Mtazamo Muhimu Wa Kuanza Nao Mwaka 2016 Ili Uwe Wa Mafanikio Makubwa Kwako.
Kila mwanzo wa mwaka watu wengi huwa wanaweka malengo, na malengo yanakuwa makubwa na mazuri sana. Lakini kadiri siku zinavyokwenda, watu wanaofanyia kazi malengo hayo wanazidi kupungua. Mpaka kufika...
View ArticleHii Hapa Ni Nafasi Bora Sana Kwako Wewe Kuwa Mwekezaji Mkubwa. Chukua Hatua Leo.
Habari za leo rafiki?Karibu tena kwenye makala zetu hizi za kujifunza na kuhamasika ili kuweza kuboresha maisha yetu zaidi. Kupitia makala hizi tumekuwa tunapeana mbinu muhimu sana za kuweza kuwa na...
View ArticleMUHIMU; Likizo Ya Wiki Moja.
Habari zako rafiki yangu?Naamini kwamba unaendelea vizuri sana.Na pia naamini mwaka 2015 umekuwa mwaka bora sana kwako, na 2016 ndio unataka uwe bora zaidi. Na hata kama kuna mambo uliyopanga...
View ArticleNimerudi Na Mengi Mazuri Kwa 2016 Usikose Haya Mazuri.
Habari za wakati huu rafiki?Naamini uko vizuri sana na katika msimu huu wa sikukuu hujasahau lile lengo lako kubwa kwenye maisha.Juma lililopita nilikuwa kwenye likizo kwa utaratibu niliojiwekea wa...
View ArticleSababu Tano Zinazokuzuia Kufikia Malengo Yako Ya Kila Mwaka Na Jinsi Ya...
Kulingana na tafiti zilizofanyika kwenye eneo la kuweka malengo, watu wengi wamekuwa wanaweka malengo yale yale kwa kila mwaka na wamekuwa wanashindwa kuyafikia.Yaani mwaka 2016 utakapoanza, utaweka...
View ArticleMambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Cha The Start-Up Of You.
Habari ndugu msomaji wa makala za uchambuzi wa vitabu, ni matumaini yangu unaendelea vizuri. Katika wiki hii ya kumalizia mwaka huu 2015 tunakuletea uchambuzi wa kitabu cha The Start-up of You, kitabu...
View ArticleMambo Matano(5) Muhimu Ya Kujifunza Kwenye Kurasa 365 Za Mwaka 2015 Na Mazuri...
Habari za wakati huu rafiki yangu?Naamini uko vizuri sana na unaendelea vyema na mipango yako ya kuboresha maisha yako.Leo nimeandika ukurasa wa 365 katika kurasa 365 za mwaka 2015. Kuna mambo mengi...
View ArticleImebaki Siku Moja Ya Wewe Kuweza Kuufanya Mwaka 2016 Kuwa Mwaka Bora Sana...
Mwaka mpya mambo mapya....Hii ni kauli ambayo utaisikia kwa wengi na wewe mwenyewe pia utaitoa sana kwa siku hizi za mwanzo wa mwaka. Kauli hii pia itaandamana na maazimio mengi kwa mwaka huu 2016....
View ArticleLeo Ni Siku Ya Mwisho Ya Wewe Kupata Nafasi Ya Kufanya 2016 Kuwa Mwaka Bora...
Habari za leo rafiki?Vipi shamra shamra za mwaka mpya 2016? Bado zinaendelea? Je vipi malengo na maazimio yako kwa mwaka huu 2016? Je yana tofauti kubwa na yale ya 2015 ambayo hukuweza kuyakamilisha?...
View ArticleKitu Kimoja Ninachokusihi Wewe Rafiki Yangu Ufanye Kwa Mwaka Huu 2016 Ili...
