USHAURI; Changamoto Ya Matumizi Mazuri Ya Fedha Za Biashara.
Mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo zinatuzuia kufikia mafanikio. Kama ambavyo huwa nasema mara nyingi, changamoto ni kitu cha...
View ArticleMambo 4 Yanayosababisha Uwe Na Fikra Hasi.
Wengi wetu mara nyingi tumejikuta tukiwa watu wa fikra hasi sana. Tumekuwa ni watu wa kuwaza na kukusudia mabaya kwa wengine. Tumekuwa ni watu wa vijicho, husuda, choyo, wivu na hata tamaa mbaya. Hizo...
View ArticleSababu Kumi(10) Kwa Nini Uendelee Kubaki Kwenye Ajira Kwa Muda Kabla Ya...
Leo naomba niongee na wasomaji wa KISIMA CHA MAARIFA ambao bado wapo kwenye ajira ila haziwaridhishi na wanataka kuingia kwenye biashara au ujasiriamali. Kwanza nikupongeze sana kama wewe ni mmoja wa...
View ArticleKama Unavipa Thamini Sana Vitu Hivi,… Lazima Maisha Yako Yawe Magumu.
Kila mtu kuna kitu anakitaka katika maisha yake, lakini kuna wale ambao hawataki kitu fulani, bali wamejibandika kwenye vitu wanavyovitaka , yaani wameamua kuwa ni sehemu ya vitu hivyo. Nikiwa namaana...
View ArticleKama Unaweza Kufanya Kazi Yoyote, Hakuna Anayeweza Kukuajiri. Na Njia Bora Ya...
Huwa napokea ujumbe mwingi sana kwa siku. Ujumbe huwa kwa njia ya email na hata njia ya simu. Huwa najitahidi kutenga muda wa kusoma ujumbe ninaotumiwa na kujibu kama inanihitaji kufanya hivyo....
View ArticleUSHAURI; Kuhusu Kujiunga Na Biashara Ya Mtandao(Network Marketing) Na Mambo...
Katika makala nyingi ambazo nimekuwa naandika za kushauri watu kuingia kwenye biashara nimekuwa nikitaja biashara ya mtandao(network marketing) kama njia moja wapo ya mtu kuanza biashara kwa mtaji...
View ArticleHivi Ndivyo Unavyoweza Kukabiliana Na Uzushi Unaojitokeza Dhidi Yako.
Linapokuja suala la uvumi na umbeya inaonekana ni kama haki kwa kila mtu. Hii ni kwa vile, mwanzoni, hilo huonekana ni suala linalowaandama watu wengine tu, hadi pale inapofikia zamu yake mtu kutetwa...
View ArticleKilimo Bora cha Nyanya; Maandalizi Ya Mbegu, Shamba Na Upandaji Wa Miche.
Habari ndugu msomaji wa wetu wa makala za kilimo, Natumaini tunaendelea vizuri na mapambano ya kila siku. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vitu vya msingi kwanza,...
View ArticleKama Unafikiri Vitu Hivi Ndivyo Vitakupa Furaha Ya Kweli Katika Maisha Yako,...
Hata kama watasema akina nani, bado ukweli unabaki kuwa uleule kwamba, fedha haziwezi kutupa sisi furaha kubwa katika maisha yetu kama tunavyofikiri. Lakini si pesa tu peke yake, hata pia vile vitu...
View ArticleHiki Ndio Kitu Kikubwa Unachohitaji Kufanya Ili Kuboresha Maisha Yako(Zawadi...
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, naamini unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako ili uweze kufikia mafanikio makubwa zaidi kwenye maisha yako.Jana tarehe 28/05 ilikuwa...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kupata Ushauri Bora Kwa Mafanikio Ya Biashara Yako.
Kuanzia tumekuwa na kipengele cha USHAURI WA CHANGAMOTO zinazokuzuia kufikia mafanikio, ni zaidi ya mwaka mmoja sasa. Kwa mwaka huu mzima karibu kila wiki umekuwa unapata makala moja yenye ushauri...
View ArticleKama Ni Ubaya Huwa Unautengeneza Hivi...Katika Maisha Yako.
Nakumbuka kuna siku nilinunua gazeti, nikiwa natarajia kupata taarifa nzuri za kunipa moyo zaidi, za kunifanya nione kwamba, dunia ni mahala salama. Nilianza kulisoma gazeti lile na kukutana na vichwa...
View ArticleKILIMO CHA NYANYA; Utunzaji Wa Shamba, Uvunaji Na Masoko Ya Nyanya.
Habari ndugu mpendwa msomaji wa makala za kilimo katika jukwaa la AMKA MTANZANIA. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri na mchakato wakuelekea kwenye mafanikio. Wiki iliyopita tulianza kujifunza kilimo...
View ArticleMambo 6 Unayalazimika Kuyaacha Mara Moja Ili Kufanikiwa.
Watu wenye mafanikio makubwa mara nyingi huwa ni watu ambao hawana tofauti kubwa sana na wewe. Huwa ni watu walewale ambao pengine tunakuwa nao na hata kupishana nao barabarani. Tofauti kubwa...
View ArticleMabadiliko Kwenye Blog Zinazoendeshwa Na AMKA CONSULTANTS.
Habari za leo mpenzi msomaji wa blog za AMKA CONSULTANTS, naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako na kufikia mafanikio makubwa. AMKA CONSULTANTS ipo pamoja na wewe kwenye...
View ArticleUSHAURI; Mambo Muhimu Ya Kufanya Pale Ndugu Zako Wanapokuona Wewe Ni...
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, karibu tena kwenye kipengele hiki cha USHAURI WA CHANGAMOTO zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa tunayotazamia kwenye maisha. Ukweli ni kwamba...
View ArticleSababu Zinazofanya Watu Wengine Kuwa Waongeaji Sana Bila Kuwa Watekelezaji Wa...
Ni mara nyingi katika maisha yako umewahi kusikia au kuona watu ambao ni waongeaji sana wazuri wa mipango na malengo yao. Watu hawa wanapokuwa wanaongelea mipango, mikakati na malengo yao kwa hakika ni...
View ArticleMambo Muhimu Unayopaswa Kuyafahamu Kabla Ya Kuwekeza Kwenye Greenhouse.
Habarindugu msomaji wa AMKA MTANZANIA, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio. Karibu tena katika kona hii ya kupata maarifa ya kilimo. Leo tutaendelea na...
View ArticleMakosa 3 Makubwa Yanayokufanya Ushindwe Kutimiza Malengo Yako.
Ni kitu ambacho kimeshawahi kukutokea ama kuona kwa wengine wakiwa wakitimiza malengo yao na wakati wengine malengo yao yakiwa hayajitimizwa. Hii ni hali ambayo huwa inatokea katika maisha yetu mara...
View ArticleSehemu Kubwa Ya Watanzania Hatufanyi Kazi, Na Hili Ni Tatizo Kubwa Kwa...
Hakuna nchi duniani imewahi kuendelea bila ya watu kufanya kazi. Ukiangalia nchi zote ambazo zina maendeleo makubwa, watu wanafanya kazi sana. Watu wanazalisha bidhaa na huduma ambazo zina thamani...
View Article