Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1010

Kosa Moja Wanalolifanya Wengi Na Kuwazuia Kutengeneza Fedha Kwenye Mtandao Wa Intaneti.

$
0
0
Kutengeneza fedha kupitia mtandao wa intaneti siyo kitu rahisi kama wegi wanavyofikiri. Lakini ni kitu ambacho kinawezekana vizuri pale unapokuwa na maarifa sahihi.

Watu wengi wamekuwa wanafikiri njia za kutengeneza fedha kwenye mtandao wa intaneti ni kama hizi;

1. Kubofya link na kuituma kwa wengi halafu watapata fedha.

2. Kuweka picha za kitu unachouza, picha nyingi kila muda ili watu waone.

Njia hizo mbili zimekuwa zinatumiwa na watu wengi kwa sababu ni rahisi. Lakini tatizo ni kwamba, hazileti fedha ambazo watu wanatarajia kupata.

Ipo njia ya uhakika ambayo siyo rahisi, lakini kwa kuitumia utaweza kutengeneza kipato kupitia mtandao wa intaneti. Kwa kutumia njia hii watu hawatakereka na matangazo yako ya picha kila mara.

Katika somo la leo la kuhusu kutengeneza fedha kwenye mtandao wa intaneti, imezungumzia kosa kubwa sana ambalo wengi wanalifanya na njia moja ya uhakika ya kuweza kutengeneza fedha kwenye mtandao wa intaneti.

Angalia somo hili la leo, ujifunze njia hiyo na uache kufanya makosa. Kuangalia somo hili bonyeza maandishi haya.

Pia unaweza kuliangalia hapa chini kama kifaa chako kinaweza kuonesha moja kwa moja.

Kutengeneza fedha kwenye mtandao wa intaneti bado ni fursa changa kabisa huku Africa na hapa Tanzania. Kadiri unavyokuwa na maarifa sahihi, ndivyo unavyonufaika.

Angalia somo hili la leo, jifunze na Chukua hatua.

Tumia ujuzi, utaalamu na uzoefu wako kutengeneza kipato kwenye mtandao wa intaneti kupitia MTAALAMU NETWORK.

Makirita Amani,

Kocha wa mafanikio, Mwandishi na Mjasiriamali.

Karibu sana kwenye MTAALAMU NETWORK uweze kutengeneza kipato kupitia mtandao wa intaneti.

Kujua huduma za blog tunazotoa BONYEZA MAANDISHI HAYA.

Kusoma makala zetu za mbinu na maarifa ya kutengeneza kipato kupitia mtandao wa intaneti BONYEZA MAANDISHI HAYA.

Kupata kitabu cha JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG, bonyeza maandishi haya.

KUPOKEA MAKALA NA MAARIFA YA KUTENGENEZA FEDHA KWA BLOG KWENYE EMAIL YAKO BONYEZA MAANDISHI HAYA NA UJAZE FOMU.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1010

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>