Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Wakati Sahihi Na Wakati Mbaya Wa Kuchukua Mkopo Wa Biashara Benki.

Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako kila siku. Kumbuka mafanikio hayatokei mara moja tu, ila yanajengwa kwa tabia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafanikio Yako Yote Unayoyatafuta Yanaanzia Hapa.

Habari rafiki na mpenzi msomaji wa mtandao huu wa AMKA MTANZANIA. Ni siku nyingine tena ambapo tunakutana mimi na wewe kuweza kujadili namna ambavyo tunavyoweza kuboresha maisha yetu na kuwa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Ya Kutengeneza Kipato Cha Ziada Ukiwa Unaendelea Kufanya Unachofanya Sasa.

Kama kuna kitu hatari katika dunia ya sasa ni kuwa na chanzo kimoja tu cha kipato. Ni hatari sana kwani chanzo hiki kitakapopotea, unajikuta kwenye wakati mgumu sana. Lakini watu wengi, hasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Unaendelea Kupoteza Kitu Hiki, Mafanikio Tena Basi Katika Maisha Yako.

Katika maisha yetu mara nyingi huwa tunajikuta ni watu wa kupoteza vitu vingi sana. Vitu ambavyo huwa tunavijutia na kuumia sana pale tunapovipoteza. Kuna wakati huwa tunapoteza pesa, kazi, muda, jamaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutengeneza Kipato Kupitia Mitandao Ya Kijamii.

Mwaka jana tuliandaa semina kwa njia ya mtandao ambapo tulitoa elimu ya jinsi ya kutengeneza kipato kwenye mtandao kwa kutumia blog. Baadae tulitoa kitabu ambacho kiliendelea kutoa elimu hii ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Kama Kitu Hakina Sifa Hizi Tatu Usikisome Na Okoa Muda Wako Ili...

Makala zako ni nzuri lakini ni ndefu sana, zifanye ziwe fupi ili tuweze kuzisoma.Haya ni malalamiko ambayo nimekuwa nayapokea kutoka kwa wasomaji wengi, hasa pale ninapowashirikisha makala kupitia...

View Article

Mambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Kinachoitwa THE SECRET CODE OF SUCCESS.

Habari rafiki, ni matumaini yangu waendelea vizuri. Wiki hii tunaendelea na utaratibu wetu wa kushirikishana mambo 20 niliyojifunza kwenye kitabu. Leo tunaangazia kitabu kinachoitwa THE SECRET CODE OF...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilimo Cha Nyanya Aina Ya Anna F1

Habari ndugu msomaji wa Amka Mtanzania. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Karibu tena kwenye jukwaa hili la makala za kilimo. Wiki hii tutaangazia kilimo cha nyanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndege Wa Angani Hawalimi Ila Wanakula, Kuna Mambo Haya Matano(5) Pia...

TUPO PAMOJA?Nataka kujua tu kama bado tupo pamoja na kama bado unafanyia kazi yale ambayo unajifunza kila siku kupitia mitandao inayoendeshwa na AMKA CONSULTANTS. Kuna wengi wanayafanyia kazi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITABU CHA JULY; THE SECRET CODE OF SUCCESS(Siri Ya Mbinu Ya Mafanikio)

Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, karibu tena kwenye utaratibu wetu wa kutumiwa vitabu vizuri vya kujisomea. Kila mwezi tumekuwa tunakutumia kitabu kimoja cha kujisomea ambacho kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Mambo 6 Muhimu Ya Kuzingatia Pale Unapokuwa Na Mawazo Mengi Ya...

Watu wengi wamekuwa wakikwama kuanza biashara kwa sababu wanakuwa hawajapata wazo zuri la biashara. Mimi huwa nakataa kitu hiki kwa sababu kinachowakwamisha watu sio kukosa wazo bali kutokuwa tayari...

View Article

Mambo Kumi(10) Muhimu Usiyojua Kuhusu Mafanikio, Na Jinsi Yanavyokurudisha...

Najua umeshasoma makala nyingi sana kuhusu mafanikio, makala ambazo zinasema mbinu hizi za mafanikio mbinu zile za mafanikio. Na unapoona makala nyingine tena inayokuambia kuna mambo kumi usiyoyajua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu THE POWER OF NO.

Habari ndugu msomaji wa makala za uchambuzi wa Mambo 20 kutoka kwenye kitabu cha wiki. Karibu kwenye mfululizo wa makala zetu za kila wiki. Wiki hii tutaangazia kitabu kinachoitwa The Power of NO....

View Article


Mambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Kinachoitwa FLIGHT PLAN The Real Secret...

Habari rafiki, ni matumaini yangu waendelea vizuri. Wiki hii tunaendelea na utaratibu wetu wa kushirikishana mambo 20 niliyojifunza kwenye kitabu. Leo tunaangazia kitabu kinachoitwa FLIGHT PLAN The...

View Article

Kabla Hujakubali Kila Unachoambiwa, Kumbuka Jambo Hili Moja Muhimu Sana.

Binadamu tunaweza kuwa tunaona kitu kimoja kwa namna tofauti kabisa , hii inatokana na kutofautiana mitazamo tu au yaweza kuwa ni kutokana na vitu ambavyo tumejifunza na kuzisikia sana, ndiyo vitu...

View Article


Hatua Saba (07) Muhimu Za Kukamilisha Malengo Yako Makubwa.

Watu wengi hufikiri kuwa na lengo lilio fasaha pamoja na kuwa na mtazamo chanya kuhusiana na ukamilishaji wa lengo ndio msingi mkuu wanaohitaji ili kuweza kuwa na furaha pamoja na kufanikiwa. Lakini...

View Article

Ushauri Kwa Waajiriwa Wapya Wote Wa Mwaka Wa Fedha 2014/2015

Habari mpenzi msomaji , na karibu tena katika usomaji wa makala kupitia tovuti hii kama ukitumia vema makala hizi za kila siku zinazotolewa na blog hii hakika utaboresha maisha yako kwa namna moja au...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Umewekeza Kwenye Majengo Yafahamu Magonjwa Sugu Yanayo Athiri Majengo.

Kama ilivyo kwa viumbe hai kuathiriwa na mazingira wanayoishi ndivyo ilivyo kwa viumbe visivyo hai ikiwemo majengo. Majengo huweza kuhimili mazingira kutokana na namna yalivyobuniwa na kujengwa katika...

View Article

Una Nini Cha Tofauti Mpaka Watu Wakufuate Na Kukusikiliza? Jua Hapa.

Katika dunia ya sasa ni kawaida sana kukutana na mtu akimthamini na kumjali mtu kwa kuwa ipo faida anaipata au ananufaika kwa njia moja au nyingine. Mfano huenda ni katika eneo lako la kazi, pengine...

View Article

Tabia Ya Mtu Ni Kama Kikohozi, Na Jinsi Ya Kujua Tabia Ya Mtu Kabla Hujamwamini.

Mara nyingi watu wengi hujaribu kuficha uhalisia wao kutokana na mazingira fulani ambayo wanaona wakikunjua makucha yao wataonekana vibaya, wengi wamefanikiwa kwenye eneo hili kwa kiasi fulani ila...

View Article
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>