Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1010

VIDEO; Hii Ndiyo Njia Bora Kabisa Ya Wewe Kulipwa Kwenye Mtandao Wa Intaneti.

$
0
0
Watu wengi wanaoingia kwenye biashara za kutumia mtandao wa intaneti kutengeneza kipato, wamekuwa hawana uelewa wa kutosha juu ya namna gani wanavyoweza kulipwa.

Wengi wamekuwa wakifikiri wanalipwa kutokana na malipo ya watu wanayofanya kupata vifurushi vya intaneti.

Ukweli ni kwamba, zipo njia tatu muhimu za kulipwa kwenye mtandao wa intaneti, na kati ya hizo, njia moja ndiyo nzuri na muhimu sana kwako.

Ni muhimu kila mfanyabiashara na mtu yeyote anayetaka kutumia intaneti kwa manufaa kujua njia hii na jinsi ya kuitumia.

Kupitia somo letu la leo, nimekushirikisha kwa kina njia zote tatu, na nikaenda ndani zaidi kwenye njia ile ambayo unapaswa kuijua na kuitumia.

Angalia somo hili ili uwe na uelewa sahihi na ujue yapi muhimu kuzingatia ili kuweza kutengeneza kipato kwenye intaneti.

Somo hili la leo litakuwezesha kujua maeneo ambayo ukiweka mkazo unaweza kutengeneza kipato kikubwa kupitia mtandao wa intaneti.

Unaweza kuangalia somo hili kwa kubonyeza maandishi haya.

Pia unaweza kuangalia moja kwa moja hapo chini kama kifaa chako kinaruhusu.

Haijalishi upo wapi au unaanzia wapi, mtandao wa intaneti ni fursa ya kila mtu kuweza kutengeneza kipato. Jifunze na chukua hatua ili usibaki nyuma kwenye mapinduzi haya muhimu kwetu.

Kujifunza zaidi tembelea; www.mtaalamu.net

Kupata blog ya kitaalamu unayoweza kuitumia kutengeneza kipato tembelea; www.mtaalamu.net/patablog

Kujifunza mbinu za kutengeneza kipato kwenye mtandao wa intaneti tembelea www.mtaalamu.net/pesablog

Kila la Kheri Rafiki Yangu.

Rafiki na Kocha wako,


Kupata blog yako ya kitaalamu, unayoweza kuitumia kutengeneza kipato, BONYEZA maandishi haya.

Kama umejifunza kupitia makala hii karibu tujifunze zaidi kupitia KISIMA CHA MAARIFA, ambapo utaingia kwenye kundi la wasap na kupata mafunzo kila siku. Bonyeza maandishi haya kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA.

Kwa kupata vitabu vya biashara na mafanikio tembelea www.kisimachamaarifa.co.tz/vitabu

Pata kitabu BIASHARA NDANI YA AJIRA ujifunze jinsi unavyoweza kuanzisha na kukuza biashara yako, pia utajifunza mifereji nane(08) ya kipato unayopaswa kuwa nayo ili kufikia uhuru wa kifedha. Bonyeza maandishi haya kupata kitabu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1010

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>