Moja ya kanuni kubwa ya kimafanikio ambayo unatakiwa kuanza kuitumia ni KUKATAA KUTOA SABABU YOYOTE. Kama kuna kitu unakifanya, kifanye. Kama kuna kitu umeshindwa kukifanya huna haja ya kuendelea kutoa sababu kwa nini umeshindwa. Acha kutumia ubongo wako hovyo kwa…
