Uchumi wa nchi yoyote ile duniani, unategemea sana kwenye biashara ndogo. Hii ni kwa sababu ni biashara ambazo watu wanaweza kuanzisha, wakajiajiri wao na hata kuajiri wengine na pia zikachangia kwenye kulipa kodi. Njia ya uhakika ya kuwawezesha watu kuondoka…
