Nilitaka Kushiriki Semina Ila Nimechelewa Kujiunga. Ufanyeje Ili Hili...
Semina zote ambazo huwa tunazitoa kwa njia ya mtandao, taarifa huwa zinaanza kutolewa angalau wiki mbili kabla ya semina kuanza. Na taarifa hutolewa mara kwa mara kupitia njia mbalimbali ikiwepo makala...
View ArticleUsifanye Mabadiliko Kwenye Biashara Yako Pasipo Kumpa Mteja Wako Taarifa.
Habari za leo rafiki na mfuatiliaji wa makala za AMKA MTANZANIA, mimi rafiki yako naendelea vyema kusafisha njia ya kwenda mji uitwao mafanikio, sijajua kwako ni vivyo hivyo ama ni kinyume, ila nina...
View ArticleLicha Ya Vikwazo Unavyokutana Navyo Kung’ang’ana Kwako Kunamfundisha...
Katika maisha haya tunakutana na vitu vingi ambavyo tusipopata namna sahihi ya kukabiliana navyo tunaweza kujikuta tumepoteza dira au hata kutoka nje ya kusudi la sisi kuwepo hapa duniani. Maana kuna...
View ArticleMambo Matatu(3) Muhimu Ya Kukufikisha Kwenye Mafanikio Makubwa, Ambayo...
Tumekuwa tunaandika na kukushirikisha makala nyingi sana kuhusu mafanikio.Mpaka sasa umeshajifunza mbinu nyingi mno kuhusu mafanikio.Kuanzia kuweka juhudi na maarifa kwenye kazi, kuwa mwaminifu, kuwa...
View ArticleSababu 6 Zinazokufanya Ushindwe Kuchukua Hatua Mapema Za Kubadili Maisha Yako.
Kuna wakati unaweza ukajikuta unashindwa kubadili maisha yako sio kwa sababu huna malengo na mipango, bali ni kwa sababu ya kushindwa kwako kuchukua hatua mapema za kubadili maisha yako. Kutokuchukua...
View ArticleMambo Matano Muhimu Kuhusu Mafanikio Niliyojifunza Kutoka Kwa Mwalimu Mstaafu.
Habari mpenzi msomaji wa mtandao huu wa Amka Mtanzania? Karibu tena tujifunze katika makala yetu ya leo. Katika mwezi huu wa tisa nilipata nafasi ya kumtembelea mwalimu mstaafu wa shule ya msingi....
View ArticleShuhuda Za Walioshiriki Semina Zilizopita Kwa Njia Ya Mtandao.
Habari za leo rafiki?Naamini uko vizuri sana, hongera kwa hilo. Na endelea kuweka juhudi ili maisha yako yaendelee kuwa bora zaidi.Kumbuka ubora hauna kikomo, haijalishi umefikia wapi kwa sasa, bado...
View ArticleMbinu Tano Za Kukupa Pesa Na Mafanikio Makubwa.
Mara nyingi ili kufikia mafanikio makubwa zipo mbinu nyingi ambazo unaweza ukazitumia kwa kufikia mafanikio hayo. Ni mbinu ambazo zipo na zimekuwa zikutumiwa na watu wote wenye mafanikio kutimiza...
View ArticleHaya Ni Majibu Ya Maswali Kumi Ambayo Bado Yanakutatiza, Pata Mwanga Hapa.
Habari za leo mpenzi msomaji?Naamini maisha yako yanazidi kuwa bora na imara kadiri siku zinakwenda. Hongera sana na jua kwamba hapo ulipofika bado ni chembe ndogo sana ukilinganisha na kule unakoweza...
View ArticleLeo Ndiyo Siku Ya Mwisho Ya Kujiunga Na Mafunzo Haya Mazuri Sana, Usiache...
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nakupa taarifa muhimu kuhusiana na mafunzo ya semina MIMI NI MSHINDI, Ahadi Yangu Na Nafsi Yangu.Hii ni semina ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao, ambapo...
