Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nakupa taarifa muhimu kuhusiana na mafunzo ya semina MIMI NI MSHINDI, Ahadi Yangu Na Nafsi Yangu.
Hii ni semina ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao, ambapo utatumiwa masomo kwa njia ya email, na pia kutakuwa na kundi la wasap na kila siku utatumiwa ujumbe wa siku wa kukujenga kama mshindi.
Napenda kukujulisha kwamba LEO NDIO SIKU YA MWISHO ya kujiunga na semina hii nzuri sana kwako ya kukujengea msingi imara wa kufikia mafanikio makubwa. Baada ya siku ya leo kuisha hutaweza kujiunga tena na mafunzo haya. Hivyo kama ulikuwa unafikiria kujiunga ila bado hujafanya maamuzi, ni muhimu ufanye leo na ujiunge au uamue hutajiunga, kwa sababu leo ndio mwisho.
Kama utaamua kutokujiunga na semina hii maana yake utakuwa umeamua kukosa mambo haya mazuri;
1. Nafasi ya kujijengea msingi imara wa kuwa mshindi na kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako. haijalishi unafanya nini, jamii inayokuzunguka inachangia sana kukurudisha nyuma, bila ya msingi imara, hutaweza kufika mbali.
2. Utakosa nafasi ya kupata mifano halisi ya jinsi misingi hii imara inavyoweza kufanya kazi kwako, kama ambavyo imefanya kazi na inaendelea kufanya kazi kwangu.
3. Unakosa cheti ambacho kitakukumbusha mara kwa mara kwamba wewe ni mshindi, cheti hiki kitakuwa sehemu muhimu kwako kuendelea kujenga misingi hii, utajifunza zaidi matumizi yake katika semina hii.
Na kuna mengine mengi ambayo utayakosa kwa kuamua tu kutokushiriki.
Kumbuka leo ndio siku ya mwisho na hivyo kama unahitaji kupata mafunzo ya semina hii, basi chukua hatua haraka.
Katika semina nyingine zilizopita watu wamekuwa wakitaka kujiunga baada ya muda wa kujiunga kupita, kuna wakati tulikuwa tunaruhusu ila tumegundua haiwasaidii watu. Hivyo utakapokuja kutaka kujiunga baada ya semina kuanza hutapokelewa na sio kwa sababu hufai ila ni kwa sababu kile tulichopanga ukipate hutaweza kukipata katika hali hiyo.
Kujiunga na semina hii bonyeza haya maandishi na ujaze taarifa zako kisha lipa ada ya kushiriki semina ambayo ni tsh elfu 30. Ada tuma kwenye namba zifuatazo, tigo pesa na airtle money tuma kwenye namba 0717 396 253 mpesa tuma kwenye namba 0755 953 887. Jiunge leo kuhakikisha hukosi nafasi hii ya kipekee.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WLAE AMBAO TAYARI WAMEJIUNG.
Kama umeshajiunga tafadhali sana zingatia haya hapa.
1. Kuna watu walijaza fomu za kujiunga ila bado hawajatuma malipo, tafadhali sana fanya hivyo siku ya leo. la sivyo utakosa nafasi hii nzuri.
2. Kuna watu ambao walituma malipo ila bado hawajajiunga, tafadhali jaza fomu leo ili uweze kuingia kwenye semina hii.
3. Kuna watu wanajiunga lakini hawakamilishi mchakato, ukisha weka taarifa zako na kubonyeza subscribe, hujamaliza bado, unatumiwa email ya kudhibitisha, hivyo angalia email zako vizuri, kama unatumia gmail angalia na kwenye promotions au update au spam.
HAYA YASIWE KIKWAZO KWAKO.
Baadhi ya watu wamenitumia ujumbe kuniambia kwamba hawana wasap hivyo wana wasiwasi watashiriki vipi. Naomba usiwe na wasi wasi, hitaji la msingi kabisa kwenye mafunzo haya ni email, wasap kama huna bado utapokea mafunzo haya vizuri sana kupitia email yako. na utapata ujumbe mfupi kwenye simu yako kwa meseji za kawaida.
