Habari za leo rafiki? Karibu kwenye kipindi chetu cha leo cha Ongea na Coach ambapo tumekuwa tunashirikishana maarifa sahihi ya kuweza kuwa na maisha ya mafanikio. Katika kipindi cha leo nakwenda kukushirikisha njia za kuweza kuvuka vikwazo na changamoto kwenye…
