USHAURI; Jinsi Ya Kutatua Changamoto Ya Usimamizi Kwenye Kilimo Na Jinsi Ya...
Karibu msomaji kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto zinazotuzuia kufikia mafanikio tunayotarajia. Maisha yetu yamejaa changamoto nyingi sana, wakati mwingine kujaribu kuzitatua mwenyewe...
View ArticleKama Hujali sana Juu Ya Kitu Hiki Katika Maisha Yako, Sahau Kuhusu Mafanikio.
Inawezekana ukawa una malengo na mipango mikubwa ambayo umejiwekea ili kuweza kutimiza ndoto zako. Lakini, kwa bahati mbaya hata uwe na mipango na malengo mazuri vipi hutaweza kuyatimiza hata kidogo...
View ArticleKitu Kimoja Unachohitaji Ili Kufanikiwa Kama Unaanzia Chini Kabisa.
Leo nataka kuongea na vijana wa kitanzania ambao wamekwama mahali na hawajui wanatokaje pale walipo. Naongea na vijana ambao wanataka kuanza biashara lakini hawana mtaji. Naongea na vijana ambao...
View ArticleHivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Saa Hili moja Kufikia Mafanikio Makubwa.
Bila ubishi, bila shaka yoyote unao uwezo mkubwa wa kufanikiwa na kuleta mabadiliko makubwa katika maisha yako kama utaamua kutumia vizuri saa hili moja kwa siku. Mabadiliko yoyote unayotaka katika...
View ArticleBiashara Ya Uwekezaji Wa Kwenye Majengo Inavyoweza Kukutajirisha.
Na Charles Nazi.Jee unajua kwamba ardhi ni mali? Angalia mfano huu, kuna jamaa mmoja kule maeneo ya Goba alinunua shamba kwa shilingi milioni 15 baada ya miezi 3 alipata mteja aliyekuwa analitaka kwa...
View ArticleKITABU; The Compound Effect(Jinsi Ya Kuboresha Maisha Yako Kidogo Kidogo)
Katika utaratibu wetu wa kushirikishana kitabu kila mwezi, mwezi huu wa tatu nawashirikisha kitabu THE COMPOUND EFFECT. Hiki ni kitabu ambacho kimeandikwa na Darren Hardy ambaye pia ni mhariri wa...
View ArticleUSHAURI; Umuhimu Na Jinsi Ya Kutofautisha Biashara Na Maisha Ya Kawaida.
Mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA tumekutana tena leo kwenye kipengele hiki cha USHAURI WA CHANGAMOTO mbalimbali ambazo zinatuzuia kufikia malengo yetu na hatimaye mafanikio makubwa kwenye maisha....
View ArticleHii Ndiyo Hatua Muhimu Unayotakiwa Uijue, Ili kufikia Mafanikio Makubwa...
Mara nyingi wengi huwa ni watu wa kujiuliza zaidi wafanye nini ili waweze kufikia mafanikio makubwa katika maisha yao. Hufikia hatua hii ya kujiuliza swali kama hili pengine baada ya kuona mambo au...
View ArticleKuanzisha biashara unayoipenda kunavyoweza kukutajirisha.
Na; Charles NaziSiri moja wapo ya utajiri ni kuanzisha na kumiliki biashara yako. Hakuna mtu anayeweza kutajirika kwa kuajiriwa na mtu mwingine.Napenda kuongelea namna ya kubadili kitu unachokipendana...
View ArticleMambo 8 Muhimu Ambayo Ukiwa Mjasiriamali Ni Lazima Uyajue, Ili Kufikia...
Ni ukweli usiopingika ili uweze kuwa mjasiriamali hai na kuweza kuona mafanikio makubwa yanatokea katika kile unachokifanya ni lazima kwako kujua mambo mengi sana ambayo yataweza kukusaidia na kukuweka...
View ArticleHaya Ndio Mapinduzi Makubwa Tunayohitaji Ili Kufanikiwa Kwenye Kilimo.
Sekta ya kilimo ndio sekta inayoajri watu wengi kwa hapa Tanzania inakaridiriwa zaidi ya aslimia 80 ya watanznaia wanategemea sekta hii aidha moja kwa moja au wananufaika kwa namna moja au nyingine....
View ArticleKITABU; Jinsi Ya Kufaidika Na Mabadiliko Yanayotokea Kwenye Maisha.
Kama kuna kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho hapa duniani ni kwamba dunia inabadilika kila siku. Ukiangalia historia ya dunia tulikotoka na tulipo sasa kumetokea mabadiliko makubwa sana. Zilianza...
View ArticleFEDHA: Hiki Ndicho Kitu Kinachokuzuia Wewe Kuufikia Uhuru Wa Kifedha.
Kila mtu kwa sehemu yake huwa ana nia ya kubadilisha maisha yake na pengine kuwa huru kabisa kifedha. Nia hii huwa ndiyo inayowaongoza wengi kufanya kila kinachowezekana ili angalau kuweza kuongeza...
View ArticleAfya yako ni muhimu katika maisha yako ya Ujasiriamali.
Wajasiriamali wengi wamejikuta wakitafuta pesa kiasi cha kusahau afya zao. Kumbuka kwamba afya yako ni utajiri. Jee unapenda kuwa na afya njema? fanya yafuatayo;Kunywa maji.Watu wengi hawanywi maji...
View ArticleHizi Ndizo Gharama Unazotakiwa Kuzilipia, Ili Uweze Kupata Kile...
Katika maisha yako hakuna kitu ambacho unaweza ukakipata bure bila kulipia hiyo haiwezekani na haitakuja kuwezekana. Kil kitu unachokitaka ni lazima gharama ihusike ili ukipate, vinginevyo hutaweza...
View ArticleMabadiliko; Yalikuwepo, Yapo Na Yataendelea Kuwepo.
Katika kitu kimoja ambacho tunaweza kuwa na uhakika nacho ni kwamba mabadiliko lazima yatokee. Hakuna kitu kitakachoendelea kubaki kama kilivyokuwa. Kila kitu kinabadilika na kwa bahati mbaya sana...
View ArticleUSHAURI; Hii Ndio Changamoto Kubwa Inayokuzuia Wewe Kutatua Changamoto Zako.
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA. Karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yetu. Kila siku ya jumatatu...
View ArticleMawazo 8 Muhimu Unayotakiwa Kuwanayo, Ili Kuboresha Biashara Yako.
Kuna wakati unaweza ukawa unajiuliza ufanye nini, utumie njia gani ama mbinu zipi? ili uweze kuboresha biashara yako na kuiona ikiwa na mafanikio makubwa kama unavyotaka iwe. Hii ni kiu kubwa ambayo...
View ArticleMIAKA MIWILI YA AMKA MTANZANIA; Kwa Nini Ipo Na Itaendelea Kuwepo Na Mambo...
Tarehe 31/03/2013 ilikuwa ndio siku ya kwanza kwa makala ya kwanza kwenda hewani kwenye mtandao huu wa AMKA MTANZANIA. Kipindi hiko wakati naanzisha mtandao huu mambo hayakuwa kama sasa, watu walikuwa...
View ArticleHiki Ndicho Kitu Pekee Chenye Nguvu Kubwa Ya Kubadilisha Maisha Yako Kabisa.
Mara nyingi katika maisha yako huwa vipo vitu vingi ambavyo ukivielewa na kuvifanyia kazi vizuri huwa vinauwezo mkubwa wa kubadilisha maisha yako na kukuletea mafanikio makubwa unayoyataka. Pamoja na...
View Article