Habari za wakati huu rafiki?Naamini mpaka kufika sasa umeshauzoea mwaka huu mpya na tayari kwa kasi sana unafanyia kazi yale malengo makubwa uliyoweka mwaka huu. Kama bado hujaanza kufanyia kazi...
View ArticleMambo Kumi (10) Muhimu Ya Kufanya Ili Mwaka 2016 Uwe Bora Sana Kwako.
Habari rafiki yangu?Najua mwanzo huu wa mwaka umeshaambiwa na kujiambia mambo mengi sana ya kufanya. Najua wewe mwenyewe umeshajiahidi vitu vingi sana, ambavyo huenda usiweze kufanya hata nusu yake.Na...
View ArticleSi Kila Anayekukosoa Hapendi Unachofanya, Jifunze Kupitia Mrejesho Hasi.
Habari mpenzi msomaji wa amka Mtanzania. Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vyema na hasa katika siku hizi za mwanzo wa mwaka 2016. Nina imani ulipata nafasi ya kufanya tathmini ya mwaka 2015 ,...
View ArticleNjia Sita(6) Za Kukabiliana Na Msongo Wa Mawazo.
Habari mpenzi msomaji wa Amka Mtanzania? Heri ya mwaka mpya na karibu tena katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza namna gani tunaweza kukabiliana na msongo wa mawazo au njia za kukabiliana na...
View ArticleKURASA ZA MAISHA; Mtazamo Mpya Wa Maisha Ya Furaha Na Mafanikio.
Habari za leo rafiki?Naamini uko vizuri sana na unaendelea na harakati zako z akuboresha maisha yako zaidi. Najua mwaka 2016 ndio unaanza kukolea na nina hakika bado una ule moto wa malengo ambayo...
View ArticleMambo 20 Niliyojifunza kwenye kitabu cha The DNA of Relationships(Vinasaba...
Habari Msomaji wa makala za uchambuzi wa vitabu. Kwanza kabisa heri ya mwaka mpya, ni matumaini yangu umeuanza mwaka vizuri kabisa. Uchambuzi wetu wa kwanza kwa mwaka huu 2016 unaangazia maswala ya...
View ArticleMbinu za kuongeza ufanisi wako kwenye biashara ili kuongeza faida.
Kitu kimoja kizuri sana kuhusu biashara ambacho wengine hawakipati ni kwamba unapofanya mabadiliko ya juhudi unazoweka kwenye biashara, unaweza kuona athari ya mabadiliko hayo haraka sana kwenye faida...
View ArticleKitabu Cha Kujisomea Januari 2016; THE 10X RULE (Sheria Ya Mara Kumi),...
Karibu tena mpenzi msomaji katika utaratibu wetu mzuri wa kushirikishana vitabu vya kusoma kila mwezi. Kupitia utaratibu huu kila mwezi umekuwa unatumiwa kitabu kimoja cha kujisomea. Kwa mwaka jana...
View ArticleMambo Mazuri Kutoka AMKA MTANZANIA Mwaka Huu 2016.
Habari za leo rafiki?Naamini unaendelea vyema sana na maisha yako yanazidi kuwa bora kadiri siku zinavyokwenda. Na hii yote ni matokeo ya wewe kuamua kuchukua hatua kutokana na mambo mbalimbali...
View ArticleSiri Kubwa Ya Kukutoa Kwenye Umaskini.
Kipo kitu kimoja tu chenye nguvu na uwezo mkubwa wa kukutoa kwenye umaskini endapo utakizingatia na kukitumia kwenye maisha yako kila siku kwa kumaanisha. Haijalishi upo kwenye umaskini au maisha...
View ArticleJanuari Siyo Ngumu, Bali Wewe Ndio Mgumu.
Habari za januari rafiki yangu?Mwezi huu unakwendaje kwa upande wako? Ni mwezi bora au ni mwezi mgumu kama wengi wanavyolia? Kumekuwa na kelele nyingi sana kila ifikapo mwanzo wa mwaka ya kwamba mwezi...
View Article