Msingi Mkubwa Wa Mafanikio Yako Unajengwa Sana Na Mambo Haya Tu.
Kila kitu dunia ambacho unakiona kina mafanikio makubwa, kina msingi wake ambao umefanya hadi unaona hayo mafanikio, unayoyaona sasa. Hakuna kitu ambacho kimewahi kuleta mafanikio makubwa duniani...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; NOBLE PURPOSE (Furaha Ya Kuishi Maisha Yenye Maana.)
Hakuna kitu ambacho kimewasumbua wengi kama njia sahihi ya kuwa na furaha kwenye maisha. Watu wamejaribu njia nyingi sana ambazo kwa nje zinaonekana kuleta furaha, lakini mwisho wanajikuta wanarudi...
View ArticleHili Ndilo Jawabu La Mambo Yote Ya Hapa Duniani.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa uko salama siku hii ya leo na unaendelea vizuri kabisa katika shughuli zako za kila siku. Leo ni siku ya...
View ArticleONGEA NA KOCHA; Kama Mimi Ningekuwa Wewe, Lazima Ningefanya Hivi Ili Niweze...
Rafiki yangu,Moja ya vitu ambavyo nashukuru kuvijua mapema kwenye maisha yangu, ni ukweli kwamba maisha ni kuchagua, unavyoishi, unachagua mwenyewe, iwe ni kwa kujua au kwa kutokujua. Unachagua...
View ArticleUSHAURI; Kwa Nini Ukipata Fedha Nyingi Haikai Na Wala Hutulii.
Kila mtu anajua ni kwa namna gani fedha ilivyo muhimu kwenye maisha yetu, ni muhimu sana kwa sababu vitu vyote muhimu kwenye maisha tunavipata kwa fedha. Na hii ndiyo imepelekea sisi binadamu kutumia...
View ArticleKitu Ambacho Kitakuonyesha Kama Unafanikiwa Au Hufanikiwi Kwa Kitu...
Kila mtu anatamani sana kuona akifanikiwa kwa lile jambo ambalo analifanya. Hakuna hata mmoja ambaye hatamani iwe hivyo katika maisha yake. Mafanikio yakuwa ya lazima sana kwa kila mmoja wetu.Pamoja na...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; THE SCHOOL OF GREATNESS (Mwongozo Wa Kuwa Na Maisha...
Kila mtu ana ukuu ndani yake, ila ni wachache sana ambao wameweza kuishi ukuu huu. Wale wanaotambua na kuishi ukuu wao, wanafanya makubwa sana kwenye maisha yao. Ila wale ambao hawautambui na kuishi...
View ArticleHuyu Ndiye Msema Kweli Wa Mambo Yote Hapa Duniani.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania ? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri kupambana bila kukata tamaa kila siku, endelea kujaribu na kuthubutu kila siku na...
View ArticleONGEA NA KOCHA; Wacha Maneno Weka Muziki...
Habari za leo rafiki yangu katika mafanikio?Ni matumaini yangu kwamba uko vizuri, na unaendelea kupambana ili kuishi yale maisha unayotaka wewe, na siyo yale maisha ya kusukuma siku. Naomba nikiri...
View ArticleVIDEO; Anzia Hapo Ulipo Sasa, Fursa Ni Nyingi Unachohitaji Ni Kuchukua Hatua.
Habari rafiki?Kila mtu kuna hatua fulani ambayo anataka kupiga kwenye maisha yake. Na wengi ni kuanzisha biashara au kukuza zile biashara ambazo tayari wanazo. Wengine ni kuondoka kwenye ajira ambazo...
View ArticleHatua Za Kuanza Na Kidogo Ulichonacho Hadi Kufikia Mafanikio Makubwa.
Katika maisha, hakuna aliyeanza na mafanikio makubwa moja kwa moja, bali mafanikio hujengwa taratibu siku hadi na kuweza kufikia mafanikio makubwa. Kwa juhudi za kila siku mwisho huzaa mafanikio...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; THE EFFECTIVE EXECUTIVE (Mbinu Za Kuongeza Ufanisi Kwa...
Kama majukumu yako ya kila siku yanategemea zaidi ujuzi wako na akili kuliko nguvu, basi wewe ni mtendaji. Na changamoto ya nafasi ya utendaji ni kwamba, upimaji wa kazi yako ni mgumu sana. Mtu...
View ArticleSehemu Mbili (02) Muhimu Zilizosahaulika Katika Uwekezaji.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri, leo ni siku nyingine bora na ya kipekee sana kwetu hivyo tunaalikwa kumshukuru...
View ArticleVIDEO; Umuhimu Wa Kujua Kusudi La Maisha Yako.
Kama lipo swali gumu kwa mtu yeyote kujibu basi ni hili; lipi kusudi la maisha yako? Upo hapa duniani kufanya nini?Ni swali gumu sana kujibu kwa sababu kuu moja, ulipozaliwa, hukuja na kijitabu cha...
View ArticleMBINU MUHIMU YA MAFANIKIO; Kataa Chochote Ambacho Hakiendani Na Ndoto Zako.
Rafiki yangu, Kama mafanikio yangekuwa rahisi, basi kila mtu angekuwa nayo. Kwa sababu kila mtu ninayemjua mimi na hata wale ninaowaona kwa njia mbalimbali, wanapenda sana kufanikiwa.Hata wale...
View ArticleKitu Ambacho Huwezi Kukikosa Kama Ukikitafuta Kwa Mtu Yeyote Yule.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kuboresha maisha yako. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani...
View ArticleSiri Tatu (03) Muhimu Kuhusu Fedha Ambazo Matajiri Wanazijua Lakini Masikini...
Rafiki,Kama yupo mtu ambaye anapata matokeo tofauti na unayopata wewe, basi kipo kitu anachofanya tofauti na unavyofanya wewe. Hivyo badala ya kujiuliza wao wanawezaje na wewe umeshindwaje, jiulize...
View ArticleVIDEO; Uwekezaji Kwenye Soko La Hisa Na Fursa Ya Hisa Za Vodacom Tanzania.
Habari rafiki yangu?Karibu tena kwenye somo letu la leo la video za ONGEA NA COACH ambapo tunashirikishana mambo muhimu sana kwa ajili ya mafanikio yetu. Nimekuwa na msimamo mmoja mkuu kuhusu maisha...
View ArticleKwa Nini Unatakiwa Kuamka Asubuhi Na Mapema Kila Siku?
Kati ya tabia ambayo kwa haraka haraka unaweza kuiona sio ya muhimu sana ila unatakiwa uwe nayo na kuitumia kila siku katika maisha yako ili upate mafanikio ni tabia ya kuamka asubuhi na...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; HOW THE MIGHTY FALLS (Jinsi Gani Wakubwa Wanavyoanguka...
Katika historia ya dunia, kitu kimoja kinaonekana wazi, kila ambacho kilikuwa kikubwa sana, kiliishia kuanguka. Ukianza na tawala mbalimbali, zilikuwepo tawala kubwa kama Athens, Roma, Misri na...
View Article