Jinsi Ya Kupika Supu Ya Mawe; Njia Ya Kuanza Biashara Bila Ya Kitu Na Kuweza...
Habari za leo rafiki yangu?karibu kwenye makala yetu ya leo, ambapo kupitia makala hizi tunashirikishana maarifa muhimu ya kutuwezesha kuwa na maisha bora na yenye mafanikio makubwa. Watu wengi...
View ArticleUSHAURI; Hatua Muhimu Za Kuchukua Ili Kuondoka Kwenye Madeni Na Kuongeza...
Habari za leo rafiki?Karibu kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto ambazo zinatuzuia kuwa na maisha ya mafanikio. Changamoto ni nyingi, zipo zinazotokea kutokana na mazingira na pia zipo...
View ArticleMambo Muhimu Ya Kufanyia Kazi, Ili Biashara Yako Iwe Na Mafanikio Makubwa.
Kufanikiwa katika biashara na kujenga mafanikio, sio jambo la muujiza bali ipo misingi ambayo kila mfanyabiashara awe mdogo au mkubwa akiifata misingi hiyo vyema, ni lazima biashara hiyo itakuwa ya...
View ArticleKARIBU KWENYE SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA OKTOBA 2017. Habari rafiki?
Napenda kuchukua nafasi hii kukupa taarifa za semina ya KISIMA CHA MAARIFA itakayofanyika mwezi oktoba mwaka 2017. Semina hii itakuwa ya kuhudhuria moja kwa moja na itafanyika jijini dar es salaam.Hii...
View ArticleIfahamu Sehemu Iliyogeuka Kuwa Kimbilio La Wazazi Wengi Katika Malezi Ya Watoto.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleHii Ndiyo Changamoto Kubwa Ya Kuwa Kiongozi, Ambayo Lazima Uijue Na Ujiandae...
Kila mtu anapaswa kuwa kiongozi kwenye maisha yake. Hii ni kauli ambayo watu wengi wamekuwa hawaielewi kwa sababu mtazamo wao linapokuja swala la uongozi basi ni wale watu ambao wamechaguliwa au...
View ArticleMambo Muhimu Ya Kuzingatia Pale Unapohitaji Mkopo Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa...
Nimepewa siku nyingine tena ambayo napaswa niitumie vizuri kwa kadri nitakavyoweza ili iweze kuleta tija kwa maisha yangu binafsi pamoja na maisha ya kizazi hiki ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Hii ni...
View ArticleKama Huwezi Kuondoka Kwenye Kundi La ‘WHATSAPP’ Utaweza Kuondoka Kwenye...
Habari za leo rafiki?Hongera sana kwa juhudi unazoendelea kupiga kwenye maisha yako, ili kuhakikisha unapiga hatua zaidi na kutoka hapo ulipo sasa. Inawezekana kabisa wewe kufanikiwa zaidi ya hapo...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kupata Masoko Ya Biashara Yako Kwenye Intaneti Bila Ya...
Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia kufikia mafanikio ambayo tunatarajia. Changamoto ni sehemu ya safari ya mafanikio,...
View ArticleKama Tatizo Kwako Ni Kokosa Pesa, Soma Hapa.
Mojawapo ya changamoto kubwa iliyo kwa wengi ni changamoto inayohusiana na mambo ya fedha. Linapotajwa eneo la fedha kwa wengi imekuwa ni changamoto sana na hii ni kutokana na misingi mibovu ya pesa au...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; On Becoming A Leader (Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Ili...
Dunia ya sasa inabadilika kwa kasi sana, mambo mengi ambayo yalikuwa yamezoeleka sasa hivi hayana tena nafasi.Mabadiliko haya ya kasi yanaleta changamoto kubwa kwa viongozi wa zama hizi. Wengi...
View ArticleHawa Ndio Watu Wenye Imani Kubwa Hapa Duniani.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleHizi Ndizo Mbinu Bora Za Kuepuka Majanga Kwenye Uwekezaji Wako Wa Majengo.
Wakati tulionao sasa ni wakati bora sana wa sisi kuendelea kupeana hamasa katika kuzitumia rasilimali zetu katika kujiletea maendeleo yetu binafsi pamoja na nchi yetu kwa ujumla. Hatuna sababu zozote...
View ArticleHatua Tano (05) Muhimu Za Kuchukua Kuokoa Biashara Inayokufa.
Habari za leo rafiki yangu,Hongera kwa kuchukua nafasi hii nzuri ya kuwa pamoja na mimi hapa, tukijifunza kwa pamoja njia za kufanya biashara wetu kwa ubora zaidi. Falsafa yangu kuhusu biashara ni hii;...
View ArticleNYEUSI NA NYEUPE; Jinsi Ya Kupata Noah Nyeusi, Au Ya Rangi Yoyote Ambayo...
Habari za leo rafiki yangu,Karibu kwenye kipengele chetu cha makala za nyeusi na nyeupe ambapo tumekuwa tunauangalia ukweli jinsi ulivyo, bila ya kupindisha maneno wala kutaka kubembelezana. Kwa kuwa...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Ulevi Wa Pombe Na Kuweza Kufanikiwa Kwenye...
Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia kuishi maisha ya mafanikio. Changamoto siyo kitu kigeni, kwani ni sehemu ya maisha....
View ArticleUsisubiri Siku Hii Ya Leo, Ikawa Siku Kubwa Ya Majuto Kwako.
Ipo siku utaangalia nyuma na kiitazama siku hii ya leo na utajishangaa sana, kwa nini hukuchukua hatua mapema na ukakubali kujazwa na hofu zisizo na msingi.Ipo siku utaangalia nyuma na kiitazama siku...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; The Warreb Buffett Way (Misingi Ya Uwekezaji Ya...
Linapokuja swala la uwekezaji duniani, jina Warren Buffet huwa halikosekani. Ni mmoja wa wawekezaji wenye mafanikio makubwa sana. Kwa miaka kadhaa amewahi kuwa tajiri namba moja duniani na kwa miaka...
View ArticleHiki Ndiyo Kitu Kinachosababisha Kuona Maisha Yako Ni Magumu Na Hayana Maana.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleONGEA NA COACH; Aina Kuu Mbili Za Kipato Na Jinsi Ya Kuzitumia Kufika Kwenye...
Habari za leo rafiki yangu?Karibu tena kwenye kipengele hichi cha makala za ongea na coach ambapo nimekuwa nakuandalia masomo kwa njia ya video. Kupitia masomo haya, nimekuwa nakushirikisha maarifa...
View Article