UCHAMBUZI WA KITABU; Smart Leaders Smarter Teams (Umuhimu Wa Viongozi Kujenga...
(MUHIMU; Makala hizi za uchambuzi wa vitabu huwa zinapatikana kwa wale waliojiunga kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Lakini kutokana na tatizo kubwa la kiuongozi tulilonalo kwenye nchi zetu za Kiafrika,...
View ArticleUshauri Muhimu Kwa Waandishi Na Waendeshaji Wa Blog Za Mafunzo.
Habari za leo rafiki?Napenda kuchukua nafasi hii kuongea na waandishi na waendeshaji wa blog za mafunzo mbalimbali. Hapa nazungumzia zile blog ambazo zinaweka makala za watu kujifunza na siyo kuripoti...
View ArticleHizi Ndizo Aina Tatu (3) Za Kushindwa Katika Maisha Na Kazi.
Kushindwa kwa jambo lolote huwa hakutokei ghafla tu kama wengi wanavyofikiri, bali huchukua muda na hatua. Kama ilivyo kufanikiwa kuna hatua zake, halikadhalika kushindwa katika maisha kuna hatua au...
View ArticleFaida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga.
Kufunga ni utaratibu ambao umekuwa unafanywa na watu mbalimbali kwa kuamua wao wenyewe au kutokana na taratibu za dini zao. Katika kipindi hiki cha kufunga, mtu anajinyima chakula kwa kipindi maalumu....
View ArticleHizi Ndizo Lugha Tano (5) Muhimu Za Kuonesha Upendo Kwenye Mahusiano Yetu.
Habari rafiki na mpenzi msomaji wa Amka Mtanzania? Natumaini unaendelea vizuri na shughuli zako za kimaendeleo. Karibu tena katika safu hii, leo tutajifunza kuhusu lugha tano muhimu katika mahusiano...
View ArticleKitu Kimoja Ambacho Watu Wengi Wamekuwa Wanadanganywa Kuhusu Biashara.
Habari rafiki?Tunaishi kwenye zama ambazo mabadiliko tunayashuhudia sisi wenyewe. Ni zama ambazo tunatoka kwenye mfumo mmoja kwenda kwenye mfumo mwingine. Mfumo tunaotoka ni ule wa mapinduzi ya viwanda...
View ArticleUSHAURI; Biashara Unazoweza Kuanza Kwa Mtaji Wa Tsh Laki Mbili Na Kuweza...
Habari rafiki? Nina imani uko vizuri na mambo yako yanaendelea kwenda vizuri kutokana na juhudi unazoendelea kuweka kila siku. Karibu kwenye kipengele chetu cha ushauri wa changamoto mbalimbali ambazo...
View ArticleMambo Matano(5) Yanayoathiri Maisha Na Malengo Yako.
Kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa mwanadamu huwa kunatokana na mchango wa mambo mengi. Mambo hayo huwa yapo ambayo wengine wanayajua na pia wengine hawayajui kabisa. Lakini kwa kifupi, huwa yapo mambo...
View ArticleKama Unataka Kufa Maskini, Fanya Mambo Haya.
Kati ya kitu ambacho unatakiwa kuwa makini nacho kila mara wakati unatafuta mafanikio, ni yale mambo unayoyafanya kila siku. Mambo hayo unayoyafanya ndiyo ambayo yanaweza kukupa picha utafanikiwa au...
View ArticleUmuhimu Wa Mawasiliano Katika Kujenga Mahusiano Bora Ya Kijamii.
Habari rafiki na mpenzi msomaji wa Amka Mtanzania? Natumaini unaendelea vema katika kuboresha maisha yako na karibu katika makala yetu ya leo. Katika dunia ya leo mawasiliano ni kitu muhimu sana katika...
View ArticleNjia tano (5) za uhakika za kuweza kuikuza biashara yako na kufikia mafanikio...
Kipimo sahihi cha maendeleo na mafanikio ya biashara ni ukuaji wa biashara. Tunategemea biashara iwe inakua kadiri siku zinavyokwenda. Ukuaji wa biashara tunaouzungumzia ni kuongezeka kwa idadi ya watu...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuondokana Na Tabia Ya Matumizi Mabovu Ya Fedha Na Kuweza...
Mambo yote kuhusu fedha yanaanzia kwenye misingi miwili muhimu kuhusu fedha. Misingi hii ni mapato na matumizi. Kila kitu kuhusu fedha, iwe ni kuishiwa, kuwa masikini, kuwa tajiri na hata kuwa na akiba...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; JUST LISTEN (Siri Za Kukuwezesha Kushawishi Mtu Yeyote...
Mawasiliano ni moja ya misingi muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku. Na pia ni moja ya mahitaji muhimu kama tunataka kuweza kufikia mafanikio makubwa kwenye jambo lolote ambalo tunalifanya....
View ArticleHii Ndiyo Kansa Kubwa Inayosambaa Kwenye Jamii Zetu Na Jinsi Ya Kuiepuka.
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa AMKA MTANZANIA? Natumaini unaendelea vema katika kujenga na kuboresha maisha yako na kugusa maisha ya watu wengine kulingana na kile unachofanya, licha ya kukumbana...
View ArticleIjue sababu hii kubwa iliyopo nyuma ya biashara yako itakayokuwezesha kufikia...
Kwenye biashara, kuna sababu za kufanya biashara zinazoonekana na wengi na kuna sababu ambazo hazionekani na wengi. Sababu zinazoonekana na wengi ni kile unachouza na faida unayopata. Hiki ndiyo...
View ArticleUSHAURI; Jinsi Ya Kuondokana Na Hali Ya Kukosa Uthubutu Na Kuingia Kwenye...
Karibu tena rafiki yangu kwenye kipengele chetu hiki cha USHAURI WA CHANGAMOTO zinazotuzuia kufikia malengo makubwa tuliyojiwekea kwenye maisha yetu. Kama ambavyo wote tunajua, changamoto zipo na...
View ArticleMambo 10 Ambayo Ni Muhimu Kuyafahamu Kwenye Maisha Yako.
Katika dunia ya leo, ambayo ipo kwenye ushindani mkubwa ili uweze kufanikiwa unalazimika kujifunza mambo mengi ya kukusaidia kufanikiwa huko. Bila kufanya hivyo hautaweza kufanikiwa na kufikia viwango...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; The Seven Lost Secretes Of Success (Siri Saba Za...
Linapokuja swala la mafanikio wapo watu wachache wanaofanikiwa sana kwenye kila wanachofanya na pia wapo wengi ambao wanashindwa kufanikiwa. Na hawa wanaoshindwa siyo kwamba hawapendi kufanikiwa,...
View ArticleAdhabu Saba (7) Zisizostahili Katika Malezi Ya Watoto.
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa Amka Mtanzania? Natumaini unaendelea vema na shughuli za ujenzi wa taifa. Karibu katika makala yetu ya leo ambapo tutazungumzia adhabu zisizostahili katika malezi ya...
View ArticleJinsi ya kugeuza kipaji chako kuwa biashara inayokuingizia kipato.
Kila mmoja wetu ana vitu ambavyo anapendelea kuvifanya hata kama hakuna mtu anayemsifia au kumlipa. Anapata msukumo kutoka ndani yake kufanya au kufuatilia vitu fulani mpaka wengine wanamtumia kama...
View Article