View ArticleUsiogope Kuanza Na Marekebisho Madogo Madogo Pale Unapogundua Makosa.
Habari za leo mfuatiliaji na msomaji wa makala za Amka Mtanzania, furaha yangu na matumaini yangu wewe ni mzima ndio maana umepata fursa ya kufungua hapa, naamini unaendelea kupambana na una hamasa...
View ArticleUmepokea Ujumbe Na Email Ya Semina Ya MIMI NI MSHINDI?
Habari za wakati huu rafiki?Nishukuru sana kwa wengi ambao mmejiunga na semina ya MIMI NI MSHINDI. Nawakaribisha sana na nina shauku kubwa sana juu ya semina hii. Nasubiri kwa hamu siku ya jumatatu...
View ArticleUSHAURI; Usikimbilie kusajili biashara kwanza, fanya kitu hiki muhimu.
MUHIMU;Mafunzo ya semina MIMI NI MSHINDI yameshaanza kutumwa. Kama ulifanya malipo na hujapokea mafunzo haya piga simu 0717396253. Tafadhali iwe ulilipa tayari. Kwa sasa hakuna nafasi za kujiunga tena....
View ArticleKama Wewe Ni Mjasiriamali, Acha Kabisa Kuogopa Mambo Haya.
Kila mtu katika maisha yake anataka kufanikiwa. Kutokana umuhimu huu wa mafanikio kila mtu hujikuta akiweka juhudi kwa kile anachokifanya ili kufikia mafanikio hayo. Lakini pamoja na juhudi zote hizo...
View ArticleMambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Cha Law Of Attraction
Habari rafiki msomaji wa makala za uchambuzi wa vitabu. Karibu sana katika uchambuzi wa kitabu kinachoitwa Law of Attraction kilichoandikwa na mwandishi David Hooper. Kitabu hiki kinaelezea sheria ya...
View ArticleMambo Mawili Unayohitaji Kwa Ajili Ya Kukupa Afya Na Maisha Marefu.
Je, umeshawahi kujiuliza unacheka vipi na kwa nini? Kila mmoja wetu ameshawahi kucheka au kulia, labda tu kama ana tatizo. Kucheka na kulia inatazamwa kama vitu muhimu sana katika jamii yoyote kwa...
View ArticleKitabu Cha Mwezi Oktoba; DEAD AID (Kwa Nini Misaada Sio Suluhisho Kwa Nchi...
Baada ya vita vya pili vya dunia na kuundwa kwa vyombo vya kuunganisha mataifa duniani kama umoja wa mataifa, mataifa yaliyokuwa na nguvu yalifikia maazimio ya kusaidia nchi ambazo zimekuwa na hali...
View ArticleJe Unachokifanya Kimeshikamana Na Moyo Na Mwili wako?
Unataka kujua kitu gani kinasemwa hapa, kwanza habari za kwako, umeamka salama, kama ni ndio mshukuru Mungu na kama ni hapana pia shukuru maana uzima wako ni uhai wako, mwili unatibika ila uhai...
View ArticleUSHAURI; Hatua Za Kuchukua Pale Mwenza Wako Anapokuwa Chanzo Cha Biashara...
Kuendesha biashara ni changamoto kubwa sana. Hakuna jambo lolote unalofanya una uhakika nalo kwa siku zijazo. Kinachokupa faida leo kesho kinaweza kisiwepo kabisa kama biashara. Hii ndio sababu kubwa...
View ArticleHuu Ndiyo Uwekezaji Ambao Hutakiwi Kuukwepa Katika Maisha Yako.
Mara nyingi katika safari ya mafanikio tumekuwa tukiwekeza katika mambo mengi kama ardhi, majengo, hisa na mambo mengineyo. Huu ni uwekezaji ambao tumekuwa tukiufanya mara kwa mara katika maisha yetu....
View Article