Sehemu 7 Ambazo Unatumia Kupoteza Rasilimali Muda Wako
Muda au wakati ni rasilimali ambayo ikipotea hairudi tofauti na rasilimali fedha ambayo ukipoteza utaitafuta lakini ukipoteza muda huwezi kuupata hata kwa fedha. Mtunzi wa kitabu cha The Secret Code of...
View ArticleYafahamu Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Eneo La Ujenzi Kabla Hujajenga...
Na Kimbe NickasMwonekano wa Tanzania ya sasa na ya miaka kumi iliyopita ni tofauti sana, mafanikio haya ni kutokana na msukumo mkubwa wa maendeleo ya sekta mbalimbali ukiwemo uwekezaji wa ardhi na...
View ArticleUlizaliwa Uishi Wewe, Usiishi Kwa Ajili Ya Wengine.
Kila mtu alivyoumbwa kuna kitu alizaliwa ili aje kukifanya, analo jibu la changamoto fulani katika maisha haya tulimo. Ni wajibu wa kila mmoja kuweza kutambua hilo na kuishi hilo kusudi. Hakuna hata...
View ArticleIli Upate Mafanikio Ya Kudumu, Wekeza Kwenye Ardhi Na Majengo.
Daima namshukuru mungu kwa namna ambavyo amekuwa akinipa pumzi pasipo malipo, Baraka hizi ndizo zinazonisukuma niweze kuwatazama wengine kama sehemu yangu ya maisha hapa duniani. Ndugu Mtanzania...
View ArticleTangazo muhimu kuhusiana na blog zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS.
Habari za leo mpenzi msomaji wa blog mbalimbali zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS. Naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako. Na pia naamini TUPO PAMOJA ukiendelea kujifunza...
View ArticleTangazo muhimu kuhusiana na blog zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS.
Habari za leo mpenzi msomaji wa blog mbalimbali zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS. Naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako. Na pia naamini TUPO PAMOJA ukiendelea kujifunza...
View ArticleSiri Ya Mfereji Wa Upendo Kuelekea Kwenye Bahari Ya Mafanikio
Upendo ni neno tunalolisikia kila mara. Upendo una nguvu zaidi ya nguvu ya kifo. Upendo kutafsiri n hauna ukuta. Upendo una sifa nyingi sana. Hauhesabu mabaya, haujivuni, husamehe, haulipizi kisasi,...
View ArticleUSHAURI; Kutoka Kwenye Kuajiriwa Mpaka Kujiajiri, Mambo Muhimu Ya Kuzingatia...
Kununua uhuru wa kazi na hata maisha, yaani kutoka kuwa mwajiriwa mpaka kujiajiri mwenyewe na hatimaye kuweza kuwaajiri wengine ni mpango wa watu wengi sana. Japo ni wachache sana wanaoweza kutimiza...
View ArticleJe Una Tairi La Ziada Katika Safari Ya Mafanikio Yako.
Mafanikio ni safari na kama tunavyojua kuwa katika safari kuna changamoto nyingi, changamoto hizo zinaweza kuwa barabara mbovu, au gari kuharibika na mengine mengi yanayohusiana na changamoto za...
View ArticleKama Unataka kufanikiwa, Ni Lazima Uanze na Kitu Hiki Kwanza.
Ni mara nyingi wengi wetu umekuwa ukisikia tukijisemea sisi wenyewe ama kuwaambia jirani zetu kuwa ‘ni lazima mwaka huu nitafanya hili na lile mpaka kuhakikisha malengo yangu yanatimia’. Ni mipango...
View ArticleMambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Kinachoitwa LETTERS From A SELF-MADE...
Wiki hii tunajifunza kwenye kitabu kinachoitwa LETTERS from a SELF-MADE MERCHANT to his SON. Kitabu hiki kimeandikwa na George Horace. Kitabu hiki kinahusu barua za Mfanyabiashara ambazo alikua...
View ArticleKama Unafikiri Umeshindwa Na Hauwezi Tena Basi Hii Ni Habari Njema Juu Ya...
Mara nyingi tumekuwa tukipanga kufanya mambo mengi sana mengine tunafanikiwa na mengine yanashindikana. Tunapata furaha sana pale tunapofanikiwa na mara nyingi huwa tunaumia sana pale...
View ArticleMambo 5 Ambayo Yanaweza kufanya Maisha Yako Kuwa Mafupi.
Habari za leo rafiki na mpenzi msomaji wa mtandao huu wa AMKA MTANZANIA. Ni matumaini yetu ya kuwa umzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako kila siku. Nasi kwa furaha kubwa tunapenda...
View ArticleMambo Kumi(10) Muhimu Ambayo Kila Mhitimu Wa Elimu Ya Juu Mwaka 2015...
Huu ndio ule wakati ambapo wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanamaliza masomo yao. Ni wakati wa furaha sana kwenye maisha yao kwa sababu kitu walichokuwa wanakifanyia kazi kwa miaka mitatu, minne au...
View ArticleIshi Kama Ulivyoumbwa, Usiishi Kama Jamii Inavyotaka Uishi.
Kila mtu anayejielewa ana ndoto zake, anatamani kuwa mahali fulani, kufanya vitu fulani n.k. Lakini hivyo vitu au namna mtu anatamani kuwa haiwezi kuja tu bila kuchukua hatua stahiki kuelekea huko....
View ArticleYafahamu Mambo Muhimu Yanayoathiri Gharama Za Ujenzi Na Namna Ya Kupanga...
Daima namshukuru mungu kwa namna ya pekee kwa kadri anavyozidi kutubariki na hata kupata wasaa huu wa kuelimishana na watanzania wenzangu. Pia nawashukuru wasomaji wa mtandao huu wa AMKA MTANZANIA kwa...
View ArticleAkili Ni Nywele Kila Mtu Ana Zake, Je Unamjua Adui Wa Akili Yako?
Mara nyingi tunasikia msemo huu akili ni nywele kila mtu ana zake, lakini umeshawahi kujiuliza ni nani ambaye ni adui wa akili yako ?UMESHAMJUA ADUI YAKO? Mkurugenzi wa kampuni ya Amka Consultants,...
View ArticleHatua 6 Muhimu Za Kuweza Kubadili Maisha Yako Kabisa.
Inawezekana kabisa ukawa unaona mambo yako ni magumu, malengo uliyonayo ni kama hayatimii na maisha kwa ujumla unaona hayasogei karibu katika kila eneo la maisha yako. Hali kama hii inapokutokea ni...
View ArticleMambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Cha Ten Roads To Riches(Njia Kumi Za...
Habari msomaji wetu wa makala hizi za mambo 20 kutoka kwenye kitabu. Leo hii tutajifunza kwenye kitabu kinaitwa the ten roads to riches ambacho kimeandikwa na tajiri ken fisher. Kitabu hiki...
View ArticleMambo Nane(8) Yatakayokufanya Uwe Na Fikra Chanya Kila Wakati Ili Uweze...
Habari ndugu msomaji wa AMKA MTANZANIA. Leo ningependa tuangalie namna ambavyo unaweza kujijenga na kuwa na fikra chanya kila wakati bila kujali watu wanaokuzunguka au matukio ambayo yametokea na...
View Article