WAHITIMU; Mambo Kumi Muhimu Ambayo Hujawahi Kufundishwa Shuleni Na Ni Muhimu...
Kwa miaka zaidi ya 15 ambayo umekaa kwenye mfumo wa elimu umejifunza vitu vingi sana. Kwanza ulijifunza jinsi ya kusoma na kuandika, baadae ukajifunza vitu muhimu kwenye historia, jografia, sayansi na...
View ArticleHuu Ndio Uwekezaji Ambao Hutakiwi Kuukosa Kwenye Maisha Yako.
Hakuna anayeweza kukataa kwamba ili kupata maendeleo na kufanikiwa kifedha kwenye maisha uwekezaji ni muhimu sana. Iwe umeajiriwa, umejiajiri au unafanya biashara ni lazima uwekeze ili uweze kufikia...
View ArticleKITABU; The 21 Success Secrets of Self Made Millionaires(SIRI ZA MAFANIKIO)
Habari za leo msomaji wa AMKA MTANZANIA, natumaini unaendelea vizuri na mipango yako ya kuboresha maisha yako. AMKA MTANZANIA iko nawe bega kwa bega kuhakikisha unafikia mafanikio unayostahili kwenye...
View ArticleUSHAURI; Mambo Ya Kufanya Pale Matumizi Yanapokuwa Makubwa Kuliko Mapato.
Hesabu zote za fedha binafsi zinaishia kwenye mambo mawili makuu; mapato na matumizi. Mapato yanajumuisha vyanzo vyote vya fedha ulivyonavyo na matumizi yanajumuisha kila kitu ambacho kinategemea au...
View ArticleFEDHA; Tabia Kumi Mbaya Kuhusu Fedha Zinazokufanya Uendelee Kuwa Masikini.
Kila mmoja wetu anapenda kuwa na fedha zitakazomtosheleza mahitaji yake na kuweza kumuondoa kwenye umasikini. Pamoja na kupenda fedha na kuuchukia umasikini bado matendo yako hayaonyehi hivyo. Matendo...
View ArticleWAHITIMU; Njaa Ndio Itakayokufanya Uweze au Ushindwe Kupata Mafanikio Makubwa.
Karibu tena msomaji wa AMKA MTANZANIA kwenye kipengele hiki cha ushauri kwa wahitimu ambapo unapata makala yenye ushauri kwa wahitimu na hata watu wengine kwa ujumla. Leo tutaona ni jinsi gani njaa...
View ArticleUtaratibu Mpya Wa Kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA(MUHIMU SANA KUSOMA)
Kutokana na idadi kubwa ya watu na pia kutokana na changamoto nyingi zilizotokana na mfumo wa awali wa kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA sasa yamefanyika marekebisho ambayo yataboresha sana mfumo wa...
View ArticleHiki Ndio Kikwazo Kikubwa Kinachokuzuia Wewe Kufikia Uhuru Wa Kifedha.
Linapokuja swala la fedha kila mtu anahusika. Yaani kwenye fedha ndio tunaweza kuzungumza lugha moja iwe mkubwa au mdogo, mwanaume au mwanamke. Fedha ina nafasi kubwa sana kwenye maisha yetu kwa sababu...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ikiwa Una Kipato Kidogo.
Habari za leo msomaji wa AMKA MTANZANIA, naamini unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako. Na hata kama kuna changamoto unazipitia usivunjike moyo kwani ndivyo maisha yalivyo na pia...
View ArticleTumia Asilimia Hii Tatu(3%) Tu Na Uone Mabadiliko Makubwa Kwenye Maisha Yako.
Wiki iliyopita niliweka makala kuhusu UWEKEZAJI MUHIMU kwenye maisha yako. Tuliona kwamba uwekezaji muhimu kuliko wote ni uwekezaji kwenye maendeleo yako binafsi.Kama tunavyojua hakuna maendeleo kama...
