Ijue Miujiza Iliyo Ndani Ya Sifa Na Kukosoa.
Iwapo lengo lako ni kudumisha na kuendeleza uhusiano mzuri na watu wengine katika maisha yako, basi mojawapo ya vifaa au zana bora kabisa zinazohitajika ni sifa. Kifaa kingine ambacho, ni kinyume na...
View ArticleSababu 15 Zinazokuzuia Kujiajiri Na Jinsi Ya Kuzishinda.
Kuna kitu kimoja ambacho sina hakika sana kama nimewahi kukuambia. Kama sijawahi kukuambia ni kwamba kwa nyakati ambazo tunaishi ni lazima kila mtu awe mjasiriamali. Hata kama una ajira inayokulipa...
View ArticleHizi Ndizo Sababu 7 Zinazosababisha Msongo Wa Mawazo.
Kuna wakati katika maisha yetu ya kila siku kutokana na kazi, mahusiano, mitazamo tuliyonayo na maisha kwa ujumla huwa ni mambo yanayotufanya tuwaze sana na hatimaye huweza kutuletea msongo wa mawazo....
View ArticleMwongozo Wa Kujijengea Misingi Yako Ya Kimaisha Ili Kufikia Mafanikio Makubwa.
Umewahi kuona mtu ambaye analalamikia sana kitu, mfano uongozi au jinsi watu wengine wanavyofanya mambo, halafu mtu huyo anapata nafasi hiyo na anaishia kufanya kile kile alichokuwa analalamikia? Kwa...
View ArticleMbinu Moja Rahisi Sana Ya Kufanikiwa Kwenye Kazi Yoyote Unayofanya.
Moja ya changamoto kubwa sana ambayo watu wengi wanakutana nayo ni kutokuona mafanikio kupitia kazi au biashara wanayofanya. Watu hawa wanafanya kila lililopo ndani ya uwezo wao lakini majibu...
View ArticleHuu Ndio Msingi Mkuu Wa Maisha Ya Furaha, Amani Na Mafanikio Makubwa.
Huu ndio ukweli ambao huwezi kuupinga hata ungefanya nini kuwa binadamu anavyofikiri ndivyo anavyokuwa. Mawazo au fikra zako ndizo zinazokujenga. Haiba na mawazo yako kwa ujumla ni matokeo ya mawazo...
View ArticleBaada Ya Kufanya Maamuzi, Usiangalie Tena Nyuma.
Ili kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha na kwenye chochote unachofanya, unahitaji kufanya mambo mawili.Jambo la kwanza ni kuamua ni nini hasa unachotaka. Hapa unaamua maisha yako unataka yaweje,...
View ArticleMakosa 6 Unayofanya Wakati Unapotaka Kubadili Tabia, Zinazokuzuia Kwenye...
Mara nyingi tabia tulizonazo zinauwezo wa kutufanya tukafanikiwa ama tukashindwa kufikia mafanikio makubwa katika maisha yetu. Kama ambavyo tumekuwa tukizungumza mara kwa mara katika mtandao huu wa...
View ArticleKITABU; The Four Agreements. Kitabu Muhimu Sana.
Karibu kwenye utaratibu wetu kushirikishana kitabu ambapo kila mwezi tunashirikishana kitabu kimoja kizuri ambacho kwa kukisoma na kufanyia kazi yale utakayojifunza maisha yako yatabadilika sana.Kusoma...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Unavyoweza Kuwa Na Usimamizi Mzuri Wa Fedha Zako Ili Kufikia...
Naweza kusema fedha ni moja ya neno rahisi sana ambalo kila mtu anaweza kulitamka ila ni msamiati mgumu sana ambao ni wachache sana wanaoweza kuuelewa. Hata mtoto mdogo anaweza kujua hii ni fedha na...
View ArticleMambo 7 Yanayokufanya Ushindwe Kutimiza Ndoto Zako.
Kuwa na malengo na hatimaye kuweza kutimiza malengo hayo uliyojiwekea huwa ni vitu viwili tofauti. Wengi wetu huwa ni watu wa kujiwekea sana malengo katika maisha yetu, lakini kwa bahati mbaya malengo...
View ArticleUpotoshaji Mkubwa Unaofanywa Kwenye Elimu Ya Ujasiriamali.
Tokea mambo ya ujasiriamali yameanza kupamba moto hapa Tanzania, kumekuwa na upotoshwaji mkubwa sana ambao umekuwa unafanyika kwenye elimu ya ujasiriamali. Upotoshwaji huu umekuwa unafanywa na watu kwa...
View ArticleHizi Ndizo Changamoto Kubwa Unazotakiwa Kuzivuka ili Kufikia UTAJIRI.
Ili kuweza kufanikiwa na kuufikia utajiri, ni safari ambayo huwa inahitaji uvumilivu wa kutosha kutokana na changamoto nyingi ambazo huwa tunakutana nazo mara kwa mara. Changamoto hizi huwa ni kama...
View ArticleHapa Ndio Unapoweza Kuwapata Watu Watano Wanaokuzunguka Watakaokuwezesha...
Maisha yako ni wastani wa watu watano wanaokuzunguka. Hii ina maana kwamba maisha yako yatafanana sana na watu watano ambao unakuwa nao muda mwingi. Watu hawa wanaweza kuwa ndugu wa karibu, marafiki,...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuepuka Majungu Kwenye Eneo La Kazi.
Karibu mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA kwenye kipengele hiki cha USHAURI WA CHANGAMOTO ZINAZOTUZUIA KUFIKIA MAFANIKIO. Katika kipengele hiki unapata nafasi ya kujifunz ambinu mbalimbali za kupambana...
View ArticleTABIA ZA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kujijengea Tabia Ya Kuweka Kipaumbele Kwenye...
Miaka zaidi ya elfu moja iliyopita, kipaumbele pekee cha mwanadamu kilikuwa kula na kujilinda dhidi ya hatari. Katika nyakati hizo chakula kilikuwa kikipatikana kwa kuwinda au kuchimba mizizi. Hivyo...
View ArticleMambo 6 Yanayokukwamisha Na Kukurudisha Nyuma Sana Katika Maisha Yako.
Kuna wakati katika maisha yako unaweza ukajikuta ni mtu kulaumu ndugu, jamaa na watu wengine wengi kuwa hao ndio wamechangia kukukwamisha na kukurudisha nyuma sana katika maisha yako. Ingawa ni ukweli...
View ArticleIjue Siri Ya Mafanikio Ya Kiuchumi
Na Charles Nazi.Watu wengi huwa wananiuliza nini siri ya mafanikio ya kiuchumi/utajiri? Jee ni vigumu kuwa tajiri au ni rahisi? Jee kuna njia ya mkato? Katika makala hii nitatoa majibu.Siri ya...
View ArticleMbinu Muhimu Za Kukusaidia Kusimama Imara, Wakati mambo Yako Yanapokwenda...
Kuna wakati katika maisha yetu mipango na malengo yetu tuliyojiwekea huwa haiendi sawa kama tulivyopanga. Mikakati na malengo yote ambayo tunakuwa tumejiwekea tuyatimize kwa muda fulani huwa imekwama...
View ArticleOrodha Mpya Ya Mabilionea; Mambo Kumi Ya Kuzingati Ili Na Wewe Uweze Kuingia...
Jarida maarufu kwa kufuatilia watu matajiri duniani hivi karibuni limetoa orodha mpya ya watu matajiri sana duniani. Katika orodha hii mpya, mmiliki wa kampuni ya Microsoft, Bill Gates amerudi kwenye...
View Article