Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; Ten Commitments To Your Success (Dhamira Kumi Kwa...

Mafanikio ni kitu ambacho kila mtu anapenda kwenye maisha yake, lakini wachache sana ndiyo wanaishia kuyapata mafanikio. Japokuwa hakuna mtu yeyote anayeweza kumzuia mwenzake kufanikiwa, bado wengi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu Ndiyo Wakati Sahihi Wa Kutua Mizigo Tuliyobeba Kwenye Mioyo Yetu.

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri.  Karibu sana rafiki tuweze kujifunza wote kwa pamoja kwani leo ni siku bora na ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri Tatu Muhimu Za Kimafanikio Ambazo Unatakiwa Uzitumie Kila Siku.

Hakuna kanuni au mbinu moja tu ya mafanikio ambayo unaweza ukatumia hadi kumfanikisha mtu moja kwa moja. Kwa kawaida zipo kanuni au siri nyingi sana ambazo zinaweza kumfanya mtu akaweza kufanikiwa.Leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kosa Moja Wanalolifanya Wengi Na Kuwazuia Kutengeneza Fedha Kwenye Mtandao Wa...

Kutengeneza fedha kupitia mtandao wa intaneti siyo kitu rahisi kama wegi wanavyofikiri. Lakini ni kitu ambacho kinawezekana vizuri pale unapokuwa na maarifa sahihi.Watu wengi wamekuwa wanafikiri njia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli maarufu inayotumiwa na watu wengi katika malezi ya watoto.

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nafasi Za Coaching Kwa Mwezi May, Karibu Tufanye Kazi Pamoja.

Habari za leo rafiki?Kila mwezi nimekuwa nafanya kazi na watu wachache, ambao kuna hatua wamekuwa wanatamani kupiga kwenye maisha yao, lakini wao wenyewe wameshindwa. Wanakuwa wanajua kabisa ni wapi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo Matano(05) Unayopenda Sana Kufanya Ambayo Yanakuzuia Wewe Kufanikiwa...

Habari za leo rafiki yangu,Ni matumaini yangu kwamba uko vizuri na unaendelea kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Lakini licha ya juhudi unazoweka, yapo mambo ambayo huenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barua Ya Wazi Kwa Wafanyakazi Wote, Mambo Matatu (03) Muhimu Unayohitaji...

Tarehe moja ya mwezi wa tano kila mwaka, ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi. Siku hii ina historia kubwa sana kwa wafanyakazi wote, kwa sababu imekuwa ni siku ya kuazimisha harakati mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Jinsi Unavyoweza Kukamilisha Mipango Yako Licha Ya Kuwa Na...

Karibu tena rafiki yangu kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto ambazo zinatuzuia kufikia mipango yetu na mafanikio kwenye maisha. Kwa kuwa changamoto ni sehemu ya maisha, hapa hatujifunzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sheria Sita (6) Za Mafanikio Ambazo Watu Wa Mafanikio Wanazitumia Sana.

Kuishi maisha ya mafanikio sio ajali. Zipo taratibu na kanuni ambazo karibu watu wote wenye mafanikio wanazitumia kanuni au sheria hizo hadi kuweza kufikia mafanikio makubwa karibu kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; Winning Arguments (Mbinu Za Kushinda Majadiliano Kwa Hoja).

Moja ya sifa yetu binadamu ni kwamba, hakuna kitu kimoja ambacho wote kwa pamoja tunaweza kukubaliana. Kwenye jambo lolote lile, lazima kutakuwa na pande mbili, upande unaokubali na kuona ni sahihi, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbinu Bora Ya Kurudisha Thamani Ya Mwenzi Wako Katika Maisha Ya Ndoa.

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako huku ukiendelea kupambana kuhakikisha unapata kile unachokitaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIRI; Dunia Inapambana Kuhakikisha Wewe Hufanikiwi, Jiandae Kupambana.

Habari za leo rafiki?Umewahi kupanga vizuri kabisa namna ambavyo utachukua hatua ili kuboresha maisha yako? Namna ambavyo itaanza biashara yako? Au namna utakavyoanza kilimo ili uweze kujikwamua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tabia Hii Moja Itakufanya Uendelee Kuwa Masikini Maisha Yako Yote. Jifunze...

Mwaka 2013 niliandika kitabu kwenye mfumo wa nakala tete (softcopy) nilichokipa jina KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIYO TAJIRI. Ndani ya kitabu hichi nilieleza sababu ishirini na tano zinazowazuia watu kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barua Ya Wazi Kwa Waajiriwa Wapya; Mtego Mkubwa Unaopaswa Kuuepuka Kwenye...

Siku za karibuni kumekuwa na habari mbaya kwa baadhi ya watu na habari nzuri kwa baadhi ya wengine kuhusiana na ajira. Habari mbaya imekuwa ni ile ya kufukuzwa kazi kwa waajiriwa ambao hawakuwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Usiache Chuo Na Kwenda Kufanya Biashara, Bali Chukua Hatua Hii.

Habari za leo rafiki,Karibu kwenye makala zetu za ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia kufikia mafanikio tunayotaka kwenye maisha yetu. Changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Ya Kutengeneza Nguvu Kubwa Itakayokusaidia Kufanikiwa Moja Kwa Moja.

Mafanikio siku zote yanakuja kutokana na wewe kujenga uwezo au nguvu ya kukusaidia kufanikiwa kila siku. Hapo nikiwa na maana ni muhimu kujua kila siku, unatakiwa kutengeneza nguvu fulani ya kukusaidia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA; Elimu Ya Msingi Ya Fedha (Basic Financial Education).

Habari za leo rafiki yangu,Mwanzoni mwa mwaka huu 2017 niliendesha semina yetu ya kwanza ya mwaka 2017 kwa njia ya mtandao. Na nilikuahidi nitakuwa na semina mbili tu kwa mwaka huu 2017, ile ya kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo Muhimu Sana Unayopaswa Kujua Kuhusu Hisa Za Vodacom.

Habari rafiki?Kesho tarehe 11/05/2017 ndiyo mwisho wa kununua hisa za vodacom kwenye soko la awali. Wakati tunaelekea mwisho kabisa wa zoezi hilo, nimeandaa mwongozo huu mfupi kuhusu UWEKEZAJI KWENYE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu Hawa Ndiyo Chimbuko La Miito Yote Hapa Duniani.

Habari ya leo Mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Maisha ni mapambano na usichoke kupambana kwani bila...

View Article
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>