Na kwa wale wenye wasap tafadhali leo tuma ujumbe kwenye wasap kwenye namba 0717396253 ukiandika majina yako na email uliyojiunga nayo na useme kwamba umeshajiunga na semina hii ili uweze kuingia kwenye kundi linalohusiana na hii semina.
Niwakaribishe sana wale ambao mmechukua hatua ya kujiunga na semina hii. Nina shauku kubwa sana ya kuanza kuwashirikisha mambo yale mazuri sana kwetu sote kufikia USHINDI MKUBWA.
Pia niwashukuru sana wasomaji wote kwa kuendelea kufuatilia makala hizi, nakuahidi kuendelea kupata makala bora sana za kukusaidia kuweza kuwa na maisha bora zaidi ya uliyonayo sasa, hata kama hukupata nafasi ya kujiunga na mafunzo haya.
Kama hukupata taarifa za mwanzo kuhusu semina hii haya ndio yatakayofundishwa;
SEMINA; MIMI NI MSHINDI, Ahadi Yangu Na Nafsi Yangu.
1. Nilizaliwa kushinda.
2. Maisha yangu ni jukumu langu.
3. Ninaamini ninaweza kushinda.
4. Ninapima ushindi wangu kwa malengo.
5. Mimi kama mshindi ni mwaminifu.
6. Nimejitoa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa.
7. Muda ni mali ya thamani kwangu.
8. Nimezishinda hofu zote.
9. Kujifunza kila siku ndiyo nguzo yangu.
10. Nimeacha kutafuta sababu.
11. Wakatishaji tamaa hawaniyumbishi.
12. Ninafanya kile nilichopanga kufanya leo.
13. Kukosea ni sehemu ya ushindi wangu.
14. Ninakazana kuwa bora na sio kuwashinda wengine.
15. Ninajua hakuna njia ya mkato.
16. Kulaumu na kulalamika ni mwiko kwangu.
17. Mimi ni king’ang’anizi, sikubali kukata tamaa.
18. Ninashukuru kwa maisha haya ya ushindi.
19. Ninashirikiana na washindi wenzangu.
20. Ninachukua hatua mara moja.
Masomo haya 20 yameandaliwa vizuri sana kiasi kwamba kadiri unavyokwenda unaendelea kuvunja minyororo yote ambayo inakuzuia kufikia mafanikio. Kumbuka mabadiliko ya kweli kwenye maisha yako yanaanza na wewe mwenyewe, na ndio maana mafunzo haya yameandaliwa ili kukuwezesha wewe mwenyewe kubadilika, kujiahidi kwamba utashinda na baadae utashinda kweli.
Ili kuhakikisha washiriki wanapata mafunzo bora, nafasi za ushiriki huwa zinakuwa chache. Hivyo ni vyema ukachukua hatua haraka.
Kujaza taarifa zako bonyeza maandishi haya na malipo fanya kwa namba zifuatazo; M PESA 0755 953 887, TIGO PESA/AIRTEL MONEY 0717 396 253.
Chukua hatua haraka kabla nafasi hii ya kipekee haijakupita.
Nakukaribisha sana kwenye mafunzo haya ambayo ninaamini bila ya kusita kwamba yatabadili maisha yako. Nimejitoa kuweka kila ninachojua kwenye mafunzo haya ili yawe msaada mkubwa sana kwenye maisha yako, usijaribu kabisa kuyakosa.
Rafiki na Kocha wako,
Makirita Amani, makirita@kisimachamaarifa.co.tz
P.S Kama bado hujajaza fomu ya kujiunga bonyeza maandishi haya sasa na ujiunge na mafunzo haya mazuri.
N;B Kumbuka LEO NDIO SIKU YA MWISHO kujiunga na mafunzo haya, BONYEZA HAPA kujaza fomu sasa ili usikose mafunzo haya muhimu.

![]() |
MFANO WA CHETI UTAKACHOPATA KWA KUSHIRIKI SEMINA HII. |