Quantcast
Channel: AMKA MTANZANIA
Browsing index pages (1010 articles)

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufahamu Ugaidi Hatari Kuliko Wote Duniani Unaosumbua Maisha Ya Watu Wengi

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITABU CHA NOVEMBA 2017; Secret Code Of Success (Kanuni Za Siri Za Mafanikio).

Habari za leo rafiki yangu? Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri na unaendelea kuweka juhudi kubwa ili kuhakikisha maisha yako yanakuwa bora sana. Hilo ndiyo jambo la msingi la kila mmoja wetu kufanya....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Karibu kwenye mwaka wa mafanikio 2017/2018.

Habari za leo rafiki yangu? Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye mwaka wa mafanikio 2017/2018. Huu ni mwaka wa kipekee ambao unaweza kwenda kufanya makubwa na kuweza kupata matokeo bora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yafanye Maisha Yako Yawe Ya Mafanikio Kwa Kuchukua Hatua Hii…

Kwa jinsi unavyochukua hatua hata kama ni ndogo sana, lakini huku ukiwa na mawazo chanya, hivyo ndivyo utakuwa upo kwenye mchakato wa kuyaendea mafanikio yako. Kuna wakati unaweza ukajiona kama vile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shukrani Za Dhati Na Picha Za Matukio Ya Semina Ya KISIMA CHA MAARIFA 2017.

Habari za leo rafiki? Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri na umeamka ukiwa na hamasa ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana kwenye maisha yako kwa siku ya leo. Napenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndiyo Maswali Matano Kwa Mtaalamu Wako Kabla Hujaanza Ujenzi Wa Nyumba...

Ni ukweli usio na shaka kuwa kila mtu anahitaji kuwa na nyumba bora, safi na salama kwa matumizi mbalimbali ikiwemo makazi na biashara. Pamoja na utofauti wetu wa kipato lakini bado ni watanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndiyo Maisha Bora Wanayostahili Kuishi Wanandoa Katika Karne Ya Ishirini...

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; The 80/20 Principle (Siri Ya Kupata Matokeo Makubwa Kwa...

Mwaka 1869 mchumi Vilfredo Pareto alitoa andiko lake la kiuchumi ambapo alionesha kwamba asilimia 80 ya ardhi ya Italia ilikuwa inamilikiwa na asilimia 20 ya watu. Hakuishia hapo, alionesha hata kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muda Unaotengeneza Maisha Yako Ni Huu Hapa.

Kati ya kitu ambacho huwezi kucheza nacho na ikitokea umekipoteza ndio imetoka hiyo, ni muda ulionao. Unaweza ukacheza na vyote kwenye maisha yako na ukavipoteza na ukaanza upya hadi kufanikiwa, lakini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYEUSI NA NYEUPE; Watu Hawa Uliochagua Kuwabeba, Ndiyo Wanaokurudisha Nyuma,...

Habari za leo rafiki yangu? Ni matumaini yangu kwamba umeianza siku hii vyema kabisa, ukiwa na hamasa kubwa ya kwenda kuweka juhudi ili kupata matokeo bora. Wakati wewe umeamka na hamasa hiyo ya kwenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi Ndiyo Faida Tano Pekee Za Kutumia Wataalamu Kwenye Ujenzi Wa Nyumba Yako.

Wataalamu wa ujenzi ni watu ambao wamefunzwa vizuri kwa lengo la kutoa huduma bora za ujenzi kwa jamii inayowazunguka, ni watu waliobobea kwenye fani mbalimbali zinazohusu ujenzi na taratibu zake....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONGEA NA COACH; Usifanye Uwekezaji Kama Huna Muda Na Utayari Wa Kujifunza,...

Habari rafiki? Katika uwekezaji watu wengi wamekuwa wanafanya kosa moja kubwa mno. Kosa hili ni kufanya maamuzi ya uwekezaji kwa maneno ya watu wengine, watu ambao hata hawana uelewa mkubwa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msingi Wa Mafanikio Yoyote Unayotaka Kuyapata Uko Kwenye Kitu Hiki

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAMBUZI WA KITABU; The Undercover Economist Strikes Back (Jinsi Ya...

Uchumi wa nchi yoyote ile, unaweza kuvurugwa na mambo madogo sana yanayotokea ndani ya nchi na hata nje ya nchi. Maamuzi ya viongozi wa nchi yanachangia sana kwenye kuboresha au kuharibu uchumi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Epuka Tabia Hii Sana Katika Mahusiano Yako Ya Kimapenzi.

Mara nyingi uwapo katika mahusiano ya kimapenzi elewa na tambua ya kwamba, mahusiano hayo ambayo upo sasa kama hautakuwa makini  haijalishi unampenda mpenzi wako kiasi gani elewa ipo siku yatakufa....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI; Njia Za Kufaulu Masomo Pale Unaposoma Huku Ukiwa Unafanya Kazi Au...

Habari za leo rafiki yangu? Karibu kwenye makala yetu ya leo ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kufikia mafanikio tunayotaka kwenye maisha yetu. Maisha ni mpango wa kutatua changamoto moja baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYEUSI NA NYEUPE; Hii Ndiyo Ile Hela Ya Sigara (Jinsi Unavyoweza Kuweka Akiba...

Habari rafiki? Hongera kwa siku hii nzuri na ya kipekee sana ambapo tumepata nafasi ya kwenda kuweka juhudi zaidi ili tuweze kupata matokeo bora kabisa. Karibu kwenye makala ya leo ya NYEUSI NA NYEUPE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zifahamu Faida Pekee Za Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo Ambazo Ni Tofauti Na...

Uwekezaji wa rasilimali ardhi na majengo umekuwa kivutio kikubwa kwa maelfu ya watanzania wa leo tofauti na wakati uliopita. Maelfu ya watanzania na wageni mbalimbali wanaendelea kuboresha maisha yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONGEA NA COACH; Msingi Muhimu Wa Uwekezaji Kwenye Soko La Hisa.

Rafiki, Kuna mambo mawili muhimu kuhusu fedha, Jambo la kwanza ni kuifanyia kazi fedha, hapa ni pale unapofanya kazi ili upate fedha, au kufanya biashara ili upate fedha. Upataji wako wa fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu Ndiyo Mtandao Unaoongoza Kueneza Habari Hasi Kwa Kasi Zaidi Kuliko...

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Amka Mtanzania? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani kuamka salama ni...

View Article
Browsing index pages (1010 articles)


Latest Images