Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYEUSI NA NYEUPE; Watu Hawa Uliochagua Kuwabeba, Ndiyo Wanaokurudisha Nyuma,...

Habari za leo rafiki yangu? Ni matumaini yangu kwamba umeianza siku hii vyema kabisa, ukiwa na hamasa kubwa ya kwenda kuweka juhudi ili kupata matokeo bora. Wakati wewe umeamka na hamasa hiyo ya kwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muda Unaotengeneza Maisha Yako Ni Huu Hapa.

Kati ya kitu ambacho huwezi kucheza nacho na ikitokea umekipoteza ndio imetoka hiyo, ni muda ulionao. Unaweza ukacheza na vyote kwenye maisha yako na ukavipoteza na ukaanza upya hadi kufanikiwa, lakini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; The 80/20 Principle (Siri Ya Kupata Matokeo Makubwa Kwa...

Mwaka 1869 mchumi Vilfredo Pareto alitoa andiko lake la kiuchumi ambapo alionesha kwamba asilimia 80 ya ardhi ya Italia ilikuwa inamilikiwa na asilimia 20 ya watu. Hakuishia hapo, alionesha hata kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndiyo Maisha Bora Wanayostahili Kuishi Wanandoa Katika Karne Ya Ishirini...

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndiyo Maswali Matano Kwa Mtaalamu Wako Kabla Hujaanza Ujenzi Wa Nyumba...

Ni ukweli usio na shaka kuwa kila mtu anahitaji kuwa na nyumba bora, safi na salama kwa matumizi mbalimbali ikiwemo makazi na biashara. Pamoja na utofauti wetu wa kipato lakini bado ni watanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shukrani Za Dhati Na Picha Za Matukio Ya Semina Ya KISIMA CHA MAARIFA 2017.

Habari za leo rafiki? Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri na umeamka ukiwa na hamasa ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana kwenye maisha yako kwa siku ya leo. Napenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yafanye Maisha Yako Yawe Ya Mafanikio Kwa Kuchukua Hatua Hii…

Kwa jinsi unavyochukua hatua hata kama ni ndogo sana, lakini huku ukiwa na mawazo chanya, hivyo ndivyo utakuwa upo kwenye mchakato wa kuyaendea mafanikio yako. Kuna wakati unaweza ukajiona kama vile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Karibu kwenye mwaka wa mafanikio 2017/2018.

Habari za leo rafiki yangu? Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye mwaka wa mafanikio 2017/2018. Huu ni mwaka wa kipekee ambao unaweza kwenda kufanya makubwa na kuweza kupata matokeo bora...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITABU CHA NOVEMBA 2017; Secret Code Of Success (Kanuni Za Siri Za Mafanikio).

Habari za leo rafiki yangu? Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri na unaendelea kuweka juhudi kubwa ili kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora sana. Hilo ndiyo jambo la msingi la kila mmoja wetu kufanya....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufahamu Ugaidi Hatari Kuliko Wote Duniani Unaosumbua Maisha Ya Watu Wengi

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article
Browsing all 1010 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>