Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahitaji Makuu Ya Mafanikio Kwa Msaka Mafanikio.

Mahitaji makuu ya mwandamu katika kuishi vyema hapa duniani anahitaji chakula,  mavazi na maradhi,  hii ni kwa mujibu ya mwalimu wangu ambaye aliwahi nifundisha miaka ya nyuma kidogo.Lakini tukiachana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; 15 Secretes Successful People Kow About Time Management....

Watu wamekuwa wakisema kwamba dunia haina usawa, kwamba kuna watu wanaoanzia kwenye hali nzuri kuliko wengine, hilo ni sawa. Lakini kuna eneo moja ambalo kuna usawa kabisa duniani. Eneo hili ni la...

View Article


Hii Ndiyo Sehemu Ya Kuogopwa Sana Kwenye Karne Ya Ishirini Na Moja.

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea vizuri katika kutimiza majukumu yako ya kila siku. Mpendwa rafiki, endelea kutimiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITABU; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

Habari za leo rafiki yangu?Moja ya changamoto kubwa ambayo watu wengi wamekuwa wanasema inawazuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao ni muda. Watu wana mipango mikubwa na mizuri sana, lakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONGEA NA KOCHA; Waepuke Watu Hawa Kwa Nguvu Zako Zote, Wanakurudisha Nyuma.

Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye mazungumzo yetu ya leo ambapo wewe na mimi kocha wako tunapata nafasi ya kushirikishana mambo muhimu kuhusu maisha na mafanikio. Ni muhimu tukumbushane mambo...

View Article


USHAURI; Biashara Rahisi Kufanya, Ambayo Haina Changamoto Na Faida Ni Kubwa.

Habari za leo rafiki?Unaendeleaje na harakati za kuyafanya maisha yako kuwa bora zaidi? Ni imani yangu kwamba unaendelea na juhudi, na kadiri mwaka unavyozidi kwenda, ndivyo unavyozidi kuchukua hatua....

View Article

Hii Ndiyo Chumvi Iliyopoteza Thamani Katika Zama Hizi Za Taarifa

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa u buheri wa afya na unaendelea vema katika shughuli zako unazozifanya. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; BE OBSESSED OR BE AVERAGE (Chagua Kupenda Sana Kile...

Kwenye maisha, wapo watu ambao wanafanya mambo makubwa na ya kushangaza bila ya kujali wameanzia wapi, na wapo watu ambao wanafanya mambo ya kawaida kabisa kama ambavyo kila mtu anafanya. Wale ambao...

View Article


Kitabu Muhimu Sana Kwako Kusoma Katika Kipindi Hichi Cha Habari Zisizo Na...

Unaendeleaje na harakati za kuyaboresha maisha yako rafiki yangu?Ni imani yangu kwamba unaweka juhudi kubwa zaidi kila siku ili kuhakikisha maisha yako yanazidi kuwa bora zaidi kila siku. Vitu vyote...

View Article


USHAURI; Jinsi Ya Kujua Fursa Za Kibiashara Zinazokuzunguka Hapo Ulipo Sasa.

Habari za wakati huu rafiki yangu?Watu wengi wanapopanga kuanzisha biashara, huwa wamekuwa wakihangaika na kutafuta wazo lipi bora la biashara kwao kufanya. Wengi hutafuta fursa kubwa na za mbali na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fanya Mambo Haya, Kutengeneza Maisha Ya Mafanikio Unayotaka.

Inawezekana una ndoto au mipango ya kuishi maisha ya namna fulani ambayo unayoyataka. Je, kitu cha kujiuliza, ulishawahi kujua utawezaje kushi maisha hayo unayoyataka?Je, ni mikakati ipi ambayo umeweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; HANDBOOK OF EPICTETUS (Mwongozo Wa Maisha Bora, Yenye...

Falsafa ya USTOA (STIOCISM au STOIC PHILOSOPHY) ni moja ya falsafa ambazo zimekuwepo tangu zama za kale. Falsafa hii ilianzia Ugiriki(Anthen) na baadaye Roma miaka 300 kabla ya kuja kwa kristo. Falsafa...

View Article

Kitu Cha Kuepuka Kuongozwa Nacho Katika Ulimwengu Wa Mambo Leo.

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na umeianza siku yako kwa imani chanya itakayokuwezesha kufika pale unapotaka. Rafiki, mambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kazi Yangu Ni Wewe; Njia Mbadala Za Kupata Ujumbe Na Hamasa Kutoka Kwangu.

Habari za leo rafiki yangu?Hongera sana kwa kuendelea kuwa msomaji wa makala hizi ninazoandika, ninaamini kipo kitu ambacho unapata ndiyo maana mpaka sasa tupo pamoja. Ingekuwa hakuna unachopata, nina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Kuongeza Elimu (Ya Darasani) Siyo Njia Sahihi Kwako Kuongeza Kipato.

Habari za leo rafiki?Ni imani yangu unaendelea vyema na harakati zako za kuyafanya maisha yako kuwa bora zaidi. Kumbuka hili ni jukumu lako wewe mwenyewe, hakuna mwingine anayekosa usingizi ili maisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uongo Mkubwa Unaojidanganya Kila Siku Na Unakupotezea Mafanikio Yako Kabisa.

Katika hali ya kawaida kwenye maisha unaweza ukawa unajidanganya sana kwenye baadhi ya mambo kwa muda mrefu nakufanya ukashindwa kufanikiwa hata bila wewe mwenyewe kujua kwa nini unashindwa.Hili mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; MINDFRIK (Jinsi Unavyoweza Kutawala Ulimwengu Wako Wa...

Kila mtu anapenda mafanikio, lakini ni wachache ambao wanaweza kuyafikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao. Licha ya kila mtu kujua wapi anataka kufika, licha ya juhudi kubwa ambazo kila mtu anaweza...

View Article


Hii Ndio Falsafa Muhimu Unayotakiwa Kumpatia Mgeni Wako.

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea kuboresha maisha yako bila kusahau kugusa na maisha ya watu wengine, leo ni siku bora...

View Article

Nidhamu Tatu Muhimu Za Kujijengea Ili Uweze Kufanikiwa.

Habari za leo rafiki yangu?Kila mtu anapenda kufanikiwa, mafanikio ni kitu ambacho kinazungumzwa na kutamaniwa na wengi, lakini wachache sana ndiyo wanaoweza kuyafikia mafanikio. Licha ya wengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Hatua Za Kuchukua Pale Marafiki Au Watu Wa Karibu Wanakukatisha...

Habari za leo rafiki?Karibu tena kwenye mtandao wetu wa AMKA MTANZANIA na karibu sana kwenye kipengele hichi cha ushauri wa changamoto. Kama ambavyo nimekuwa nakuambia siku zote, changamoto zipo hapa...

View Article
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>