NYEUSI NA NYEUPE; Kwa Nini Watu Wengi Wanashindwa Kuacha Ajira Hata Kama Ni...
Habari za leo rafiki?Karibu kwenye kipengele hiki kipya cha NYEUSI NA NYEUPE ambapo tunachambua jambo kwa namna lilivyo. Hapa tunaweka ushabiki wa aina yoyote pembeni na kuutafuta ukweli wenyewe wa...
View ArticlePata Blog Yako Ya Kitaalamu Unayoweza Kutumia Kutengeneza Fedha Kwenye...
Habari rafiki?Wiki iliyopita niliendesha semina ya KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG. Zaidi ya marafiki 1000 walishiriki semina ile na wengi wamekiri kujifunza mambo mengi na makubwa....
View ArticleFaida Kubwa Ya Kufanya Kazi Kwa Ushirikiano.
Watu wengi tumekuwa na mitazamo ambayo imekuwa haitusaidii hata chembe, kwani tumekuwa tunaamini katika kufanya kazi peke yetu pasipo kuwashirikisha wengine, lakini kufanya hivi ni sawa na kuzima moto...
View ArticleKitu Kimoja Kinachokuzuia Wewe Kuwa Na Blog Inayokuingizia Kipato.
Habari rafiki?Wiki iliyopita tuliendesha mafunzo ya kutengeneza fedha kwenye mtandao kwa kutumia blog. Tulijifunza mambo mengi na muhimu sana kupitia semina ile. Na mimi pia nilijifunza mengi kupitia...
View ArticleVielelezo 10 Muhimu Vinavyomtambulisha Kijana Na Kutambua Thamani Yake Hapa...
Habari Mpendwa Rafiki na msomaji wa Amka Mtanzania? Natumaini hujambo kabisa na karibu tena ndugu msomaji katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza. Kila mtu ana faida yake hapa duniani aidha kwa...
View ArticleLeo ndiyo siku ya mwisho ya ofa ya kitabu cha blog, usikose nafasi hii ya...
Habari rafiki?Ni matumaini yangu kwamba uko vizuri na unaendelea kuweka juhudi ili kuboresha maisha yako zaidi. Hongera sana kwa hatua hiyo unayochukua.Naomba kuchukua nafasi hii kukukumbusha rafiki...
View ArticleHivi Ndivyo Unavyoweza Kupata Milioni Ya Ziada Kila Mwezi Hata Kama Huna...
Habari za leo rafiki yangu?Unajua leo ni lini? Leo ni tarehe 01/10/2016 hii ni tarehe mpya kabisa ya mwezi mpya ambapo mwaka unaelekea ukingoni. Leo tumeianza ngwe ya mwisho kabisa ya mwaka huu 2016....
View ArticleNYEUSI NA NYEUPE; Unafiki Kuhusu Michango Ya Sherehe, Kwa Nini Kila Mtu...
Habari rafiki yangu?Karibu kwenye safu yetu ya makala za NYEUSI NA NYEUPE zinazokujia kupitia mtandao huu wa AMKA MTANZANIA. Kupitia makala hizi tunalichambua jambo kwa kina ili kujua ukweli na uongo...
View ArticleUSHAURI; Kama Wateja Hawaji Kwenye Biashara Yako, Wafuate Kule Walipo.
Habari rafiki?Karibu kwenye makala yetu ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kufikia malengo ya maisha yetu. Kupitia makala hizi za ushauri tunapeana maarifa na mbinu za kuweza kufikia malengo na...
View ArticleFaida Kubwa Ya Kufanya Kazi Kwa Ushirikiano - 2.
Kufanya kazi kwa ushirikiano kwa majasiriamali yeyote yule anayetaka mafanikio ni jambo la muhimu sana. Kutokana na kufanya kazi kwa ushirikiano tunaona mafanikio na fursa nyingi huweza kuonekana huko...
View ArticleHii Ndio Faida Ya Kutumia Falsafa Ya Imani Ya Kidini Kwenye Malezi Bora Ya...
Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa Amka Mtanzania? Natumaini unaendelea vizuri licha ya kukumbana na changamoto za hapa na pale kwenye shughuli zako za kila siku. Usikatishwe tamaa na changamoto ishi...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; It’s Not About The Money (Tatizo Siyo Fedha Tatizo Ni...
Linapokuja swala la fedha, watu huweka hisia mbele kuliko fikra. Fedha imekuwa inachukuliwa kama kitu ambacho ni kiovu, wale ambao hawana wanawaona walionazo kama ni watu wasio wema. Masikini ambao...
View ArticleJiwashe Moto, Watu Watakuja Kukuangalia Ukiungua.
Habari za leo rafiki yangu?Hamasa kidogo siku ya leo itakusukuma kuweka juhudi kwenye miezi hii michache iliyobaki kumaliza mwaka huu 2016. Mwaka ulianza taratibu na sasa unamalizika. Na swali ambalo...
View ArticleEpuka Migogoro Ya Ardhi Isiyo Na Ulazima Ili Uyafikie Mafanikio Yako Kwa Uhakika
Nimekuwa nikipokea maswali na maoni mbalimbali kuhusiana na Makala mbalimbali zilizopo kwenye Amka mtanzania. Lakini nimepokea maswali mengi zaidi yanayohusu ardhi tofauti na ujenzi. Hali hii inatokana...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kupata Wateja Wa Kudumu Kwenye Biashara Yako, Na Kuweza...
Mafanikio ni haki yako ya kuzaliwa, hiki ni kitu muhimu sana ambacho nataka wewe rafiki yangu ukielewe na ukifanyie kazi kila siku. Asitokee mtu yeyote yule akakuambia kinyume na hayo, labda kuna watu...
View ArticleSababu 4 Kwanini Unakata Tamaa Mapema Kwenye Ndoto Zako.
Kuna wakati katika safari ya mafanikio, hujikuta tuna malengo mazuri sana ambayo huamini kabisa yatatufikisha kwenye mafanikio makubwa. Hata hivyo, pamoja na uzuri wa malengo hayo, hujikuta tena...
View ArticleUchambuzi Wa Kitabu; The Most Successful Small Business In The World (Kanuni...
Uchumi wa nchi yoyote inayoendelea au iliyoendelea unabebwa sana na biashara ndogo. Biashara ndogo ndiyo zinatoa ajira kwa wengi waliokosa ajira na pia zinawaongezea kipato wale ambao kipato cha ajira...
View ArticleMbinu Tisa (09) Za Kukuwezesha Kuwa Msikilizaji Bora Sehemu Yoyote Ile
Habari mpendwa Rafiki na msomaji wa Amka Mtanzania? natumaini unaendelea vizuri rafiki yangu na karibu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza kwa pamoja tofauti kubwa kati ya kusikia na...
View ArticleWahi Nafasi Hii Ya Kipekee Ya Kupata Milioni Ya Ziada Kwa Kuanzia Hapo Ulipo.
Habari za leo rafiki?Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri na unaendelea kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho umechagua kufanya kwenye maisha yako. Napenda nikukumbushe ya kwamba mafanikio yako, yapo...
View ArticleUfahamu Ujenzi Wa Gharama Nafuu Wa Nyumba Bora Za Kisasa
Moja ya malengo niliyojiwekea katika kipindi chote cha uhai wangu ni kuhakikisha natumia uwezo wangu wote kuifanya Tanzania iwe moja ya nchi nzuri na salama kwa watanzania wote, napenda kuwa chachu ya...
View Article