Habari rafiki? Karibu kwenye makala yetu ya ONGEA NA COACH ambapo nimekuwa nakushirikisha mambo mbalimbali kuhusu maisha ya mafanikio kwa njia ya video. Kwenye kipindi chetu cha leo nakwenda kukushirikisha kuhusu kuishinda hofu ya kushindwa. Ukweli ni kwamba kila mtu…
