Unapojikuta Kwenye Wakati Mgumu Unafanyaje? Jibu Lipo Hapa.
Msomaji wa makala za Amka Mtanzania, Habari za leo? Matokeo ya Uchaguzi yametoka kama ulivyotaka? hongera sana, ni jambo la kufurahisha kwa kile ulichokitegemea ukakipata kama kilivyo. Na wewe...
View ArticleKama Unatafuta Kazi, Acha Kufanya Makosa Haya Ili Kuipata Kazi Hiyo.
Changamoto ya ajira ni moja kati ya changamoto kubwa sana inayowakabili vijana wengi hususani wanaomaliza masomo yao ya vyuo. Si ajabu sana kusikia kijana yule kamaliza chuo kile lakini akiwa hana...
View ArticleHizi Ni Sababu Kwa Nini Baadhi Ya Watu Wanaopata Fedha Nyingi Huishia Kufa...
Linapokuja swala la fedha, kuna misingi mitatu muhimu sana kuhusu fedha ambayo kila mtu anatakiwa kuijua. Msingi wa kwanza ni jinsi ya kutengeneza fedha au kutafuta fedha. Msingi huu wengi kidogo...
View ArticleChanzo Kikubwa Cha Mabadiliko Ya Maisha Yako, Kinaanzia Hapa.
Inawezekana ukawa ni miongoni mwa aina ya watu ambao wamekuwa wakijiuliza maswali mengi sana kuhusu sababu ya baadhi ya vitu kama vile hali ngumu za kimaisha, matatizo anayokabiliana nayo binadamu kila...
View ArticleJe Watanzania Tunaiweza HAPA KAZI TU? Haya Hapa Ni Mabadiliko Ya Wewe Kufanya...
Mwishoni mwa mwezi wa kumi, watanzania tulifanya uchaguzi wa kuwachagua madiwani, wabunge na hata raisi wa nchi yetu. Baada ya zoezi la kupiga kura na kuhesabiwa, tume ya uchaguzi ilitutangazia kwamba...
View ArticleJe Unachotaka Kufanya Umekubaliana Nacho Ndani Yako? Soma Hapa Kujua Zaidi.
Habari za leo rafiki, vipi unaionaje Amka Mtanzania katika kubadili maisha yako. Kama kuna kitu unakipata au umekipata kupitia mtandao huu, usiache kuwa shuhuda kwa wengine. Hii itasaidia kujenga...
View ArticleSiri Kubwa Ya Mafanikio: Fanya Kile Unachopenda Sana Na Sio Kinacholipa Sana
Habari za Jumapili msomaji wa Amka Mtanzania, ni siku nyingine tena tunaendelea kukumbushana mambo muhimu na kuzidi kufichua baadhi ya vitu ambavyo vimo ndani mwetu lakini hatujui kama vipo au hata...
View ArticleHii Hapa Ni Njia Bora Ya Wewe Kuweza Kufikia Malengo Na Mipango Yako Mikubwa...
Habari za wakati huu mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA? Tuna imani kwamba uko vyema na unaendelea vizuri kuweka ubora kwenye kila unachofanya maishani mwako. Hili ni jambo muhimu sana kwani ndio...
View ArticleKama Una Maisha Haya Hufiki Popote, Kimafanikio.
Yapo maisha ambayo kwa kawaida mtu yeyote akiwa nayo, hauhitaji uwe una digirii ya uchumi wala hahitaji uwe mtabiri, kwa maisha hayo utajua tu, ni lazima mtu huyo awe maskini hata afanyaje. Ni maisha...
View ArticleMambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Cha TIME WARRIOR (Shujaa Wa Muda).
Habari msomaji wa uchambuzi wa vitabu. Ni matumaini yangu waendelea salama. Wiki hii tunaangazia kitabu cha Time Warrior (Shujaa wa Muda). Kitabu hiki kimeandikwa na mwandishi mahiri sana wa vitabu...
View ArticleChagua Kufanya Mambo Haya, Ili Yakupe Mafanikio Makubwa.
Siku zote maisha ya binadamu yanaongozwa na uchaguzi tunaoufanya kila siku. Uchaguzi huo ndio unatufanya tuwe na maisha haya au yale. Kama uchaguzi unaoufanya ni mbovu kila siku, basi ni wazi na...
View ArticleKauli Kumi(10) Zitakazobadili Mtazamo Wako Kuhusu Furaha Na Kukuwezesha Uwe...
Habari mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA? Karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza tena mambo ambayo yanabadilisha maisha yetu kiujumla.‘’Mimi ni mwamini mkubwa kwamba kama ukitafuta...
View ArticleJifunze Na Jizoeze Kusimamia Maamuzi Yako.
Habari, vipi hali yako ndugu msomaji wa makala za Amka Mtanzania. Bidii yako ya kuendelea kutimiza malengo yako bado ipo au umevunjika moyo, baada ya kuona mipango yako haiendi kama ulivyo panga....
View ArticleUsiwe Na Haraka Ya Kuvuna
Habari za Jumapili mpenzi msomaji wa Amka Mtanzania. Ni siku nyingine tunakutana tena kuendelea na mfululizo wa makala zetu ambapo tumekuwa tukikumbushana na kujulishana mambo mbalimbali ili kuzidi...
View ArticleKITABU CHA NOVEMBER; Time Warrior(Shujaa Wa Muda)
Mpenzi msomaji ni wakati mwingine mzuri wa kujipatia kitabu cha kujisomea kwa mwezi huu wa kumi na moja. Kumbuka kila mwezi umekuwa ukipatiwa kitabu kimoja cha kujisomea na kama umeweza kusoma vitabu...
View ArticleMambo Matatu Yakuzingatia Katika Dakika Tano Za Kwanza, Kwenye Usaili.
Habari rafiki wa AMKA MTANZANIA, naamini umzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kuboresha maisha yako kama ilivyo kawaida. Kwa upande wangu niko vizuri, kwa furaha moyoni nakukaribisha...
View ArticleViungo Vikuu Vitatu(3) Vya Furaha Ya Kudumu Kwenye Maisha.
Mpaka sasa unajua ya kwamba furaha sio kitu fulani ambacho unakifikia. Yaani kwa lugha nyingine huwezi kuikimbiza furaha, kwamba ukishafikia kitu fulani tu unakuwa na furaha. Furaha ni kitu ambacho...
View ArticleMambo 6 Yatakayokufanya Uzidi Kuwa Bora Na Mwenye Mafanikio Makubwa.
Habari rafiki na mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, naamini umzima afya na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Karibu tena katika siku nyingine ya kujifunza na kuboresha maisha yetu kama...
View ArticleMambo Kumi (10) Kuhusu Maisha Na Mafanikio Niliyojifunza Kutoka Kwa Edward...
Napenda sana kujifunza kupitia watu ninaokutana nao au ninaowasoma katika maandiko mbalimbali. Na kupitia watu wengi ninaojifunza kutoka kwao, kuna wachache ambao nawaita “MY VIRTUAL MENTORS” yaani...
View ArticleUnaweza Kufanikiwa Ukitia Nia Na Kujiamini.
Habari za Jumapili wapenzi wasomaji wa AMKA MTANZANIA, ni wakati mwingine tena tunakutana kwa katika ukurasa huu ili kuzidi kujuzana na kukumbushana mambo mbalimbali na kuzidi kufanya dunia kuwa mahala...
View Article