View ArticleNi Muda Kiasi Gani Unahitaji Ili Kufiki Mafanikio Makubwa? Soma Hapa Kujua.
Kila mmoja wetu anapenda kufikia mafanikio makubwa sana kwenye maisha yake. Pamoja na hili kuwa hitaji la kila mtu bado ni watu wachache sana duniani ambao wanafikia mafanikio makubwa sana. Na...
View ArticleWAHITIMU; Tenga Mwaka Mmoja na Utumie Muda Huo Kufanya Hivi.
Karibu kwenye kipengele cha ushauri kwa wahitimu ambapo kila wiki tunakuwa na makala yenye kutoa ushauri kwa wahitimu wote ambao wanataka kuboresha maisha yao.Ni jambo ambalo liko wazi sasa ya kwamba...
View ArticleHuu Ndio Ukweli Kuhusu Maisha Usiotaka Kuusikia Na Kuuamini.
MAKALA HII IMEANDIKWA NA IMANI NGWANGWALU WA TANGA TANZANIA.Ni ukweli usiofichika wengi wetu tunapoambiwa ukweli huwa hatupo tayari kuukubali. Hata inapotokea huo ukweli tunaoambiwa unakuwa unagusa...
View ArticleUchambuzi Wa Vitabu Vitatu(Rich dad, poor dad, Think and grow rich na Richest...
Vitabu hivi vitatu, RICH DAD, POOR DAD, THINK AND GROW RICH na THE RICHEST MAN IN BABYLON ni vitabu vizuri sana kuweza kufungua mawazo yako na kubadili mtazamo wako kuhusu maisha na hata mafanikio.Ni...
View ArticleHizi Ndizo Fikra Zinayokuzuia Kufikia Viwango Bora Vya Mafanikio!
MAKALA HII IMEANDIKWA NA IMANI NGWANGWALU WA TANGA TANZANIA.Ili uwe na mafanikio na kupata kile unachokihitaji ni lazima uwe na mawazo yanayoendana na kile unachokihitaji katika maisha yako. Mawazo...
View ArticleAcha Chochote Unachofanya na Usome Hapa Kwa Dakika Mbili Tu.
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako kila siku. Pia najua unapitia magumu mengi mpaka unaona ndoto kubwa unazotarajia...
View ArticleWAHITIMU; Ijue Kauli Mbiu Ya Nane Nane Mwaka Huu Na Itumie Kufikia Mafanikio.
Wakati tunaelekea mwishoni mwa mfululizo huu wa makala za ushauri kwa wahitimu nina imani umeshajifunza mengi sana. Kama kuna makala ambazo hukupata nafasi ya kuzisoma unaweza kuzipitia makala zote kwa...
View ArticleHivi Ndivyo Unavyofanya Maisha Yako Kuwa Magumu Zaidi!
Kwa muda sasa umekuwa ukiishi maisha ambayo kila kukicha yanazidi kuwa magumu hali ambayo inasababisha hata wewe mwenyewe ukose raha. Ni maisha ambayo umekuwa ukiyaishi kwa miaka sasa na pengine...
View ArticleHuyu Ni Kijana Wa Kitanzania Aliyeanza Biashara Kwa Mtaji wa Milioni Nne na...
Wiki iliyopita nilipata nafasi ya kwenda Mafinga Iringa kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa kampuni ya MATANANA INVESTMENT. Nikiwa huko Mafinga nilipata nafasi ya kukutana na John Matiku Magori, ambaye ni...
View ArticleUSHAURI; Umuhimu na Jinsi ya Kupata Taarifa Sahihi Ya Kitu Unachotaka Kufanya.
Tunaishi kwenye ulimwengu wa taarifa ambapo wenye taarifa sahihi ndio wanaotawala. Kwenye kila nyanja ya maisha au chochote unachofanya au kutegemea kufanya ni muhimu sana kuwa na taarifa sahihi. Na...
View Article