Maswali Muhimu Ya Kujiuliza Leo Katika Maisha Yako.
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea vizuri katika maisha yako. Kama uko katika changamoto au wakati mgumu katika maisha yako...
View Article2016 Umekwama Wapi Rafiki Yangu?
Habari za leo rafiki,Ni imani yangu kwamba unaendelea vyema kabisa. Hongera kwa nafasi hii nyingine nzuri sana ya leo, leo ni siku ya pili ya mwezi wa mwisho wa mwaka 2016. Yaani zimebaki siku 29 pekee...
View ArticleKaribu Kwenye Semina Kubwa Ya Kuuanza Mwaka 2017 Kwa Mafanikio Makubwa.
Habari za leo rafiki yangu?Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri ukiendelea kuweka juhudi kubwa ili kuweza kuyafanya maisha yako kuwa bora zaidi kila siku. Najua mpaka sasa unajua na umeshakubali ya...
View ArticleIli Kuweza Kutimiza Malengo Yako Yafahamu Mambo Haya.
Inawezekana mpaka leo unalalamika ya kwamba maisha yako yamekuwa katika wakati mgumu, inawekana umekata tamaa, inawezekana pengine huna matumaini ya kufanikiwa, ila nataka kukwambia ya kwamba usiwe...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; UNLEASHING THE POWER OF RUBBER BAND (Mafunzo Ya Uongozi...
Imezoeleka kwamba kiongozi ni mtu fulani ambaye anafanya kila ambacho anatakiwa kufanya, kulingana na taratibu ambazo zipo. Lakini siyo mara zote mambo yanakwenda kama taratibu zinavyotaka. Zipo...
View ArticleMadhara Ya Kuchaguliwa Mwenzi Wa Kuishi Naye Katika Mahusiano Ndoa.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni imani yangu kuwa uko salama rafiki na unaendelea vizuri katika harakati zako za kila siku kuhakikisha unapata kile unachokitaka...
View ArticleMwaka 2017 Usiweke Malengo Yoyote Kama Unataka Kufanikiwa. Na Sababu Kamili...
Habari rafiki?Mwanzoni mwa wiki hii nilitoa taarifa ya semina kubwa tutakayofanya kwa njia ya mtandao ya kwenda kuuanza mwaka 2017. Kama ambavyo kila mtu anajua, tunauaga mwaka 2016 na tunaukaribisha...
View ArticleCHANZO KIKUU NA SULUHISHO LA MATATIZO YA UONGOZI YANAYOENDELEA HAPA TANZANIA.
Kila siku kuna habari mpya na malalamiko ya watu walioaminiwa na kupewa nafasi ya uongozi kutumia vibaya madaraka yao. Hali hii imekuwa inapelekea watu kuumia na kupata madhara makubwa.Tatizo hili lipo...
View ArticleKitabu Kimoja Ambacho Kila Mtanzania Anapaswa Kukisoma Na Jinsi Ya Kukipata...
Ni jambo lililo wazi ya kwamba moja ya vitu vinavyopelekea sisi watanzania kushindwa kupiga hatua katika maisha yetu ni kukosa maarifa ua uongozi bora. Kwa sasa tuna tatizo kubwa sana la kiuongozi hapa...
View ArticleMwaka Mpya Mambo Mapya Ni Uongo, Epuka Kupoteza Mwaka Wako 2017.
Moja ya misingi ninayoifuata kwenye maisha yangu ya kila siku ni huu; kama kitu kinafanywa na kila mtu, basi siyo kitu sahihi kwa mtu makini kufanya. Unaweza usikubaliane nao, lakini umekuwa...
View ArticleJe, Umekosa Tumaini La Kufanikiwa? Jifunze Kupitia Mambo Haya.
Kipo kipindi katika safari yako ya mafanikio kutokana pengine na changamoto za kimaisha, unajikuta unakata tamaa na matumaini yote yanapotea.Katika kipindi hiki, kila unachokifanya kinakuwa hakileti...
View ArticleHuu Ndiyo Uhuru Unaoupoteza Ukishaingia Kwenye Biashara.
Biashara zina changamoto kubwa sana, na hii ndiyo sababu sehemu kubwa ya biashara mpya huwa zinakufa ndani ya miaka miwili mpaka mitano baada ya kuanzishwa. Changamoto nyingi za kibiashara huwa...
View ArticleKama Wewe Ni Mgeni Wa Maisha Ya Mafanikio, 2017 Fanya Mambo Haya Matatu Tu,...
Huu ndiyo ule wakati wa kudanganyana na kujidanganya wewe mwenyewe. Tumekuwa tunaona sinema hii kila mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka. Ambapo watu wanaanza kukumbushana malengo ya mwaka unaoisha na...
View ArticleBiashara Tano Unazoweza Kuanza Kufanya Mwaka 2017 Kwa Mtaji Kidogo Au Bila Ya...
Popote ambapo utaanza kuzungumza kuhusu biashara, wale ambao hawajaanza biashara watakuambia kitu kimoja; napenda kuanza biashara lakini sina mtaji. Hii ni sababu ya uongo ya kushindwa kuingia kwenye...
View ArticleLikizo Yangu Ya Wiki Moja Na Changamoto Ya Kusoma Kurasa 500 Kila Siku.
Habari za leo rafiki yangu?Ni matumaini yangu kwamba uko vizuri sana na upo tayari kwa mwaka 2017. Ni imani yangu kwamba yapo mambo makubwa uliyojifunza kwenye mwaka huu 2016 ambayo utakwenda...
View ArticleMambo Muhimu Ya Kujifunza Kutoka Kwa Watu Wenye Mafanikio.
Ipo haja kubwa sana ya kujifunza kupitia watu waliofanikiwa ili kuweza kufikia mafanikio mkubwa. Kupitia maisha yao kuna mambo mengi ya msingi tunakuwa tunajifunza na kuachana na makosa ambayo wao...
View ArticleMwaka 2017 Itabidi Ukimbie Wewe Mwenyewe.
Habari rafiki yangu, Kama ambavyo nilikueleza kwenye makala iliyopita, leo tarehe 23/12/2016 ninaanza likizo yangu ya wiki moja, hivyo sitakuwa napatikana mpaka tarehe 30/12/2016. Hii ni wiki yangu...
View ArticleZawadi Ya Vitabu Kumi(10) Nilivyosoma Kwenye Siku Saba(07) Za Likizo Yangu...
Habari za leo rafiki yangu?Sikukuu za mwisho wa mwaka zinakwendaje kwa upande wako?Kama ambavyo nilikujulisha wiki moja iliyopita, nilikuwa likizo yangu binafsi ya siku saba. Likizo hii ilianza ijumaa...
View ArticleMaswali Na Majibu Kuhusu Semina Ya 2017 MAFANIKIO MAKUBWA BILA YA MALENGO.
Rafiki yangu,Tarehe 04/01/2017 tutaanza semina yetu ya siku kumi itakayoendeshwa kwa siku kumi kwa njia ya mtandao wa wasap. Hii ni semina mahususi ya kuuanza mwaka 2017, ambapo mwaka huu tunakwenda...
View ArticleSalamu Za Mwaka Mpya Kwako Rafiki Na Ahadi Yangu Kwako 2017.
Hongera sana rafiki yangu kwa mwaka huu mwingine wa 2017.Ni nafasi ya kipekee sana ambayo tumeipata ya kuweza kufanya makubwa kwenye maisha yetu na ya wale ambao wametuzunguka. Tusifurahie tu kwa mwaka...
View Article