Jinsi Ya Kumgundua Mtoto Mwenye Uwezo Mkubwa Darasani.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Ni imani yangu kuwa umeianza siku yako kwa furaha na hamasa kubwa ya kwenda...
View ArticleTumeshakula Robo Moja, Mpaka Sasa Umefika Wapi Rafiki Yangu?
Habari za leo rafiki yangu?Leo ni tarehe 01/04/2017 hii ina maana kwamba mwezi wa kwanza umeisha, wa pili umeisha na wa tatu tumeumaliza hapo jana. Kwa kuwa mwaka una miezi 12, ukigawa kwa nne, unapata...
View ArticleBarua Ya Wazi Kwa Wazazi Wa Kizazi Kipya (Kama Una Miaka Chini Ya 40 Soma Hapa).
Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye makala yetu ya ambapo tunakwenda kushirikishana yale muhimu kwa maisha bora, yenye furaha na mafanikio makubwa.Leo nimewaandikia barua wazazi wote wa kizazi...
View ArticleVIDEO; Vitu Vitatu Muhimu Vya Kuzingatia Kwenye Matumizi Yako Ya Mitandao Ya...
Habari rafiki yangu?Kama unaangalia hapa, najua unatumia mtandao wa intaneti na unatumia mitandao ya kijamii. Najua upo kwenye makundi mbalimbali kwenye mitandao hii, pengine unajifunza, pengine hakuna...
View ArticleMambo Ambayo Watu Wenye Mafanikio Hawafanyi Tena Kwenye Maisha Yao
Kwa kawaida tunapotaka kufanya jambo fulani la kimafanikio kwa wengi wetu huwa tuna tabia ya kuangalia hasa watu wenye mafanikio ni kitu gani ambacho walikifanya hadi kufikia mafanikio hayo. Kwa lugha...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kupata Elimu Bora Ya Kufanikiwa Kwenye Biashara Hata Kama...
Rafiki,Karibu kwenye kipengele chetu cha ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia kufikia maisha ya mafanikio. Changamoto zipo na zitaendelea kuwepo, hatua bora kwetu kuchukua siyo kuzikwepa,...
View ArticleHuyu Ndiye Mshauri Wa Kwanza Katika Maisha Ya Ndoa.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika kutimiza majukumu yako ya kila siku. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya...
View ArticlePAMBANA; Hakuna Atakayekupa Chochote, Unahitaji Kuchukua Mwenyewe.
Hongera rafiki yangu kwa nafasi hii nyingine ambayo tumepata fursa ya kujifunza pamoja hapa. Kitu ambacho nimekuwa nakuambia kila siku ni kwamba, kujifunza ni hitaji la msingi sana la maisha ya...
View ArticleKwa Nini Wengi Hushindwa Wanapoiga Wanayofanya Wengine, Na Jinsi Ya Kuepuka
Kushindwa Unapoiga.Tumekuwa tunaona kila mara, mtu anaanzisha kitu, anakuja na ubunifu wa tofauti, na tunaona ni kitu kizuri. Ghafla wengi wanaiga ubunifu ule, lakini wengi wanaishia njiani. Pamoja na...
View ArticleBarua Ya Wazi Kwa Waalimu Wa Sanaa Na Kada Nyingine Zilizokosa Kipaumbele...
Habari za leo rafiki yangu,Karibu kwenye barua ya leo ya wazi, ambapo kupitia barua hizi za wazi nakwenda kuzungumza na watu mbalimbali kuhusu hali wanazopitia na namna wanaweza kufanya maisha yao kuwa...
View ArticleUSHAURI; Biashara Ya Kuchagua Kufanya Unapokuwa Na Mawazo Mengi Ya Biashara.
Habari rafiki,Karibu kwenye makala ya leo ya ushauri wa changamoto ambazo zinatuzuia kufanikiwa. Kupitia makala hizi nakushauri kwa zile changamoto unazopitia, hatua gani uchukue ili uweze...
View ArticleMambo Mawili Ambayo Hutakiwi Kuyasahau Katika Safari Ya Mafanikio.
Sina shaka na wewe kwamba karibu kila siku umekuwa ukijifunza mbinu mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia kufikia mafanikio na kufanya maisha yako kuwa bora kabisa.Naamini mbinu hizo umekuwa ukijifunza...
View ArticleHatua Tatu Za Kuchukua Pale Unapokatishwa Tamaa Na Watu Wa Karibu Kwako.
Habari za leo rafiki?Karibu kwenye kipindi chetu cha leo cha ONGEA NA KOCHA ambapo tunakwenda kushirikishana maarifa muhimu kwa maisha yetu ya mafanikio. Kupitia kipindi hichi nakushirikisha mbinu na...
View ArticleJambo La Muhimu Ambalo Hujachelewa Kulifanya Kwenye Maisha Yako.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa haujambo na unaendelea vizuri kupambana na majukumu ya kila siku. Maisha ni kupambana kila siku rafiki...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; ZERO TO ONE (Kutoka Sifuri Mpaka Moja, Jinsi Ya...
Biashara nyingi zimekuwa ni maboresho ya biashara ambazo tayari zipo. Yaani kama sasa kuna magari, basi watu wanaofungua kampuni mpya za magari wanaangalia kinachofanyika sasa na kuboresha zaidi....
View ArticleHuu Ndiyo Uwekezaji Bora Kabisa Unaokufanya Wewe Kuwa Tajiri Kwenye Maisha Yako.
Utajiri ni matokeo ya uwekezaji, hili nimekuwa nakuambia mara nyingi rafiki yangu. Nimekuwa nasema utajiri ni pale fedha inapokufanyia wewe kazi, na umasikini ni pale wewe unapoifanyia kazi fedha. Kwa...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuwashawishi Watu Wajiunge Na Biashara Ya Mtandao Unayofanya
Habari za leo rafiki yangu?Watu wengi wamekuwa wanajiunga na biashara ya mtandao (network marketing) wakiwa na matumaini makubwa sana ya mafanikio. Baada ya kupewa habari za biashara hiyo, na kuoneshwa...
View ArticleMambo Yanayokuzuia Kupata Furaha Ya Kweli Maishani Mwako.
Inaweza kuonekana ni kitu cha kawaida lakini kuwa na furaha ya kweli na ya kudumu ni kitu ambacho kinatafutwa sana na watu wengi. Ndio maana ukichunguza, harakati nyingi za kutafuta maisha zinalenga...
View ArticleVIDEO; Kanuni Moja Ya Uhakika Itakayokuwezesha Kupata Chochote Unachotaka...
Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye kipindi chetu kizuri cha ONGEA NA KOCHA ambapo tunapata nafasi nzuri ya kwenda kujifunza mambo muhimu kuhusu mafanikio kwenye kazi, biashara na maisha kwa...
View ArticleHawa Ndiyo Watu Waliopewa Uwezo Mkubwa Hapa Duniani.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni...
View Article