Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo 15 Ya Kung’ang’ania Bila Ya Kujali Watu Wanasema Nini.

Safari ya kufikia mafanikio sio rahisi kama ambavyo wengi wanafikiri. Ni safari ambayo inaweza kuwa ngumu sana hasa pale unapozungukwa na jamii ambayo haioni kile unachokiona wewe. Ili kufikia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unacheza Hadithi Iliyoandikwa Na Nani? Fanya Mabadiliko Muhimu Leo.

Maisha ni kama mchezo wa kuigiza na sisi ndio waigizaji wenyewe. Katika mchezo wowote wa kuigiza kila muigizaji hupewa kipande chake cha kuigiza. Hupewa kila kitu anachotakiwa kufanya na yeye hufuata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wazo Zuri La Biashara Linachangia Asilimia 1 Tu Ya Mafanikio, Asilimia 99...

Kama ningeweza kupata wazo zuri sana la biashara nina uhakika ningefanikiwa sana. Unajidanganya. Na hivi ndivyo watu wengi sana wanafikiri. Inawezekana unafikiria biashara yako haikupi faida kwa sababu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Jinsi Ya Kutoka Kimaisha Kwa Kuanza Na Mshahara Mdogo.

Mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA nakukaribisha tena kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto zinazotuzuia kufikia mafanikio. Maisha yetu yamejaa changamoto nyingi na unapokuwa kati kati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo 5 Yanayoashiria Kuwa Hutaki Mafanikio.

Kila mtu huwa ana nia ya kufanikiwa na kufikia maisha bora yenye hadhi ya kuitwa maisha, na siyo bora maisha. Hili ndilo hitaji la msingi ambalo kila binadamu anayetaka mafanikio analo na kutamani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tabia Kumi Za Kufanya Kila Siku Ili Kuufanya Mwaka 2015 Kuwa Mwaka Wa...

Mwaka 2015 bado ni mchanga kabisa, na hivyo hata kama unajiona umechelewa bado una nafasi kubwa ya kufanya mabadiliko kwenye maisha yako katika mwaka huu wa kipekee. Hatua ya kwanza kabisa ambayo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Unataka Kuwa Na Mafanikio Makubwa Mwaka 2015, Acha kufanya Mambo Haya.

Kujenga mafanikio makubwa unayoyataka ni kitu cha muhimu sana katika maisha yako. Maisha haya ya mafanikio tunayozungumzia huwa hayaji tu kwa bahati mbaya, huwa yanakuja kwa kujiwekea mipango na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITABU; Tofauti Kumi Kati Ya Waliofanikiwa Na Walalamikaji.

Mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA karibu kwenye mwaka mwingine wa kujisomea vitabu ili kuongeza maarifa zaidi. Mwaka jana kila mwezi ulitumiwa kitabu kimoja cha kujisomea. Na mwaka huu kwa miezi kumi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Umeshaweka Malengo Ya Mwaka Huu Karibu Hapa Upate Msaada Wa Kuyafikia.

Kama umeshaweka malengo ya mwaka huu 2015 hongera sana, maana hiyo ndio hatua ya kwanza na muhimu sana ya kuweza kufikia malengo yako na hata kufikia mafanikio makubwa.Kama hujaweka malengo yoyote kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu 7 Zinazokufanya Upoteze Hamasa Kwa Kile Unachokifanya.

Mara nyingi huwa inatokea tunajikuta ni watu wenye shauku, nguvu na  hamasa kubwa sana hasa pale tunapofanya mambo mapya katika maisha yetu. Kwa bahati mbaya kwa wengi wetu hamasa ile huzidi kupungua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa Nini Ni Muhimu Sana Wewe Kuwa Na Furaha.

Habari za siku nyingi ndugu msomaji wa AMKA MTANZANIA ni matumaini yangu unaendelea vyema katika safari ya kuboresha maisha yako na kama ni hivyo basi ni vizuri sana na pia endelea kuweka juhudi katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hiki Ndicho Kitu Kinachokuzuia Wewe Kuwa Tajiri.

Mara nyingi ni kitu ambacho umekuwa ukijiuliza na kuumiza kichwa, ‘kwa nini maisha yangu yako hivi, kwa nini mimi ni maskini na kwa nini mimi sina pesa ya kutosha ya kuweza kuendeshea maisha yangu’....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatua Sita Za Kubadili Maisha Yako Na Kufikia Mafanikio Makubwa.

Watu wengi sana, au tunaweza kusema kila mtu anapenda kuwa na maisha bora. Hatua yoyote ambayo mtu anachukua ni kwa sababu anafikiri maisha yake yatakuwa bora zaidi kwa yeye kuchukua hatua hiyo kuliko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatua Sita Za Kubadili Maisha Yako Na Kufikia Mafanikio Makubwa.

Watu wengi sana, au tunaweza kusema kila mtu anapenda kuwa na maisha bora. Hatua yoyote ambayo mtu anachukua ni kwa sababu anafikiri maisha yake yatakuwa bora zaidi kwa yeye kuchukua hatua hiyo kuliko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Biashara Nzuri, Inayolipa Na Unayoweza Kuifanya.

Mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA karibu tena kwenye kipengele hiki cha USHAURI WA CHANGAMOTO mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio.Moja ya changamoto ambayo watu wengi wameiandika ni kuhusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TABIA ZA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kujijengea Tabia Ya Uaminifu.

Kuna vitu vitatu muhimu sana kwa mtu yeyote anayetaka kufikia mafanikio makubwa.Vitu hivyo ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa, kuwa mwaminifu na kuwa muadilifu. Ukikosa kimoja kati ya vitu hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wekeza Nguvu Zako Katika Biashara Unayoimudu Ili Uweze Kupata Mafanikio Makubwa.

Mpenzi msomaji wa mtandao huu wa AMKA MTANZANIA ni siku nyingine tena tunakutana hapa katika kushauriana na kushirikishana mambo mbalimbali yatakayotusaidia katika kuboresha masiha yetu ya kila siku....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Unafanya Mambo Haya 10 Katika Maisha Yako, Ni Lazima Ufanikiwe.

Ili uweze kuishi maisha ya mafanikio, ni muhimu kwako kuishi maisha ambayo yanaendana mkabala na kile unachokihitaji katika maisha yako na sio kinyume chake. Haiwezekani kwako ukafanikiwa kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukweli Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwa Njia Ya Intanet Na Jinsi Ya Kuepuka...

Mtandao wa intaneti umerahisisha karibu kila kitu kwenye maisha yetu. Sasa hivi mtu kwa kuwa na mtandao, na akawa na kompyuta au simu yenye uwezo mkubwa(smartphone) anaweza kuanzisha biashara popote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Jinsi Ya Kuondoka Kwenye Madeni Mabaya.

Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, leo katika kipengele hiki cha ushauri wa changamoto zinazotuzuia kufikia mafanikio tutajadili jambo muhimu sana ambalo ni madeni. Madeni yamekuwa ni...

View Article
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>