo na ngao za maamuzi na utekelezaji katika kufikia lengo kabla na wakati wa ujenzi. Maendeleo ya sayansi...
View ArticleMambo Matano (05) Unayopaswa Kujua Kuhusu Tajiri Namba Moja Duniani Aliyedumu...
Habari rafiki?Jana niliweka makala iliyokuwa inaelezea safari ya bilionea Jeff Bezos, mmiliki wa Amazon kufikia kuwa tajiri namba moja duniani na kumpiku aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo kwa muda...
View ArticleUshauri Kwa Wanaotegemea Kuanza Elimu Ya Vyuo Vikuu, Mambo Matatu Ya...
Habari rafiki?Huu ni ule wakati wa mwaka ambao vijana waliomaliza kidato cha sita na hata watu wanaotaka kujiendeleza kielimu wanapochagua kozi za kusomea na hata vyuo gani. Najua mpaka sasa mengi...
View ArticleSababu Moja Kubwa Inayopelekea Watu Wengi Kuendelea Kuwa Masikini Licha Ya...
Habari rafiki?Fedha ni moja ya maeneo muhimu sana ya maisha yetu, ukiondoa hewa ambayo tunaipata bure bila ya kulipia chochote, kitu cha pili kwa umuhimu zaidi ni fedha, kwa sababu bila fedha, huwezi...
View ArticleHizi Ndizo Faida Za Kutofanya Kazi Kimazoea.
Upo utafiti ambao uliwahi kufanywa ambao sio rasmi, ila utafiti huo una uhalisia ndani yake. Utafiti huo unasema ya kwamba, moja kati ya sababu kubwa za watu wengi kutokufanikiwa katika maisha yao,...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; Procrastinate On Purpose (Ruhusa Tano Za Kujipa Ili...
Moja ya changamoto kubwa kwa kila mtu ni muda, kwa sababu muda upo kwa kiwango kile kile kwa siku. Huwezi kukopa muda, lakini pia ukishapoteza muda, huwezi kuupata tena.Vimeandikwa vitabu vingi sana...
View ArticleMadhara Ya Kuwa Na Njaa Hii Katika Maisha Yako.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleJe Inawezekana Kutengeneza Zaidi Ya Milioni Tano Kila Wiki Kupitia Intaneti?...
Habari za leo rafiki?Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa intaneti, utakuwa umeshawahi kupokea ujumbe unaokuambia kwamba kuna njia unaweza kutengeneza mamilioni ya fedha kupitia mtandao wa intaneti,...
View ArticleMAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUIFANYA NYUMBA YAKO KUWA BORA NA SALAMA
Habari za siku rafiki, ni tumaini langu kuwa bado unaendelea kuweka juhudi na maarifa kuhakikisha unafikia malengo ambayo umejiwekea mwaka huu. Hilo ni jambo nzuri na hongera kwa kila hatua ambayo...
View ArticleTatizo Lako Ni Huyo Ng’ombe Aliyekonda Ambaye Umeweka Matumaini Yako Yote Kwake.
Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye makala yetu nzuri ya leo, ambapo nakwenda kukushirikisha kitu muhimu sana kwa mafanikio yako. Kitu ambacho nimeona kimenisaidia mimi, na nina uhakika...
View ArticleAina Mbili Za Madeni Na Madeni Ya Kuepuka Kwenye Maisha Yako.
Habari za leo rafiki yangu?Hakuna kitu kimekuwa mzigo kwa wengi na kuwazuia kufanikiwa kama mikopo na madeni. Japo wengi wamekuwa wakidanganyika mikopo ina manufaa kwao, wengi wamekuwa wanauona ukweli...
View ArticleUkiwa Na Kitu Hiki Hata Iweje, Utafanikiwa Tu.
Wengi tumekuwa tukitafuta mbinu na siri za kufanikiwa maishani na kujiuliza sana maswali mengi ya nifanye nini ili niweze kufanikiwa kwenye maisha. Na kuna wakati tumekuwa tukijiuliza labda tumekosa...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; Power Of Motivation (Jinsi Unavyoweza Kufanikiwa Katika...
Mafanikio ni kitu ambacho kimeandikiwa vitabu na makala nyingi sana. Kuna maarifa mengi sana yametolewa kuhusu mafanikio. Kuna mbinu na siri nyingi mno zimeshafundishwa kuhusu mafanikio. Lakini pamoja...
View ArticleHii Ndiyo Hazina Kubwa Kuliko Zote Duniani.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleHii Ndiyo Siri Kubwa Ya Waandishi Wenye Mafanikio Makubwa.
Rafiki, Wahenga walisema ukiona vyaelea ujue vimeundwa. Dunia inapenda kuona matokeo, lakini haipendi kuona ule mchakato wa matokeo hayo, namna gani yamefikiwa. Huwa tunaona habari za watu waliotoka...
View ArticleMambo Muhimu Ya Kuzingatia Ili Kuepuka Nyufa Kwenye Nyumba Yako Pale...
Huwa najisikia furaha na amani moyoni pale ninapokutana na wewe na kuniambia kuwa umeshaanza kuchukua hatua kufikia lengo, nafarijika sana ninapopokea simu yako na kuniambia kuwa umeshafanikisha...
View Article