Habari za leo rafiki yangu? Ni matumaini yangu kwamba umeianza siku hii vyema kabisa, ukiwa na hamasa kubwa ya kwenda kuweka juhudi ili kupata matokeo bora. Wakati wewe umeamka na hamasa hiyo ya kwenda kufanya makubwa, wapo ambao wameamka na hamasa ya kukurudisha wewe nyuma, na cha kusikitisha zaidi ni kwamba watu hao ni wa... Continue Reading →
