Leo Ndiyo Siku Ya Mwisho Ya Kujiandikisha Kwenye Semina Ya 2017 MAFANIKIO...
Habari za leo rafiki yangu?Naomba kuchukua nafasi hii kwa mara ya mwisho kabisa kukukumbusha ya kwamba leo tarehe 02/01/2017 ndiyo siku ya mwisho ya kujiandikisha kwenye semina ya MWAKA 2017 MAFANIKIO...
View ArticleONGEA NA KOCHA; Uchawi Pekee Na Wa Uhakika Wa Mafanikio Ni Huu...
Habari za leo rafiki yangu? Jana tarehe 02/01/2017 ilikuwa ndiyo siku ya mwisho ya kulipia ada ya kujiunga na semina ya 2017 MAFANIKIO MAKUBWA BILA YA MALENGO. Kama tayari ulishatuma ada na bado...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; Sometimes You Win, Sometimes You Learn. (Somo Kubwa...
Tunaishi kwenye dunia ambayo ni ya kushinda au kushindwa, kupata au kukosa, hali ambayo inayafanya maisha yetu labda yawe ya furaha sana kama tunashinda, au ya huzuni sana kama tunashindwa. Hivi sivyo...
View ArticleManeno Mawili (02) Yasiyokuwa Na Msaada Kwenye Maisha Yako.
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kuishi maisha yeye maana hapa duniani. Maisha ya ubinafsi siyo maisha mazuri kuishi...
View ArticleVitabu 105 Tulivyosoma Kwenye Kundi La Kusoma Vitabu Kwa Mwaka 2016.
Rafiki,Katikati ya mwaka 2014 nilipata maono (VISION) ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano. Hakika haya yalikuwa maono makubwa ambayo sikuwahi kufikiri kama yanawezekana. Hivyo sikuanza...
View ArticleUSHAURI; Hatua Za Kuchukua Pale Watu Uliowakopesha Fedha Hawataki Kukulipa.
Habari za leo rafiki?Karibu kwenye kipengele chetu cha ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia sisi kufikia mafanikio makubwa. Kupitia kipengele hiki unaniandikia changamoto inayokusumbua na...
View ArticleSiri Ya Kudumu Katika Mahusiano Ya Ndoa.
Zipo changamoto ambazo zinazosababisha ndoa nyingi kufa. Hata hivyo kufa kwa ndoa hizo husababishwa na vitu vidogovidogo ambavyo watu wengi wamekuwa hawavitilii maanani. Hata hivyo siku ya leo...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; THE SLEEP REVOLUTION (Boresha Maisha Yako Kupitia...
Moja ya mahitaji muhimu sana kwenye maisha yetu ni kupata muda wa mwili na akili zetu kupumzika. Mwili unafanya kazi kubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku, na unahitaji pia muda wa kupumzika ili...
View ArticleHii Ndio Dayari Unayopaswa Kwenda Kuichoma Moto Leo Katika Maisha Yako.
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu unaendelea vizuri na maisha yako lakini pia unaendelea kugusa maisha ya watu wengine na siyo kuishi maisha ya kibinafsi...
View ArticleONGEA NA KOCHA; Kama Bilionea Akiishiwa Anaweza Kufanya Hivi, Kwa Nini Wewe...
Habari za leo rafiki yangu?Karibu kwenye maongezi yetu ya siku ya leo, ambapo mimi kocha wako napata nafasi ya kukushirikisha mambo muhimu kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora zaidi na unafanikiwa....
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kutumia Uwezo Wako Na Vipaji Vyako Kutengeneza Kipato.
Rafiki, karibu kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia kufikia maisha ya mafanikio.Leo tunakwenda kuangalia changamoto ya kutengeneza kipato kupitia uwezo na...
View ArticleHii Ndiyo Tafsiri Sahihi Ya Zawadi Katika Mahusiano Ya Ndoa.
Moja ya kitu ambacho huwa hakina kipaumbele sana katika mahusiano ya kimapenzi, ni miongoni mwa kitu ambacho kinachoitwa zawadi. Lakini ukweli ni kwamba zawadi ina maana kubwa sana katika mahusiano ya...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; KEYS FOR LEADERSHIP (Mwongozo Wa Uongozi).
Katika maisha yetu ya kila siku, kuna vitu au watu ambao tunawaongoza. Mafanikio yetu katika jambo lolote tunalofanya, yanatokana na uwezo wetu mzuri wa kuongoza. Kila mtu ni kiongozi wake yeye...
View ArticleHii Ndiyo Imani Chanya Unayopaswa Kumjengea Mtoto Katika Malezi.
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika shughuli zako za kila siku. Pole pia rafiki kwa changamoto unazokutana nazo katika maisha...
View ArticleONGEA NA KOCHA; Mapenzi, Hasira, Kujitoa Na Kupambana, Neno Langu Kwa Wale...
Habari za leo rafiki yangu?Mwaka 2017 unakwendaje kwako?Unachukua hatua au bado unalalamika?Kama unachukua hatua basi hongera sana, kwa sababu ni kuchukua hatua pekee ndipo kutakapokuletea matokeo...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuondokana Na Mzigo Wa Kuwasaidia Wengine Kifedha Na Njia...
Habari za leo rafiki?Changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku na ni kupitia changamoto ndipo tunapojifunza na kupiga hatua zaidi. Bila ya changamoto maisha yasingekuwa na raha ya kuishi, kwa...
View ArticleHawa Ndio Maadui Makubwa Wa Mafanikio Yako Unaowabeba Sana.
Wengi kulingana na uzoefu tumezoea kuona maadui wengi wa mafanikio yetu walio nje yetu. Mara nyingi tunakuwa hatuko tayari kukubali kuwa rafiki na mtu ambaye kwa namna moja au nyingine tumetambua ya...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; WHY WE WORK (Nadharia Ya Nini Kinawasukuma Watu Kufanya...
Nadharia ambayo imekuwa inatawala ulimwengu wa kazi na biashara ni kwamba watu wanafanya kazi ili walipwe. Kwamba kitu pekee kinachowasukuma watu kufanya kazi ni fedha. Nadharia hii imekuwa inatumika...
View ArticleONGEA NA KOCHA; Sehemu Sahihi Unayopaswa Kuwa Kama Una Kiu Ya Kweli Ya...
Habari za leo rafiki yangu?Karibu sana kwenye mazungumzo yetu ya leo ambapo mimi na wewe tunakwenda kujadili mambo muhimu kuhusu maisha bora, yenye furaha na mafanikio makubwa. Haya ndiyo matarajio ya...
View ArticleUSHAURI; Ndugu Zako Wanavyotumia Mafanikio Yako Kukuadhibu, Na Jinsi Ya...
Habari za leo rafiki?Katibu kwenye makala yetu ya ushauri wa changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yetu. Kupitia makala hizi tunashirikishana hatua mbalimbali za...
View Article