Habari za leo rafiki? Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri na umeamka ukiwa na hamasa ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana kwenye maisha yako kwa siku ya leo. Napenda kuchukua nafasi hii kukutaarifu ya kwamba, semina yetu ya KISIMA CHA MAARIFA 2017 ilikamilika kwa mafanikio makubwa sana. Semina hii ilifanyika... Continue Reading →
