Kitu Kimoja Kitakachoongeza Wasifu Wako(Cv) Na Kukuongezea Kipato Pia.
Kwa sababu zao binafsi, kuna watu ambao wangependa kuajiriwa maisha yao yote. Au wangependa kuajiriwa kwa kipindi fulani kwenye maisha yao. Au kama ni mhitimu basi ungependa kuajiriwa kama sehemu ya...
View ArticleJe Unaijua Thamani Yako Au Unapeperushwa Kama Bendera?
Katika maisha ni vyema kama utajua ni nini unataka na ukasimamia hicho. Hakuna mtu atakayekuambia kuwa hiki ndicho unahitaji maishani mwako. Ni wajibu wako wewe mwenyewe kuhakikisha unatambua hicho...
View ArticleUSHAURI; Taratibu Za Kupata Ushauri Bora Na Gharama Zake.
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, karibu tena kwenye kipengele chetu cha ushauri wa changamoto ambazo zinakuzuia wewe kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako.Hakuna maisha ambayo...
View ArticleSababu Sita(6) Zinazoweza Kumpoteza Mteja Au Kumkera Katika Biashara
Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja au wateja Fulani siku hizi huwaoni katika biashara yako, unaanza kumtafuta mchawi ni nani katika biashara yako kumbe mchawi ni wewe mwenyewe ambaye...
View ArticleJifunze Kitu Kutoka Kwa Mwalimu Merina Mpina, Anayemiliki Jengo La Milioni...
Merina anaishi ndani ya jiji la Dar es Salaam pia ni mwalimu wa shule ya msingi katika sekta ya umma, ni mwaka wake wa tatu toka alipoajiriwa na kuwa mwalimu katika shule moja ya umma wilaya ya...
View ArticleUnaweza Kuwa Vile Unavyotaka Uamuzi Ni Wako
Mara nyingi tumekuwa tukitamani kuwa watu wa aina fulani. Wakati mwingine tumetamani kuwa kama baadhi ya watu wenye mafanikio ambao wanatuvutia sana. Lakini wengi wetu tunaishia kutamani tu bila...
View ArticleKitabu Cha August; Eat Move Sleep(Kula, Kufanya Mazoezi Na Kulala).
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, hiki ni kitabu cha nane ambacho tunakutumia mwaka huu 2015 katika utaratibu wetu wa wewe msomaji kutumiwa kitabu kimoja kila mwezi.Swali ni je unasoma...
View ArticleKama Unataka Maisha Mazuri Shindana Na Mtu Huyu Mmoja Tu, Wengine Wote Achana...
Ndugu yangu ni vyema kama utatambua kuwa uliumbwa ili uje uishi vile unavyotakiwa kuishi, kuna watu wapo hapa kazi yao ni kuiga, kushindana na wengine, yaani wao muda mwingi wanautumia kwa kuangalia...
View ArticleUSHAURI; Mambo Ya Kuzingatia Pale Biashara Yako Inapokutana Na Ushindani Mkali.
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, naamini upo vizuri na unaendelea kufanyia kazi yale ambayo unajifunza ili kuboresha maisha yako. Nikupe hongera sana kwa hilo na nakupa moyo endelea...
View ArticleAUDIO BOOKS; Vitabu Kumi Na Mbili(12) Vitakavyobadili Maisha Yako Kabisa Na...
Kama kuna kitu kimoja ambacho naweza kumshauri mtu yeyote anayetaka kubadili maisha yake basi ni hiki; JIFUNZE KILA SIKU. Ndio mabadiliko ya maisha yako yataanza pale ambapo utakuwa na maarifa sahihi...
View ArticleMambo Matano(5) Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Malezi Ya Watoto Ili Kuwaandaa...
Habari Mpenzi Msomaji, na karibu katika makala yetu ya leo. Leo tutazungumzia juu ya malezi ya watoto, watoto wanahitaji mwongozo mzuri angali au tokea wanapokuwa wadogo ndio maana wahenga walisema...
View ArticleKama Unatafuta Kazi,..Haya Ndiyo Mambo Muhimu Ya Kukusaidia Kupata Kazi hiyo.
Wengi wetu mara tunapomaliza masomo huwa tunatafuta ajira kwa njia mbalimbali. Kuna wakati tunaandika barua za maombi na kusubiri, kuna wakati tunasaidiwa na jamaa zetu kupata ajira na kuna wakati...
View ArticleUsifanye Makosa Haya Kwenye Uwekezaji Wa Majengo.
Daima namshukuru Mungu kwa namna ambavyo amekuwa akinipa pumzi pasipo malipo, asante Mungu uliye msanifu wa maumbile yetu, mambo yote yatapita lakini ufalme wako utadumu milele. Lengo la makala hii ni...
View ArticleUsifanye Kosa Hili Kubwa Ambalo Litaondoa Imani Kwa Wale Wanaokuamini Na...
Habari za leo ndugu msomaji wangu wa makala hii, nina imani umeamka salama na unapenda kujifunza jambo jipya kuhusu maisha yako, hata kama kuna changamoto unayoipitia ya kukuumiza moyo wako/maisha yako...
View ArticleKabla Hujachukua Mkopo, Jiulize Kuna Ulazima Sana Kwako Wa Kufanya Hivyo?
Ni muhimu sana sisi kujiuliza maswali kadhaa kabla ya kuamua kununua au kukopa, iwe ni fedha au kitu chochote kile. Tunapaswa kujiuliza kwamba, je, fedha tunazotaka kukopa kweli tunazihitaji? Au je,...
View ArticleNjia Tatu Za Kuongeza Ufanisi Wako Eneo La Kazi Na Kuepuka Kupoteza Muda Kwa...
Habari ndugu msomaji. Ni imani yangu kuwa unaendelea kujifunza na kufanya mabadiliko katika maisha yako ya kila siku kila kunapokucha. Leo ningependa tuangalie maeneo yetu ya kazi au ofisini kwetu....
View ArticlePamoja Na Vitabu Vingi Kuandikwa Kuhusu Mafanikio, Kwa Nini Watu Wengi Bado...
Kuna vitabu vingi sana vimeandikwa kuhusu mafanikio na vingine vinaendelea kuandikwa.Kuna makala nyingi sana zimeandikwa kuhusu mafanikio na nyingine zinaendelea kuandikwa kila siku.Swali ambalo wengi...
View ArticleUsiruhusu Visingizio Vikushinde, Visingizio Vipo Kila Siku, Ila Muda...
Ni kweli kuwa kuna wakati katika maisha unaweza kuwa na mambo mengi sana yanayokufanya ushindwe kuendelea na mipango yako mingine uliyoipanga. Inaweza kuwa unafanya kitu ambacho kweli kinaonekana ni...
View ArticleUSHAURI; Kuanzisha SACCOSS Pale Unaposhindwa Kuanzisha Kampuni.
Ni siku nyingine ambayo tunakutana kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia sisi kufikia mafanikio makubwa. Naamini unaendelea vyema kabisa na unaendelea kutumia...
View ArticleUnahitaji Kitu Hiki Kwanza, Ili Kujihakikishia Mafanikio Ya Kudumu Katika...
Kwa watu wengi huwa ni rahisi sana kujua ni wapi wanapotoka katika safari yao ya mafanikio, lakini huwa si wepesi sana wa kutambua kule wanakokwenda kutokana na kutokuwa na uhakika kama watafanikiwa au...
View Article