Tofauti Hizi Ndogo Ndizo Zinakufanya Ushindwe Au Ufanikiwe Kwenye Maisha Yako.
Yapo matokeo ambayo katika maisha yako wewe huwezi kuyaona hapo hapo, wala mwingine pia hawezi kuyaona kwako. Kwa mfano, unaposoma kitabu huwezi kuona matokeo yake leo au kesho, inachukua muda fulani....
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; Raising Positive Kids In A Negative World (Jinsi Ya...
Hakuna awezaye kubisha kwamba tunaishi kwenye dunia ambayo ni hasi. Dunia ambayo ukisoma gazeti, kuangalia TV, kusikiliza redio au kuperuzi mitandao ya kijamii, kipaumbele kikubwa ni habari mbaya na...
View ArticleHii Ndiyo Sababu Kuu Moja Kwanini Watu Wanaajiriwa Au Wanajiajiri Katika...
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleONGEA NA COACH; Hii Ndiyo Biashara Bora Kwako Kufanya Na Yenye Mafanikio...
Habari za leo rafiki yangu? Karibu kwenye kipindi chetu cha leo cha ONGEA NA COACH ambapo nimekuwa nakushirikisha video zenye mafunzo mbalimbali ya kukuwezesha kuwa bora zaidi na kuweza kufanikiwa....
View ArticleYafahamu Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kabla Hujauza Nyumba Yako.
Biashara ya nyumba na uwekezaji wa majengo ya kisasa inaendelea kupata wadau wapya kila inapoingia siku mpya, pamoja na hali ya uchumi tuliyonayo lakini timu ya marafiki bado inaendelea kupanga na...
View ArticleMshukuru Sana Yeyote Ambaye Amewahi Kukunyanyasa, Bila Yeye Huenda Usingepiga...
Habari za leo rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Kila unapopata nafasi ya kuiona siku mpya, ni jambo kubwa la kushukuru na kutumia nafasi hiyo vizuri kwa sababu wapo wengi...
View ArticleUSHAURI; Mambo Ya Kuzingatia Kama Unataka Kurudi Shuleni Ili Kukamilisha...
Habari za leo rafiki yangu? Karibu tena kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto ambapo tunapata nafasi ya kushauriana kuhusiana na changamoto mbalimbali tunazopitia katika safari yetu ya...
View ArticleMambo Muhimu Ya Kujifunza Kuhusu Nidhamu Binafsi Na Mafanikio.
Moja ya kanuni kubwa ya kimafanikio ambayo unatakiwa kuanza kuitumia ni KUKATAA KUTOA SABABU YOYOTE. Kama kuna kitu unakifanya, kifanye. Kama kuna kitu umeshindwa kukifanya huna haja ya kuendelea kutoa...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; Born To Win (Umezaliwa Kushinda, Ijue Siri Yako Ya...
Kila mtu amezaliwa na uwezo mkubwa sana ndani yake, kila mtu ana vipaji vya kipekee na kila mtu anaweza kuwa mshindi kwenye maisha yake. Lakini dunia imefanya kazi moja kubwa ya kutuaminisha kwamba...
View ArticleHuwezi Kufanya Kila Kitu, Na Hapana, Hujachelewa Bado.
Habari za leo rafiki yangu? Ni imani yangu kwamba unaendelea vizuri, ukiweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Najua ya kwamba unajua hatua unazochukua leo ndiyo zinatengeneza maisha...
View ArticleONGEA NA COACH; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuishinda Hofu Ya Kushindwa Na Kuweza...
Habari rafiki? Karibu kwenye makala yetu ya ONGEA NA COACH ambapo nimekuwa nakushirikisha mambo mbalimbali kuhusu maisha ya mafanikio kwa njia ya video. Kwenye kipindi chetu cha leo nakwenda...
View ArticleHizi Ndiyo Sababu Kuu Tano Za Wewe Kuwa Na Bima Kwenye Uwekezaji Wako Wa...
Majanga mbalimbali yanayowakumba baadhi ya watu kwenye jamii zetu huacha alama na makovu makubwa kwenye maisha yao. Ukweli ni kwamba huwezi kufahamu uzito na maumivu ya matatizo ya mwingine hadi pale...
View ArticleKanuni Bora Ya Malezi Ya Watoto Yenye Mafanikio Makubwa
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuanza Biashara Bila Mtaji Kwa Kutumia Elimu Yako Ya Darasani.
Habari za leo rafiki? Karibu kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yetu. Kila mtu anapenda mafanikio, lakini changamoto zipo kwenye...
View ArticleTatua Changamoto Hizi Mapema Ili Zisikuzuie Kufanikiwa.
Mara nyingi wengi tunakuwa makini sana na changamoto kubwa zinapojitokeza kwenye maisha yetu na kuweka nguvu zote hapo. Lakini kitu ambacho wengi wanasahau ni kwamba changamoto hizo kubwa zilianza pia...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; THE SMALL BUSINESS BIBLE (Kila Kitu Unachopaswa Kujua...
Uchumi wa nchi yoyote ile duniani, unategemea sana kwenye biashara ndogo. Hii ni kwa sababu ni biashara ambazo watu wanaweza kuanzisha, wakajiajiri wao na hata kuajiri wengine na pia zikachangia kwenye...
View ArticleHuyu Ndiye Mtu Asiyeishiwa Sababu Katika Maisha Yake.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...
View ArticleHivi Ndivyo Unavyoweza Kuvuka Vikwazo Na Changamoto Kwenye Safari Yako Ya...
Habari za leo rafiki? Karibu kwenye kipindi chetu cha leo cha Ongea na Coach ambapo tumekuwa tunashirikishana maarifa sahihi ya kuweza kuwa na maisha ya mafanikio. Katika kipindi cha leo nakwenda...
View ArticleZifahamu Hatua Tano Muhimu Za Kuzingatia Kabla Hujaanza Ujenzi Wa Nyumba Yako...
Napenda kukupa hongera sana wewe rafiki kwa hatua na juhudi mbalimbali unazoendelea kuchukua katika kuboresha maisha yako binafsi na jamii inayokuzunguka. Ni ukweli kuwa hatua unazopitia katika...
View ArticleKitabu Cha Oktoba 2017; You Were Born Rich Na Bob Proctor.
Habari rafiki? Karibu kwenye utaratibu wetu wa kujisomea kitabu kimoja kila mwezi. Kila mwezi nakupendekezea kitabu kizuri cha kusoma. Mapendekezo haya ni kwenye maeneo muhimu ya maisha yetu kama kazi,...
View Article