Hakuna awezaye kubisha kwamba tunaishi kwenye dunia ambayo ni hasi. Dunia ambayo ukisoma gazeti, kuangalia TV, kusikiliza redio au kuperuzi mitandao ya kijamii, kipaumbele kikubwa ni habari mbaya na zenye kutia hofu. Tunaishi kwenye dunia ambayo matumizi ya madawa ya…
